Tatizo Ujinga na upumbavu
Tatizo ni ujinga na umaskiniTatizo Ujinga na upumbavu
Ndiyo hivyo tu umeridhika?Acha bangi aka cannabis.Hizo zote ni nyumba za tofali na bati na zimefikiwa na huduma ya umeme na maji tumepiga hatua kubwa kama taifa🐼
Tatizo Ujinga na upumbavu
Halafu watu hawahawa wanaoambiwa ni maskini na kuishi hapo wanaambiwa wachangie tone tone kwenye chama flani ili kiwatoe kwenye umaskini! Ahahahahaha!!!
Wengi ni wajinga siku wakielimika wakaondoa ujinga vichwani mwao ndio utakuwa mwisho wa CCM
Na yote hayo chanzo ni njaa ya umasikini wa fikra.Kuna mawili usifie kwa kuogopa yasije yakakukuta ya kukukuta au usifie (chawa) kwa matarajio ya kupata chochote kitu
Na wengi wao wamelipia elfu kumi kuagalia Derby ya Simba na Yanga, wamelipia elfu kumi kuangalia Simba na Berkane, ambazo zote zimeenda kwa mganga hazirudi.Halafu watu hawahawa wanaoambiwa ni maskini na kuishi hapo wanaambiwa wachangie tone tone kwenye chama flani ili kiwatoe kwenye umaskini! Ahahahahaha!!!