Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Mtu akianzisha nyuzi za mambo ya msingi anaitwa comedianWanaoishi hapo wengi wao ni wanaJF ndio wanaoanzisha nyuzi za ajabuajabu!
Tanzania inahitaji ubatizo wa moto wa fikra
Mtu akianzisha nyuzi za mambo ya msingi anaitwa comedianWanaoishi hapo wengi wao ni wanaJF ndio wanaoanzisha nyuzi za ajabuajabu!
Ukiwaambia sio sawa wanakuambia ni fedha zaoNa wengi wao wamelipia elfu kumi kuagalia Derby ya Simba na Yanga, wamelipia elfu kumi kuangalia Simba na Berkane, ambazo zote zimeenda kwa mganga hazirudi.
Huo mtaa mbona mzuri tu.
Usisahau baba mwenye Nyumba biashara yake Kuu anauza Maji na kuinadi Simba na yanga kwenye vizimbaHapo baba mwenye nyumba anashinda na vest
Uku chemba za maji machafu zikitapishwa kila nyumba /ful mavi kunuka😁😁
Na kuna mpumbavu anaishi uswahilini(manzese mbagala tandale)anakubali kweli kuilinda amani ya kinafki iliyopo.Hukuu wanaimba muwe wazalendo msikubali nchi yenu kuingiliwa, muilinde kwa wivu mkubwa😁
Ni chama chao hicho wanakichangia sio chama cha mafisadi kinacho beba fedha za ummaHalafu watu hawahawa wanaoambiwa ni maskini na kuishi hapo wanaambiwa wachangie tone tone kwenye chama flani ili kiwatoe kwenye umaskini! Ahahahahaha!!!
Ahahahahaha!!!Ni chama chao hicho wanakichangia sio chama cha mafisadi kinacho beba fedha za umma