Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sheria Ni msumeno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijivue akili, kwa hivyo kesi ya Uamsho na kesi ya Ugaidi iliyomkabili Mbowe zilimalizika kimiujiza ujiza. Obvious shinikizo limetumika. Shinikizo hilo hilo litumike kufyeka infamous 19.Kwa hiyo unataka Rais aingilie maamuzi ya mahakama?
Mama anaheshimu sheria
Mambo ya bunge yabaki bungeni
Mahakama pia ibaki kuwa mahakama
Msimpe mama lawama asizohusika nazo
Kesi ita vutwa hadi 2025. Maana hakuna Jaji mjinga ata wapa kina Mzee Mdee ushindi. Na hakuna Jaji ataweza kukubaliana na Chadema. Bado kodi zetu zitatumika kihuni kuwalipa wahuni.Spika ametoa taarifa Bungeni kwamba, Bunge halina mamlaka ya kusitisha uwakilishi wa wabunge 19 waliofukuzwa Chadema akieleza kwamba chombo pekee chenye mamlaka ya kufanya maamuzi ya mwisho kisheria ni Mahakama.
Hivyo watasalia Bungenimpaka hapo Mahakama itakapotoa hukumu.
Inategemea, je kama kuna zuio wameweka mahakamani la kuzuia utekelezwaji wa uamuzi wa CHADEMA? WATAENDELEA KUWA WABUNGE MPK MAHAKAMA ITAKAPOAMUA VINGINEVYOWanatakiwa watoke Bungeni kwanza wakisubiri mahakama kuwarudisha kama watashinda. Ndio sheria hiyo. Hayo mengine ni uhuni tu.
Bora hiyo kodi iliwe na Mdee kuliko kwenda kuliwa na kimada Joyce Mukya.
Mbowe anapambana sana ili kimada wake awe mbunge
Inategemea, je kama kuna zuio wameweka mahakamani la kuzuia utekelezwaji wa uamuzi wa CHADEMA? WATAENDELEA KUWA WABUNGE MPK MAHAKAMA ITAKAPOAMUA VINGINEVYO
Wacha kukadiria mambo usio na uhakika nayo. Masuala ya bunge ni bunge.. mahakama ni mahakama na serikali ni serikali.Usijivue akili, kwa hivyo kesi ya Uamsho na kesi ya Ugaidi iliyomkabili Mbowe zilimalizika kimiujiza ujiza. Obvious shinikizo limetumika. Shinikizo hilo hilo litumike kufyeka infamous 19.
Kesi ita vutwa hadi 2025. Maana hakuna Jaji mjinga ata wapa kina Mzee Mdee ushindi. Na hakuna Jaji ataweza kukubaliana na Chadema. Bado kodi zetu zitatumika kihuni kuwalipa wahuni.
Wacha kukadiria mambo usio na uhakika nayo. Masuala ya bunge ni bunge.. mahakama ni mahakama na serikali ni serikali.
Rais Samia anaheshimu mihimili yote mitatu. Wacha Mahakama itekeleze wajibu wake. Msimhusishe Rais ktk mambo asiyohusika nayo
Taratibu za kuwafuta uanachama zilifuatwa?KWA HIYO MBOWE NDIO ANAMKATAZA SPIKA ASIFUATE SHERIA?!?!
Mbunge anapopoteza sifa ya kuwa mbunge, whether kwa kufukuzwa uanachama au kwa sababu nyingine yoyote, hastahili kuendelea kuwa mbunge kwa siku moja zaidi.
Na hali hiyo inaendelea hadi hapo Mahakama Kuu, au Mahakama ya Rufaa ya Tanzania, itakapoamua vinginevyo.
Inategemea, je kama kuna zuio wameweka mahakamani la kuzuia utekelezwaji wa uamuzi wa CHADEMA? WATAENDELEA KUWA WABUNGE MPK MAHAKAMA ITAKAPOAMUA VINGINEVYO
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama.
=====
Spika amesema taarifa walianza kuiona kwenye mitandao ya kijamii usiku wa tarehe 11 Mei kwamba baraza kuu la CHADEMA limeazimia kukubaliana na uamuzi wa kamati kuu ya CHADEMA kuwafukuza uanachama wabunge 19 kupitia chama hicho.
