Sipendi Masihara
Member
- Sep 3, 2026
- 30
- 27
Babylon system ina treat vipi watch?Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu.
Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu.
Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za kina Bounty killer, vybz kartel, mavado, Chronic Law na wengine wakali
π
Lakini wabongo wakinikuta nasikiliza hizi, wananikosoa wanasema ni nyimbo za ajabu kisa wao hawaelewi patois, wanataka nisikilize ambazo wao wanapenda kama za kina diamond na gospel.
Wananijaji eti mimi nasikiliza nyimbo za wavuta bangi.
Mimi nyimbo za kibongo huwa hazipandi kabisa isipokuwa bongo hip hop tu kwa mbaaaali. π
Dancehall music mi seh. Mi nuh care weh dem a talk bout me.
We affi show dem seh wi anuh di same dawg.
Wana jf ninaomba mitazamo yenu kwamba ni lazima kufanana kwenye burudani au sio lazima na kwa nini??
Kama unapenda dancehall pia, toa maoni yako. Wadau wa dancehall tujuane pia.
Kwani wewe huoni hii mifumo ya kibabeli mfano hapa bongo wananchi wanavyohangaishwa kwenye mambo mbalimbali?Babylon system ina treat vipi watch?
Daah tunafanana kabisa!Hawa watu wanashangaza sana.
Mimi binafsi napenda kusikiliza miziki ambayo haisikilizwi na wengi haswa inayoongelea Hali ya maisha katika angle nyingine kabisa. Mfano mimi ni mwendo wa heavy metals , soukoous za Congo hardcore hiphop n.k.. kusikiliza nyimbo za mpenzi sana siyo vitu vyangu.
Weh yuh talk bout... battybwoy SYMLooks like somebody,a fucking nigga who spend much time on social media nothing but for seeking attention.
Yaah man, dem fi know seh...Kula maisha...kula maisha...kula maisha...kula maisha...kula maisha,
This is your life and your time,
So,enjoy it to the fullest,
Live the life you love,
Love the life you live.
Pon di solid,Yaah man, dem fi know seh...
Hivi umemuelewa vizuri hapo asliposema a fucking nigga?Weh yuh talk bout... battybwoy SYM
π nimemuelewa!..... mshamba mmoja tu huyo....Hivi umemuelewa vizuri hapo asliposema a fucking nigga?
Yaw dawg.. di whole a battywash crew affi know seh wi anuh inna dem bloodclaat lame lane...Pon di solid,
Dem bound fi know.
Kwa kusikiliza miziki tangu utotoni ya kinaWadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu.
Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu.
Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za kina Bounty killer, vybz kartel, mavado, Chronic Law na wengine wakali
π
Lakini wabongo wakinikuta nasikiliza hizi, wananikosoa wanasema ni nyimbo za ajabu kisa wao hawaelewi patois, wanataka nisikilize ambazo wao wanapenda kama za kina diamond na gospel.
Wananijaji eti mimi nasikiliza nyimbo za wavuta bangi.
Mimi nyimbo za kibongo huwa hazipandi kabisa isipokuwa bongo hip hop tu kwa mbaaaali. π
Dancehall music mi seh. Mi nuh care weh dem a talk bout me.
We affi show dem seh wi anuh di same dawg.
Wana jf ninaomba mitazamo yenu kwamba ni lazima kufanana kwenye burudani au sio lazima na kwa nini??
Kama unapenda dancehall pia, toa maoni yako. Wadau wa dancehall tujuane pia.
Daah rasta hata mimi imeni affect kabisa, I always talk about ghetto life na hii Babylon system inavyotunyanyasa wanyongeKwa kusikiliza miziki tangu utotoni ya kina
luckydube
Joseph Hill(culture)
Luciano
Peter Tosh
Senzo
Alpha Blonde
Robert Marley
Gregory
Nimeikuta mwanaharakati wa haki z binadamu, yaani huwezi kununua kibaoofika swala la kutetewa utu na Heshima ya ubinadamu ni zaidi ya dini
Yuh a fool-fool chink Come suck mi buddy.Weh yuh talk bout... battybwoy SYM
Pussyhole, guh n ask yuh fuckin fada fi suck yuh buddy....Yuh a fool-fool chink Come suck mi buddy.
Pussyhole, guh n ask yuh fuckin fada fi suck yuh buddy....
Yuh fi shame battybwoy