Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

Kuna mawili usifie kwa kuogopa yasije yakakukuta ya kukukuta au usifie (chawa) kwa matarajio ya kupata chochote kitu
 
Wakishakula mihogo na dagaa wanajiona nao ni waungwana.Mipuuzi tu.Sanasana utasikia hawapendi ushoga wakati mitoto yao ni mibwabwa na inabwia ngada.Bloody niokozzz!
 
Hizo zote ni nyumba za tofali na bati na zimefikiwa na huduma ya umeme na maji tumepiga hatua kubwa kama taifa🐼
 
Halafu watu hawahawa wanaoambiwa ni maskini na kuishi hapo wanaambiwa wachangie tone tone kwenye chama flani ili kiwatoe kwenye umaskini! Ahahahahaha!!!
Na wengi wao wamelipia elfu kumi kuagalia Derby ya Simba na Yanga, wamelipia elfu kumi kuangalia Simba na Berkane, ambazo zote zimeenda kwa mganga hazirudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…