Tarehe 12 Mei kwa njia ya barua pepe, wabunge hao 19 walimfahamisha spika maamuzi yaliyofikiwa na baraza kuu kwamba si halali, yako kinyume na katiba ya Tanzania na hayakuzingatia haki ya msingi ya kuwasikiliza au kuwaruhusu kujitetea.
Wabunge hao 19 wa CHADEMA wamepeleka kesi mahakama kuu ya Tanzania kupinga uamuzi huo na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika kupitia shauri namba 16 la mwaka 2022 dhidi ya baraza la wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya uchaguzi na mwanasheia mkuu wa Serikali.
Pia Spika Tulia amesema Mei 12 saa 9:30 alasiri afisa wa CHADEMA alifika bungeni aliyejitambulisha kwa jina la Meshack alifika ofisi ya spika Dar kukabidhi barua kwa spika na aliambiwa asubiri kwani wakati wa Bunge maafisa wote wanakuwa Dodoma, akaondoka baada ya kufanya mawasiliano na viongozi wake.
Tarehe hiyo hiyo Bunge lilipokea barua pepe iliyosainiwa na katibu mkuu wa CHADEMA juu ya maamuzi ya kikao cha baraza kuu juu ya kukataliwa rufaa ya wanachama 19 wa Chadema.
Spika amesema tarehe 13 Mei, barua hiyo iliwasilishwa ofisini kwa Spika kwa mkono na naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Singo Kigaila na baadae ikapokea barua hiyohiyo kwa DHL.
Spika amesema Mamlaka ya mwisho ya utoaji haki ni Mahakama katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo katika nchi yenye kuongozwa na sheria na kuheshimiana kati ya mhimili mmoja na mwingine, Bunge haliwezi kuingilia mchakato wa Mahakama hivyo inalazimika kusubiri mpaka mahakama itapotoa uamuzi wake kuhusu jambo hilo.
Spika amesema wabunge husika walimtaarifu mapema kabla hajapokea taarifa yoyote rasmi kutoka CHADEMA, hivyo analazimika kutotangaza nafasi za viti maalum 19 za CHADEMA ziko wazi hadi hapo mahakama itakapokamilisha kazi yake ya kutoa uamuzi.
Spika amesema endapo kutakuwa na maswali, msemaji wa jambo husika ni Spika.
Wabunge wamegonga meza kwa wingi kupongeza maamuzi yaliyosomwa na Spika.
Pia, Soma;
=> Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum
=> Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
=> Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu!
CHADEMA walitakiwa wawafukuze hao Wabunge siku ya Ijumaa saa kumi jioni na wapeleke Bungeni barua ya kuwafukuza saa kumi na moja jioni. Hiyo ingekuwa safi kabisa kwa kuwa wasingepata nafasi ya kufungua shauri hadi siku ya Jumatatu na Bunge huwa linafanya kazi hadi saa mbili usiku hivyo wangepokea barua siku ya Ijumaa jioni!! CHADEMA hawajui kwamba kumchinja kobe kunahitaji timing!! Wao ndio wamekuwa timed, Spika anasema alipokea taarifa ya Covid 19 kabla hajapokea taarifa ya CHADEMA!Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo??
Mbona Sofia Simba alipofukuzwa na CCM, ilitekelezwa mara moja na Bunge hilo hilo??
Iweje Hawa wabunge 19 wa viti maalum kutoka Chadema, ambapo vikao vyote 2 vya juu vya chama hicho, kwa maana ya Kamati Kuu na Baraza Kuu, vikisema wazi kuwa hao wabunge, weshafukuzwa na chama chao cha Chadema, kuwepo na kigugumizi cha kuwatimua Bungeni??
Hivi huyo Spika anapata wapi "kiburi" hicho, wakati anajua wazi kuwa Katiba yetu ya Jamhuri, inatamka wazi kuwa kila Mbunge, ni LAZIMA atokane na chama cha siasa??
Hivi huyo Spika Tulia Ackson, haoni kuwa atakuwa anavunja Katiba ya nchi, kwa kuwakumbatia wabunge, ambao hawatokani na chama chochote cha siasa nchini??
