Wabongo tunazingua sana eti mtu anampeleka mwenzake police kosa ni kuvunja meza.

Wabongo tunazingua sana eti mtu anampeleka mwenzake police kosa ni kuvunja meza.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sidhani kama nchi za nje mtu anaweza kushtaki police kesi ya umemvunjia meza pengine kwenye ulevi hukujitambua au bahati mbaya tu mashauri ya kumalizana ila unakuta mtu anaandaa mazingira iwe case.
 
Ni haki yake.kuna watu tuna ishi nao kumbe tupo kwenye target zao au wapo kwenye target zetu, Tuna subiri au wana subiri uji changanye kidogo tu
 
Ulaya wewe hupajui na labda hata Kenya hujawahi kufika...Ulaya Ukiwasha Radio tuu Sauti ikafika kwa jirani anaenda Kushtaki na unafunguliwa Case. .Sasa uvunje Meza si ndio Balaa zaidi.
 
Kuna watu unaweza wapeleka mahakamani juu ya 5000 binadamu wajeuri sana asee.
 
Inategemea na alivyoikivunja.ukute mtu kavunja badala ajishushe lakini ukute mwenye meza anaambiwa "utanifanya Nini? Lazima tu akushitaki
 
Back
Top Bottom