Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

Kwa hiyo unataka Rais aingilie maamuzi ya mahakama?

Mama anaheshimu sheria

Mambo ya bunge yabaki bungeni

Mahakama pia ibaki kuwa mahakama

Msimpe mama lawama asizohusika nazo
Usijivue akili, kwa hivyo kesi ya Uamsho na kesi ya Ugaidi iliyomkabili Mbowe zilimalizika kimiujiza ujiza. Obvious shinikizo limetumika. Shinikizo hilo hilo litumike kufyeka infamous 19.
 
Kesi ita vutwa hadi 2025. Maana hakuna Jaji mjinga ata wapa kina Mzee Mdee ushindi. Na hakuna Jaji ataweza kukubaliana na Chadema. Bado kodi zetu zitatumika kihuni kuwalipa wahuni.
 
Wanatakiwa watoke Bungeni kwanza wakisubiri mahakama kuwarudisha kama watashinda. Ndio sheria hiyo. Hayo mengine ni uhuni tu.
Inategemea, je kama kuna zuio wameweka mahakamani la kuzuia utekelezwaji wa uamuzi wa CHADEMA? WATAENDELEA KUWA WABUNGE MPK MAHAKAMA ITAKAPOAMUA VINGINEVYO
 
Bora hiyo kodi iliwe na Mdee kuliko kwenda kuliwa na kimada Joyce Mukya.

Mbowe anapambana sana ili kimada wake awe mbunge

Ndugu acha personal attacks, hapa tunajadili uhalali wa mbunge kuendelea kukaa bungeni wakati sio mwanachama wa chama chochote. Mambo ya kimada hata Rais aliwahi kumchgua kimada wake kuwa waziri.
 
Inategemea, je kama kuna zuio wameweka mahakamani la kuzuia utekelezwaji wa uamuzi wa CHADEMA? WATAENDELEA KUWA WABUNGE MPK MAHAKAMA ITAKAPOAMUA VINGINEVYO

Zuio wakati wewe sio mwanachama. Kumbuka akina Halima walivuliwa uanachama na kamati kuu, iweje wawe na mamlaka ya kuweka zuio?
 
Usijivue akili, kwa hivyo kesi ya Uamsho na kesi ya Ugaidi iliyomkabili Mbowe zilimalizika kimiujiza ujiza. Obvious shinikizo limetumika. Shinikizo hilo hilo litumike kufyeka infamous 19.
Wacha kukadiria mambo usio na uhakika nayo. Masuala ya bunge ni bunge.. mahakama ni mahakama na serikali ni serikali.

Rais Samia anaheshimu mihimili yote mitatu. Wacha Mahakama itekeleze wajibu wake. Msimhusishe Rais ktk mambo asiyohusika nayo
 
Kesi ita vutwa hadi 2025. Maana hakuna Jaji mjinga ata wapa kina Mzee Mdee ushindi. Na hakuna Jaji ataweza kukubaliana na Chadema. Bado kodi zetu zitatumika kihuni kuwalipa wahuni.

Je Kama mahakama inafanya uhuni wa Aina hiyo ni wapi haki itapatikana?.
 
Wacha kukadiria mambo usio na uhakika nayo. Masuala ya bunge ni bunge.. mahakama ni mahakama na serikali ni serikali.

Rais Samia anaheshimu mihimili yote mitatu. Wacha Mahakama itekeleze wajibu wake. Msimhusishe Rais ktk mambo asiyohusika nayo

Tanzania hakuna mahakama, mahakama zote zinaongozwa na Rais. Kama unakumbuka kesi ya Mbowe ilivyoendeshwa na wale majaji utajua ninachomaanisha.
 
Kama mnajua hayo kelele za nini.

USSR
 
Taratibu za kuwafuta uanachama zilifuatwa?
 
Ingependeza sana kama Mhe. Spika angeonyesha "AMRI YA ZUIO LA MUDA (TEMPORARY INJUNCTION) KUTOKA MAHAKAMA KUU" ambapo Bunge lingezuiwa kutekeleza matakwa ya Katiba kwa lengo la kupisha usikilizaji wa shauri la msingi.
 
CHADEMA walitakiwa wawafukuze hao Wabunge siku ya Ijumaa saa kumi jioni na wapeleke Bungeni barua ya kuwafukuza saa kumi na moja jioni. Hiyo ingekuwa safi kabisa kwa kuwa wasingepata nafasi ya kufungua shauri hadi siku ya Jumatatu na Bunge huwa linafanya kazi hadi saa mbili usiku hivyo wangepokea barua siku ya Ijumaa jioni!! CHADEMA hawajui kwamba kumchinja kobe kunahitaji timing!! Wao ndio wamekuwa timed, Spika anasema alipokea taarifa ya Covid 19 kabla hajapokea taarifa ya CHADEMA!
 
Wewe na wewe unajifanya unaakili kumbe ni kichwa cha panzi tu, Bunge ndilo limemaliza na sasa ni mapambano ya kesi kati Wabunge 19 na chadema mahakamani, na Kule wanaenda kuangalia km mchakato wa kuwafukuza ulifanyika sahihi aunque batili pamoja na hoja nyingine ambazo zitakuwa zimefika mahakamani dhidi ya kesi Hiyo ambayo sasa ni mpambano kati ya Kinahalima Mdee na Chadem
Kwani wakiingia humo bungeni,mkiwa humuwatambui mnaumia nini?
Achaneni nao endeleeni na mambo yenu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Aise umenifuraidha, kwa hiyo wao waendelee mambo yao waachane na hao wakinamdee, good point
 
Kiukweli Inaskitisha Supika huyu...nilitegemea supika angewasimamisha kuhudhuria vikao vya bunge mpaka pale Covid watakaposhinda Kesi mahakamani...hii kesi itapgwa danadana mahakamani kama ile galasa la ugaidi.
 
Mapambano ya riziki hayajawahi mepesi,nani anaweza kubali Mshahara wa zaidi ya milioni 10 umponyoke kirahisi🤣🤣🤣.Shida ya CDM hawapendi kuambiwa ukweli,Paskali alijaribu kuonesha upungufu wa uamuzi wa CC na Baraza kuu akashambuliwa!
Yeye Mbowe ana usafi gani wa kufukuza wasaliti wakati na yeye 2015 alikisaliti Chama kwa kumuweka Lowasa kuwa mgombea urais wakati walimuweka kwenye list of shame!🤣🤣🤣
 
Hana phd ana Mavi matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…