Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushazoeshwa sarakasi na hii ni mojawapoKwahiyo mahakama inaweza ikasema hawa ni wanachama halali?
Kuna tatizo mahali
Spika ametoa taarifa Bungeni kwamba, Bunge halina mamlaka ya kusitisha uwakilishi wa wabunge 19 waliofukuzwa Chadema akieleza kwamba chombo pekee chenye mamlaka ya kufanya maamuzi ya mwisho kisheria ni Mahakama.
Hivyo watasalia Bungenimpaka hapo Mahakama itakapotoa hukumu.
Aliyemwachia kiti hatimaye alikimbia baadae bila kufukuzwa Sasa,kutokutenda haki Kuna matokea mabaya na Muda SII mrefu mbivu na mbichi zitajitenga.Wahuni lazima uwa handle kihuni vile vile. Safi sana supika
CHADEMA HAWANA MUDA WA KUHANGAIKA NA HII KESI,WALISHAMALIZA UPANDE WAO,WAKAE MPAKA 2025 NI SAWA TU.Ninachojua na utabiri wangu ndivyo utakavyo kuwa
♦️ Halima ni mwanasheria na anajua kabisa ground za judicial review...
Kwahiyo mahakama inaweza ikasema hawa ni wanachama halali?
Kuna tatizo mahali
HuYu supika ananifanya nianze kuipenda chadema sasaHiyo mpaka tarehe 24/Oktoba/2025.
Tuliwambia hili suala lina baraka za Mbowe na hata Pasco Mayala kila siku awaambia humu kwamba suala hili lina baraka ya mtu mzito huko ufipani ima mnakaza mafuvu na kumtukana.Hii ilijulikana wazi. Mihimili ya nchi inashindana kwa ujinga. Muhimili huu ukipanda kwenye level za ujinga mwingine unapambana kufanya ujinga mkubwa zaidi
Kwa hivyo unasema Watanzania tuvumilie ushenzi ?Kwaiyo unasema Bunge lipuuze mahakama?? Huna Akili masta
Ndiyo ujue kuwa Hawa wasomi wetu wa CCM, wako tayari kuidhalilisha taaluma yao ya sheria, kwa lengo la kuinufaisha CCM!🥺Katiba inasema Mbunge anakoma Ubunge baada ya kufutwa uanachama,sasa hiyo Mahakama ipo against Katiba?
1. Huna akili ya kuelewa kama hakuna sheria wala taratibu iliyovunjwa wakati Mbowe anaachiwa.Mahakama ilipoingiliwa na gaidi akaachiwa wakati alikutwa na kesi ya kujibu ulishangilia sana, sasa tulia hivyohivyo dawa ikuingie
KWA HIYO MBOWE NDIO ANAMKATAZA SPIKA ASIFUATE SHERIA?!?!Tuliwambia hili suala lina baraka za Mbowe na hata Pasco Mayala kila siku awaambia humu kwamba suala hili lina baraka ya mtu mzito huko ufipani ima mnakaza mafuvu na kumtukana.
Jiulize kwanini imechukua mwaka 1 na nusu nzima kusikiliza shauri hili hapo ufipa?
Jiulize siku moja kabla ya kikao cha balaza kuu la ufipa Mbowe alienda kufanya nini kwa Samia pale ikulu?
Wajinga nyie ndio mliwao!
Mbowe akiwa ana hutubia balaza kuu la ufipa: mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, mama Samia ana upiga mwingi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
inawezekana hatua zingine zilichukuliwa kwa haraka kwa kuwa kulikuwa na vilaza wengi lakini hapa kuna wasomi na wanasheria kama yeye hivyo taaluma inahitajika zaidi lakini huwezi jua kati yao kuna uwezekano wako watumishi wa serikali (japo kiukweli wabunge wote ni watumishi wa serikali) maalum na wanakzi maalumu hivyo si swala la kukurupuka!Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo??
Mbona Sofia Simba alipofukuzwa na CCM, ilitekelezwa mara moja na Bunge hilo hilo??
Iweje Hawa wabunge 19 wa viti maalum kutoka Chadema, ambapo vikao vyote 2 vya juu vya chama hicho, kwa maana ya Kamati Kuu na Baraza Kuu, vikisema wazi kuwa hao wabunge, weshafukuzwa na chama chao cha Chadema, kuwepo na kigugumizi cha kuwatimua Bungeni??
Hivi huyo Spika anapata wapi "kiburi" hicho, wakati anajua wazi kuwa Katiba yetu ya Jamhuri, inatamka wazi kuwa kila Mbunge, ni LAZIMA atokane na chama cha siasa??
Hivi huyo Spika Tulia Ackson, haoni kuwa atakuwa anavunja Katiba ya nchi, kwa kuwakumbatia wabunge, ambao hawatokani na chama chochote cha siasa nchini??
Hivi huyo Spika wa Bunge, Tulia Ackson, ambaye ana Shahada ya PhD ya sheria, haoni namna anavyodhalilisha taaluma yake ya sheria, kwa ajili tu ya kuinufaisha CCM?🥺
Acha upumbavu wako bana!Hivi ni kwa nini MaPsychopath MaCCM mmekosa huruma kabisa na kodi za masikini na bado mnawakamua MATOZO na hali ngumu yote hii.?! Huo sio uhuni ni UHAINI unafanywa na Tulia na CCM yake.
Chakufurahisha nini.
Maadam jambo hili limefika mahakamani, ngoja mahakama itoe maamuzi ya mwisho wasije kusema wameonewa.
It is the last kicks of a dying horse.