Wabongo wengi kulazimisha wengine kufanana nao kwenye burudani (hususani mziki)

Joined
Sep 3, 2026
Posts
30
Reaction score
27
Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu.

Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu.
Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za kina Bounty killer, vybz kartel, mavado, Chronic Law na wengine wakali
😁

Lakini wabongo wakinikuta nasikiliza hizi, wananikosoa wanasema ni nyimbo za ajabu kisa wao hawaelewi patois, wanataka nisikilize ambazo wao wanapenda kama za kina diamond na gospel.

Wananijaji eti mimi nasikiliza nyimbo za wavuta bangi.
Mimi nyimbo za kibongo huwa hazipandi kabisa isipokuwa bongo hip hop tu kwa mbaaaali. 😁

Dancehall music mi seh. Mi nuh care weh dem a talk bout me.
We affi show dem seh wi anuh di same dawg.

Wana jf ninaomba mitazamo yenu kwamba ni lazima kufanana kwenye burudani au sio lazima na kwa nini??

Kama unapenda dancehall pia, toa maoni yako. Wadau wa dancehall tujuane pia.
 
Attachments

Babylon system ina treat vipi watch?
 
Hawa watu wanashangaza sana.
Mimi binafsi napenda kusikiliza miziki ambayo haisikilizwi na wengi haswa inayoongelea Hali ya maisha katika angle nyingine kabisa. Mfano mimi ni mwendo wa heavy metals , soukoous za Congo hardcore hiphop n.k.. kusikiliza nyimbo za mpenzi sana siyo vitu vyangu.
 
Daah tunafanana kabisa!
😁
Yaani hata mimi kusikiliza mapenzi ni kidogo mno!
Mara nyingi nasikiliza hardcore dancehall tu...
 
Kula maisha...kula maisha...kula maisha...kula maisha...kula maisha,

This is your life and your time,
So,enjoy it to the fullest,

Live the life you love,
Love the life you live.
 
Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu.

Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu.
Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za kina Bounty killer, vybz kartel, mavado, Chronic Law na wengine wakali
😁

Lakini wabongo wakinikuta nasikiliza hizi, wananikosoa wanasema ni nyimbo za ajabu kisa wao hawaelewi patois, wanataka nisikilize ambazo wao wanapenda kama za kina diamond na gospel.

Wananijaji eti mimi nasikiliza nyimbo za wavuta bangi.
Mimi nyimbo za kibongo huwa hazipandi kabisa isipokuwa bongo hip hop tu kwa mbaaaali. 😁

Dancehall music mi seh. Mi nuh care weh dem a talk bout me.
We affi show dem seh wi anuh di same dawg.

Wana jf ninaomba mitazamo yenu kwamba ni lazima kufanana kwenye burudani au sio lazima na kwa nini??

Kama unapenda dancehall pia, toa maoni yako. Wadau wa dancehall tujuane pia.
Kwa kusikiliza miziki tangu utotoni ya kina

luckydube
Joseph Hill(culture)
Luciano
Peter Tosh
Senzo
Alpha Blonde
Robert Marley
Gregory
Nimeikuta mwanaharakati wa haki z binadamu, yaani huwezi kununua kibaoofika swala la kutetewa utu na Heshima ya ubinadamu ni zaidi ya dini
 
Daah rasta hata mimi imeni affect kabisa, I always talk about ghetto life na hii Babylon system inavyotunyanyasa wanyonge
 
Pussyhole, guh n ask yuh fuckin fada fi suck yuh buddy....

Yuh fi shame battybwoy
FB_IMG_1790361158442.jpg
 
Back
Top Bottom