Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

Katiba mpya ingesaidia vp katika hili au ingezuia vp jambo kama hili kutokea?
 
Katiba mpya ingesaidia vp katika hili au ingezuia vp jambo kama hili kutokea?
Ndio tunauliza sasa! Ni kipi kitawafanya viongozi wetu wakifuate na wakiheshimu, pindi kunapotokea mambo kama haya!

Na ikiwa jambo kama hili lililoamliwa na sheria zetu za nchi na mahakama ikathibitisha, lkn hakuna utekerezaji kutoka kwenye mhumili unaopaswa kutii!

Nani ataisimamia katiba yetu mpya ambayo tunadhani inaweza kuwa mwarobaini wa hayo?
 
"Business as usual" Nabii mtenda miujiza kalifia hekalu labda tumsubiri arudi kwa njia nyingine
 
IQ yako wewe ndo imekufanya uilaumu CCM kwa jambo la wabunge wa CHADEMA

CCM inahusikaje hapo?
Naungana naye kuwa IQ yako iko chini sana, kama unashindwa kuelewa hata hili basi huna tofauti na kuku wa mayai ambaye anataga tuu na haulizi yale mengine yako wapi!
 
Mi naona aibu kuzaliwa Tanzania
 
Bila katiba ni bure
 
Ngoja tusubiri majibu.
 

..Spika aliwahi kufafanua hapa.

..hakuna ulazima wa Cdm kumpa taarifa ya maamuzi ya mahakama.

 

Kaka tafuta ela, Achana na mambo ya wanawake,
 
Ivi mkt alizuia Maandamano pia?
 
Ivi mkt alizuia Maandamano pia?
Na ikiwa ni hivi usemavyo! Basi wao na wanaowalinda wavunja katiba, lao moja na hawatustahili wote!

Lakini ili kuleta heshima, hili ni la kupinga kwa nguvu zote!
 
Kaka tafuta ela, Achana na mambo ya wanawake,
Mbona unaleta habari za wanawake hapa kaka..?

Tunazungumzia hatima ya Taifa letu linalojumuisha jinsia zote mkuu!!

Na kila jinsia inaumhimu sawa na nyingine
 
Awali ya yote Spika Litakuwa KUTOA tamko mara tu mahakama ilipotupilia mbali. Kinyume Kuna amri anasubiria!!
 
Katiba mpya yenyewe ije tu, make tusiyoweza kuyatetea ni machache tu ambayo yanahatarisha maslahi ya wanasiasa.
 
Mbona unaleta habari za wanawake hapa kaka..?

Tunazungumzia hatima ya Taifa letu linalojumuisha jinsia zote mkuu!!

Na kila jinsia inaumhimu sawa na nyingine

Hatma ya taifa Kwa watu 19 Tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…