Hivi huyo Spika wa Bunge, Tulia Ackson, ambaye ana Shahada ya PhD ya sheria, haoni namna anavyodhalilisha taaluma yake ya sheria, kwa ajili tu ya kuinufaisha CCM?🥺
Wewe na wewe unajifanya unaakili kumbe ni kichwa cha panzi tu, Bunge ndilo limemaliza na sasa ni mapambano ya kesi kati Wabunge 19 na chadema mahakamani, na Kule wanaenda kuangalia km mchakato wa kuwafukuza ulifanyika sahihi aunque batili pamoja na hoja nyingine ambazo zitakuwa zimefika mahakamani dhidi ya kesi Hiyo ambayo sasa ni mpambano kati ya Kinahalima Mdee na ChademAt least amekubali kuwa CHADEMA wamefanya maamuzi yao na Bunge limepokea uamuzi wa chama cha hao wanawake..
Hii maana yake ni kubwa, mpira upo kwa Bunge/Spika. CHADEMA wamemaliza ya upande wao. Hawadaiwi tena...
Now, the game is between COVID 19 vs BUNGE vs SHERIA na KATIBA YA NCHI..!
Aise umenifuraidha, kwa hiyo wao waendelee mambo yao waachane na hao wakinamdee, good pointKwani wakiingia humo bungeni,mkiwa humuwatambui mnaumia nini?
Achaneni nao endeleeni na mambo yenu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Nitajibu vipi hoja ambayo haipo?Jibu hoja wacha kuleta hisia kwenye mambo ya msingi
Kiukweli Inaskitisha Supika huyu...nilitegemea supika angewasimamisha kuhudhuria vikao vya bunge mpaka pale Covid watakaposhinda Kesi mahakamani...hii kesi itapgwa danadana mahakamani kama ile galasa la ugaidi.Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama.
=====
Spika amesema taarifa walianza kuiona kwenye mitandao ya kijamii usiku wa tarehe 11 Mei kwamba baraza kuu la CHADEMA limeazimia kukubaliana na uamuzi wa kamati kuu ya CHADEMA kuwafukuza uanachama wabunge 19 kupitia chama hicho.
Tarehe 12 Mei kwa njia ya barua pepe, wabunge hao 19 walimfahamisha spika maamuzi yaliyofikiwa na baraza kuu kwamba si halali, yako kinyume na katiba ya Tanzania na hayakuzingatia haki ya msingi ya kuwasikiliza au kuwaruhusu kujitetea.
Wabunge hao 19 wa CHADEMA wamepeleka kesi mahakama kuu ya Tanzania kupinga uamuzi huo na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika kupitia shauri namba 16 la mwaka 2022 dhidi ya baraza la wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya uchaguzi na mwanasheia mkuu wa Serikali.
Pia Spika Tulia amesema Mei 12 saa 9:30 alasiri afisa wa CHADEMA alifika bungeni aliyejitambulisha kwa jina la Meshack alifika ofisi ya spika Dar kukabidhi barua kwa spika na aliambiwa asubiri kwani wakati wa Bunge maafisa wote wanakuwa Dodoma, akaondoka baada ya kufanya mawasiliano na viongozi wake.
Tarehe hiyo hiyo Bunge lilipokea barua pepe iliyosainiwa na katibu mkuu wa CHADEMA juu ya maamuzi ya kikao cha baraza kuu juu ya kukataliwa rufaa ya wanachama 19 wa Chadema.
Spika amesema tarehe 13 Mei, barua hiyo iliwasilishwa ofisini kwa Spika kwa mkono na naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Singo Kigaila na baadae ikapokea barua hiyohiyo kwa DHL.
Spika amesema Mamlaka ya mwisho ya utoaji haki ni Mahakama katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo katika nchi yenye kuongozwa na sheria na kuheshimiana kati ya mhimili mmoja na mwingine, Bunge haliwezi kuingilia mchakato wa Mahakama hivyo inalazimika kusubiri mpaka mahakama itapotoa uamuzi wake kuhusu jambo hilo.
Spika amesema wabunge husika walimtaarifu mapema kabla hajapokea taarifa yoyote rasmi kutoka CHADEMA, hivyo analazimika kutotangaza nafasi za viti maalum 19 za CHADEMA ziko wazi hadi hapo mahakama itakapokamilisha kazi yake ya kutoa uamuzi.
Spika amesema endapo kutakuwa na maswali, msemaji wa jambo husika ni Spika.
Wabunge wamegonga meza kwa wingi kupongeza maamuzi yaliyosomwa na Spika.
Pia, Soma;
=> Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum
=> Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
=> Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu!
View attachment 2226708
Hana phd ana Mavi matupuHivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?