Sidhani kama nchi za nje mtu anaweza kushtaki police kesi ya umemvunjia meza pengine kwenye ulevi hukujitambua au bahati mbaya tu mashauri ya kumalizana ila unakuta mtu anaandaa mazingira iwe case.
Ulaya wewe hupajui na labda hata Kenya hujawahi kufika...Ulaya Ukiwasha Radio tuu Sauti ikafika kwa jirani anaenda Kushtaki na unafunguliwa Case. .Sasa uvunje Meza si ndio Balaa zaidi.