Wabongo wampelekea moto Tyrese baada ya kumpost Samia na kumsifia hadi akaifuta post yake

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ukiwasikia wabongo wamemkataa huyu Mama Kizimkazi ndio hii yani mtu yeyote atakayemuunga mkono basi raia watamvaaa vibaya kama haliyokutana nayo Tyrese.

Na wabongo wanatupa maneno ya kiswahili hadi akafuta post

tyrese:
The first female President of Tanzania and East Africa as a whole. Congratulations to H.E Samia Suluhu Hassan on being sworn in as the President of the United Republic of Tanzania. We pray for your strength, wisdom and good health as you lead the nation of Tanzania.
===============
tyrese:
Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hongera kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunakuombea nguvu, hekima na afya njema unapoiongoza taifa la Tanzania.


​
 
HAO SIO WABONGO GENTLEMAN,
NI MAMLUKI WA VIBARAKA WA MABWENYENYE YA MAGHARIBI
 
Ndo mnaita CHADEMA eti ni chama cha Demokrasia lakni yeyote atakayeenda tofauti na nyie basi mwaitana kumplekea moto. Yaani mnataka watz wote tutizame mambo kwa mtizamo wenu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…