Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

Halafu hao viongozi wanaishi kwenye mansions zilizopo mbweni.
Hukuu wanaimba muwe wazalendo msikubali nchi yenu kuingiliwa, muilinde kwa wivu mkubwa😁
 
Hukuu wanaimba muwe wazalendo msikubali nchi yenu kuingiliwa, muilinde kwa wivu mkubwa😁
Na kuna mpumbavu anaishi uswahilini(manzese mbagala tandale)anakubali kweli kuilinda amani ya kinafki iliyopo.

Hajui anaambiwa ailinde amani hili pesa zilizoibwa kwa ajiri ya kuboresha makazi yake ya uswahilini zikatumbuliwe samaki samaki na wajanja wachache.

Nchi ikiwa haina amani pesa alizoiba atazitumbuaje?

Gari (V8) alilonunua kwa pesa za wizi ataliendeshaje?

Lazima asisitize amani hili apate wasaa wa kutumia na malaya pesa alizoiba kwa ajiri ya kuwaletea watanzania maendeleo.

Mwanasiasa hawezi kukuimiza kufanya jambo ambalo halina manufaa kwake ndiyo maana hawawaimizi wananchi kudai katiba mpya ingawa wanajua iliyopo ina mapungufu.

Amani wanaisisitiza hili wapate nafasi ya kutumia na kuinjoi wanavyoviiba.
 
Halafu watu hawahawa wanaoambiwa ni maskini na kuishi hapo wanaambiwa wachangie tone tone kwenye chama flani ili kiwatoe kwenye umaskini! Ahahahahaha!!!
Ni chama chao hicho wanakichangia sio chama cha mafisadi kinacho beba fedha za umma
 
Huo mtaa mbona mzuri tu.
Njoo mtaa wangu hapa isanga nyumba zote tope, bati chocolate, sikika sasa unaleta story za LISSU unaweza ulogwe
Bati chocolate!🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…