Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,780
- 16,928
Tyrese huyu mkali wa Hollywood?Tyrese
Tyrese huyu mkali wa Hollywood?Tyrese
Aisee ni ajabu sana, yaani Tyrese na Tanzania wapi na wapi? Kodi zetu zinatumika kuhonga machawa wa US?Hii ndio ile project ya bilioni mbili ya kumsafisha? Tyrese naye kala mgao?
Tyrese ni wa Mashariki?HAO SIO WABONGO GENTLEMAN,
NI MAMLUKI WA VIBARAKA WA MABWENYENYE YA MAGHARIBI![]()
Tofautisha demokrasia/uhuru wa maoni na kumsifia muuaji. Ni sawa na mtu amtetee Epstein eti demokrasia nani atakuelewa?Ndo mnaita CHADEMA eti ni chama cha Demokrasia lakni yeyote atakayeenda tofauti na nyie basi mwaitana kumplekea moto. Yaani mnataka watz wote tutizame mambo kwa mtizamo wenu tu!
Unamchukia wewe na wabeba msalaba wenzioHuyu tunamchukia sana hawajui tu hawa.mafala. hata kama wanapewa pesa waache ujinga
Samia kafumua vidali vya wahainiTyrese anaparatia waarabu inaonekana kaona hijab tu kahemuka, wakati hajui Samia kafanya nini.
Iyo hela wamechukua wahun wa downtownHii ndio ile project ya bilioni mbili ya kumsafisha? Tyrese naye kala mgao?
Hao ni Gen Z, they're not affiliated with any political party.Ndo mnaita CHADEMA eti ni chama cha Demokrasia lakni yeyote atakayeenda tofauti na nyie basi mwaitana kumplekea moto. Yaani mnataka watz wote tutizame mambo kwa mtizamo wenu tu!
Kwa mantiki hiyo watetezi wake ni kobazi pekee? This is breaking news to me.Unamchukia wewe na wabeba msalaba wenzio
Vyovyote utakavyoonaKwa mantiki hiyo watetezi wake ni kobazi pekee? This is breaking news to me.
Yeah ni kweli. Iwaje aje amsifie leo wakati alijichagua na kujiapisha toka mwaka jana? 😂😂😂Hii ndio ile project ya bilioni mbili ya kumsafisha? Tyrese naye kala mgao?
Duniani hayupo Mtu Mwema kwa watu wote na hakuna Mbaya kwa watu wote, that's why hata Muhammad na Yesu walipigwa vita lkn wapo pia waliolia sana tu kwa vifo vya kina Hitler, Idd Amin Dada, Firauni nk.Tofautisha demokrasia/uhuru wa maoni na kumsifia muuaji. Ni sawa na mtu amtetee Epstein eti demokrasia nani atakuelewa?
Labda....Hao ni Gen Z, they're not affiliated with any political party.