Kuna popote nimesema mimi kuwa nina akili kuliko mawakili wa Chadema?. Kusoma sheria sio kuwa Wakili. Kuna wanasheria kibao very bright and brilliant na hawasimami mahakamani!.
The best wa sheria Chadema ni Tundu Lissu, nimemtangulia miaka 2 pale Ilboru. LL.B yangu ni ya UDSM and it's (Hons)!. Sio kila aliyesoma sheria anafanya litigations.
Not always the best runners win the race, or the best fighters win the fight,
this time around, Chadema inakwenda kushikishwa adabu!. Haiwekani kila siku ifanye uhuni iachwe hivi hivi!. Mdee ni Kisiki cha mpingo!.
P
- Sakata la wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema ni Chadema wenyewe ndio walilianzisha kwa kugomea nafasi 18 za viti maalum walizopewa na NEC.
- Kwa msaada wa kiongozi mmoja mkubwa wa Chadema, Halima Mdee akiwa na Esta Bulaya, wakam convince umuhimu wa nafasi hizo kwa Chadema, akawakubalia kwa shurti wasimtaje.
- Halima akawaorganize Wanawake wa Chadema kwa kuanzia na waliokuwa wabunge, wengine wakikubali, wengine walikataa, kwa waliokubali wakaunda a coalition of the willing
- Barua bonafide genuine ikaandikwa, mnene akawasainia in return na yeye kuchomekea hapo kakidumu chake, yakaenda NEC, watu wa fursa wakaichangamkia fursa.
- Hivyo ni Chadema wenyewe ndio walilianzisha na hizi kati ni Chadema wenyewe wamelimaliza Kwa kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya CC ya Chadema iliyo wafukuza.
- Walipopewa fursa ya kujitetea kwenye kikao cha Baraza Kuu, Halima Mdee akafanya kitendo kingine cha kishujaa kweli kweli kwa kutounguza picha ya Kilichopelekea kwa natumaini mnene yule angewaombea msamaha angalau wabaki wanachama wa kawaida!. Hili halikufanyika hivyo kilichofanywa na Baraza Kuu kuyabariki maamuzi batili ya CC ni uhuni.
- Sasa baada ya kuwatimua, ushauri wa bandiko hili bado uko valid, Chadema lazima sasa wautambue uchaguzi, wakubali matokeo, wafanye uteuzi wa wabunge wapya wakaapishwe maisha yaendelee.
- Kikwazo ni kimoja, utimuaji uliofanywa na CC ya Chadema ni batili, na baada ya kuonja fursa, jee watakubali matokeo, jee wataukubali ubatili huu au watakwenda mahakamani kutafuta haki yao?.
Jibu litapatikana on Monday.
This is my own recollection.
P.