Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Tyrese anaparatia waarabu inaonekana kaona hijab tu kahemuka, wakati hajui Samia kafanya nini.
he is muslim ...
Tyrese anaparatia waarabu inaonekana kaona hijab tu kahemuka, wakati hajui Samia kafanya nini.
Chawa wa kigeniHii dunia ina watu wengi..Huyu Tyles ni wa wapi tena haki...
Wapuuzi wakubwa hawa, mwaka ule Samatta alipochezea Aston Villa wakaanza kuizoea mitandao ya klabu ile wazungu wakabakia wanawashangaa namna walivyoanza kushobokea habari za wachezaji wa kigeni wanaocheza pale.Ndo mnaita CHADEMA eti ni chama cha Demokrasia lakni yeyote atakayeenda tofauti na nyie basi mwaitana kumplekea moto. Yaani mnataka watz wote tutizame mambo kwa mtizamo wenu tu!
Hawa watafika 2030 wakiwa wamechoka sana.
Amani anayo ya kutosha tu, nyinyi mnaoishi na majonzi pamoja na machungu mtaendelea kuteseka mpaka 2030.Hatakaa apate amani na utulivu wa nafsi
sijamzungumzia huyo muungwana popote gentleman,Tyrese ni wa Mashariki?

Hii ndio ile project ya bilioni mbili ya kumsafisha? Tyrese naye kala mgao?
😄😄😄😄 Jamaa wame mlipa Tyrese Gibson amfanyie samuya PR aahhgh kmmk naishaHii ndio ile project ya bilioni mbili ya kumsafisha? Tyrese naye kala mgao?
😄😄😄😄 Anataka kuichafua tu legacy yake aiseeTyrese anaparatia waarabu inaonekana kaona hijab tu kahemuka, wakati hajui Samia kafanya nini.
Yaani nimeshangaa sana hii Nchi ya hovyo mnooooAisee ni ajabu sana, yaani Tyrese na Tanzania wapi na wapi? Kodi zetu zinatumika kuhonga machawa wa US?
😁😁Huyu mama amelaaniwa, ukijihusisha nae nawewe unaingiza laana tu
Hiyu ni sawa na wale Watanzania wanaovamia siasa za Marekani kumsifu Donald Trump bila kujua siasa za Marekani.😄😄😄😄 Anataka kuichafua tu legacy yake aisee
Hawa Huwa wanatumika as influencer kwaajili ya kuifanyia PR Makkah na Madina kwaajili ya uislam hata Michael Jackson alitumika sana katika hizi project sema mijitu mingi mijinga haijui kitu
🤣🤣Chawa wa kigeni
Kwa kweliHiyu ni sawa na wale Watanzania wanaovamia siasa za Marekani kumsifu Donald Trump bila kujua siasa za Marekani.
Tofauti wao so ma star na hawajulikani sana.
kwa kiswahi6ataelewa nini sasaWabongo wanacho mfanyia huyo jamaa hatakaa asahau
Anakula mvua ya matusi mda huu licha ya kuifuta post
Hahaha😄😄😄😄 Jamaa wame mlipa Tyrese Gibson amfanyie samuya PR aahhgh kmmk naisha
Hii serikali nyoko