Wabongo watakulinda mitandaoni lakini sio wakati unatekwa

Nimependa ustaarabu wako. Sorry kwa kauli niliyotumia. Ni baada tu ya kuona umekwazika lakini huwezi kuwakabili jamaa watekaji,maana hujui wana nini,ja hata likiwa basi zima kulifyeka hawaoni taabu.
Haya mambo yapo toka enzi,na karibia nchi zote ulimwengu mzima. Kihisia,kiubinadamu,utagundua watu wana roho mbaya,si kila kosa linastahili adhabu ya kifo.
Lakini pia,kumbuka hiyo roho ya kupigania haki za wenzako,unayo wewe. Na kuna wengine,wanaona kuna kikwazo. Hivyo huandaa mazingira ya kuondoa kikwazo. Bahati mbaya hawaji wao,wanatumwa watu. Kwa gharama yoyote. Mtu kawekeza milioni zake kufanikisha uovu wake, mwingine awekeze mdomo! Duniani hakuna haki.
 
Wewe ndio umeonyesha rangi halisi ya mbongo tunayemsema hapa. Huyo mbongo ndio wewe
 
Mwanaume unaogopa kupigwa risasi moja ufe

lakini upo tayari kukamatwa na kupelekwa usipo pajua nawatu usio wajua na kwa kosa usilo lijua na kuenda kufanyiwa

kitu usichokijua ambacho maumivu yake ni mala lakimoja ya risasi moja ya kichwa huo nao ni ubata
 

Watanzania ni waoga. Huoni juzi dereva kauawa abiria wamejificha kwenye gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…