Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

Nitawaombea novena wote wanaochezea kodi za watanzania ambao hawana madawa kwa masilahi yao ya kisiasa. OFISI ya spika kuweni makini mtakwenda na maji.
Ukiwa ccm unakuwa na DNA za shetani imagine walifoji barua na saini ya mnyika lakini bado Wana guts za kwenda mahakamani.
 
Acha porojo,hujui kuwa Halima ni Mwanasheria kitaaluma?

Unadhani hajui jinsi ya kuulinda ubunge wake?

Kama mlimfukuza kihuni kama alivyosema Mahakama itamoa haki hake
Kwahiyo atarudishiwa uanachama wake? posho za bunge sawa lkn kuendelea kuwa mpangaji na mwenye nyumba umemfikisha mahakamani hiyo sahau.
 
Najua CDM wana utaratibu wa kuwarudisha wanachama waliofukuzwa kwa makosa mbalimbali, kwanini Mdee na wenzake wasifuate utaratibu huo ili kupata uwanachama wao? wanaweza kushinda kesi kwa sababu judicial under CCM ni rushwa tupu na good chance watashinda kesi, ila wakirudi CDM watapigwa tena kwa kura au kunyimwa ushirikiano na wana CDM, huwezi kulazimisha kukubalika ndani ya chama watafute suluhu tuu kwa utaratibu wa chama sio mahakama mbuzi za CCM
 
mwendazake na ayubu ndio waliolipandikiza jini hili na litaendelea kusumbua sana bomani
Mimi si muhumini wa kuamini 'eti mtu anaathiriwa' na mtangulizi wake NO, kwa nini iwe kwa late ila wengine hatusikii wakiathiriwa!.
 
Wa
Wanajisumbua , na kuendelea jifedheisha
 
Mbowe alikuwa Ikulu kabla ya mkutanio wa Baraza kuu la Chadema
Waambie serikali ilikua inajua Chadema inaenda kuwa fukuza hawa na ubaya wa hili hadi watu wa Tume ya Uchaguzi walikuwepo mpaka wakati wa hukumu hii!!!..watu wamesahau Kauli ya mama hivi Karibuni!!.. wanadhani mama anataka nini?!!..
 
Acha porojo,hujui kuwa Halima ni Mwanasheria kitaaluma?

Unadhani hajui jinsi ya kuulinda ubunge wake?

Kama mlimfukuza kihuni kama alivyosema Mahakama itamoa haki hake
Anaenda wapi kama yeye hakustahili kuwa viti maalum anaenda wapi kama yeye pia alishiriki kuteua viti maalum ambao hawapo Bungeni?!!..hivi unaweza kuhoji kuna Mahabusu gani anatolewa Gerezani 2 Usiku?!!..unajua hichi ni nini?!!.. Nadhani Halima anajua zaidi kuliko Ndugai?!!
 
Zitto Alikua Mbunge wa kupigiwa Kura na wananchi?!!.. Gharama za Uchaguzi Unajua?!!..
 
Kama unakuja hivi, tokea siku ya kwanza had Leo akili yangu imegoma kabisa kuamini eti Hawa covid 19 walijipeleka bungeni ,yule makengeza alicheza trick moja matata Sana tena kwa kiapo kikubwa Sana na hao wabunge.

Nimefuatilia namna halima anavyojibu maswali ya waandishi wa habari Kuna kitu anajitahidi Sana kukwepa na hii ndio silaa yao kubwa .
Mtazame makengeza kwa jicho la kawaida tu unamwona ni mtu mwenye mashaka Sana juu ya hili Jambo .

Utabairi wangu unaniambia makengeza ataenda kuumbuka vibaya mno siku za mbeleni ,kupona kwake kutoumbuka ni kuhakikisha mdee na wenzake wachache km bulaya ,matiko ,kishoa na wajanja wengine wasiopungua wanne wanateuliwa upya na chama kurudi bungeni tofauti na hapo hao wamama watamwaga kila kitu peupe kwa lengo la kila mtu akose ,na endapo ikawa hivyo huo ndio utakua mwisho wa chadema maana hakuna atakaekuja waamini Tena.

Naishia hapa ila akili yangu inaniambia makengeza ndie master wa huu mchezo.
 
Mahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki ndani ya JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
Pascal mnaonekana wajinga!!..majina ya viti maalum yapo lakini hayakupelekwa kwasababu gani?!...Hawa sio viti maalum kwanini wamepeleka majina yao?!!..Nani alifanya haya?!!..
 
Mkuu mbwe , heshima ni kitu cha bure!, usitukane watu!, ingawa siungi mkono hoja ya kuwatukana viongozi halali kwa majina ya ajabu ajabu yanayotweza, ila naunga mkono hoja, tena usikute...
P
 
Kwa hiyo majina yao si itabidi yabadilike kutoka Covid - 19 na kuwa Wabunge wa Mahakama?
 
Mkuu mbwe , heshima ni kitu cha bure!, usitukane watu!, ingawa siungi mkono hoja ya kuwatukana viongozi halali kwa majina ya ajabu ajabu yanayotweza, ila naunga mkono hoja, tena usikute...
P
Unga mkono vyote maana akili yako haina tofauti na huyo.
 
Sarakasi zote hizi sababu ni marupurupu na masurufu yanayoambatana na ubunge...
 
Mkuu mbwe , heshima ni kitu cha bure!, usitukane watu!, ingawa siungi mkono hoja ya kuwatukana viongozi halali kwa majina ya ajabu ajabu yanayotweza, ila naunga mkono hoja, tena usikute...
P
Ni fasihi tu mkuu Wala sijabeza mtu .
Naomba ieleweke hivyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…