Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

Zitto Alikua Mbunge wa kupigiwa Kura na wananchi?!!.. Gharama za Uchaguzi Unajua?!!..
Ni nacho maanisha ni kwamba, mawakili wa chadema watatoana jasho na mawakili wa utetezi ...kama ilivyokuwa kati ya Lissu na Msando... mwisho wa siku , judge alisema , ukiwa mwanachama wa kikundi, kuna masharti, kanuni , taratibu na miongozo ya kikundi hicho. Hivyo kukiuka hayo huwezi vumiliwa - achilia mbali hizo gharama za uchaguzi...mahakama ina kazi moja tu- kutafsiri kama katiba ya nchi ilivunjwa na kama c19 walipewa due process huko cdm...
Uchungu wa fedha za uchaguzi wanaotakiwa kuzijua ni hao wanao lazimisha kupewa malipo hewa ili hali hawataki kukubaliana na miongozo ya chama chao...
 
TULIA ACKSON ANADHALILISHA SANA UKRISTO, ULOKOLE WAKE PAMOJA NA KANISA LAKE LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD ( T.A.G).

ANAMINYA HAKI BILA AIBU NA KANISANI ANAPEWA SITI YA MBELE.
Ya kaisari mpeni kaisari, ya Mungu mpeni Mungu.

So akiwa kazini, ni kazi tu mambo ya hofu ya Mungu akienda church .
 
Kama una taarifa zilizojitosheleza, kwa Nini sasa hao vigogo kadhaa usiwataje?

Tofauti na hapo ni Umbea kama umbea mwingine tu.
 
acha wafanye hivyo ili tuwapate wote waliotumika kuchezea pesa zetu,
 

Wewe nae hacha kuuliza maswali ya hivyo kama mtoto mdogo,unataka kutuambia kwamba wakati wanaenda kuapishwa hakukuwa na list ilyotumwa ya wanaotakiwa kuapishwa na ilikuwa na Sahihi ya aliyewateua kwenda kuapishwa Bungeni?
 
Wewe nae hacha kuuliza maswali ya hivyo kama mtoto mdogo,unataka kutuambia kwamba wakati wanaenda kuapishwa hakukuwa na list ilyotumwa ya wanaotakiwa kuapishwa na ilikuwa na Sahihi ya aliyewateua kwenda kuapishwa Bungeni?

..Chadema wanadai hawakutuma listi ya wabunge wa viti maalum.

..Na hiyo ndio sababu iliyopelekea wawafute uanachama kwa kosa la kujipeleka bungeni bila ridhaa ya chama chao.
 
Mbowe alikuwa Ikulu kabla ya mkutanio wa Baraza kuu la Chadema
Hata Mimi nilikuwepo kwenye majadiliano, agenda ya msingi ilikuwa Ni hao COVID-19, na tulikubaliana na Mh. Rais kuwa Bunge ama serikali wasiingilie maamuzi ya CHADEMA juu ya hao COVID-19, na tulimtahadharisha Mbowe kuwa afate taratibu kwa mujibu wa Katiba yao na hatutowagusa, hayo mengineyo hayatuhusu
 
Jamani kwani nyie hamtaki kuona Ndugai na Mahera wakibananishwa na kibatala mahakamani? mzee mdee na mabinti zake 18 wakilambishwa sakafu?

Acheni iendelee hivihivi dunia ishuhudie unafiki wa nchi inayojifanya inafata sheria na demokrasia
 
CCM wanajimaliza wenyewe.
Mbona habari nyepesi sana hii?
Kila mtu anajua watakata rufaa.
Kwa akili zako mchakato wa kukata Rufaa pekee Mbunge Mdee mwanasheria mwenye degree 2 hauwezi mpaka apate msaada wa Speaker?
Au unafikiri hawakujipanga mapema?
Au unafikiri hawakujua kama watafukuzwa?

Daaah Poleni sana
 
Kicks of the dying horses...

Halima Mdee hiki ni kipindi cha 4 yuko Bungeni, hana cha kupoteza ila anawaponza wenzake. Let's imagine mahakama ikawapa ushindi, 2025 sio mbali, watagombea kupitia CHADEMA ipi? Au watasubiri tena viti maalum kwa style hii hii.
 
Jamani kwani nyie hamtaki kuona Ndugai na Mahera wakibananishwa na kibatala mahakamani? mzee mdee na mabinti zake 18 wakilambishwa sakafu?

Acheni iendelee hivihivi dunia ishuhudie unafiki wa nchi inayojifanya inafata sheria na demokrasia
Cross examination very soon
 
Ivi kweli wabunge 19 wa chadema kwenda Mahakamani kutetea ugali wao wali hitaji vigogo wa CCM kuratibu!!! Yaani mnatuona watanzania wote ma mbumbumbu?
Asili mia kubwa ya wananchi wanaamini kushambuliwa kwa Lisu zilikuwa hujuma
_Uchaguzi mkuu 2020,ulitawaliwa na hujuma
_Pia asilimia kubwa ya kesi ya ugaidi iliyomkabili Mwenyekiti wa cdm hata kabla MAAMUZI ya mahakama ilikuwa hujuma
_Wananchi sasa wanasubili kama hujuma zitaendelea hata katika hili la kuvuliwa uanachama wa akina Mndee.
Matukio haya yakiendelea yanaweza kuleta ushindi kwa vyama vingine vya upinzani kwa nguvu ndogo tu.Ccm watchout
 
Hao wanawake wajinga wasipokuwa makini sasa wanaenda kuwa maadui wa taifa, hizo kodi za watanzania wanazokula bure huko bungeni wanajitafutia laana.
Sasa laana ipi Imani zingine ni mzigo watu wanakula sadaka itakuwa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…