Hapo sasa ndio nakosa heshima na elimu zetu. Mtu akifukuzwa kazi akaenda mahakamani wakati kesi iko mahakamani anakuwa nje ya kazi siku kama akishinda basi analipwa stahiki zake zote akishindwa ndio basi ila hapa kinyume Mungu turudishe katika njia za haki.Lakini eleweni mnaowaumiza ni wananchi! Kuna kipindi kama wananchi inabidi tuwe serious. Wakishindwa na huko mahakamani, Watarudisha hizi pesa ambazo wataendelea kuzipokea?
Tuna wasomi wapumbavu nchii hii mmoja wapo ni huyo Tulia.
Ni hatari kuona muhimili mkuu wa kutunga sheria anavunja sheria hili jambo lina hatari kubwa sana huko mbeleni sio kwa ajili ya hawa 19 lakini athari zake sio nzuri kama taifa lenye kufuata sheria.
Kuna watu walikaa rumande miaka mwisho wa siku wanaambia kesi imefutwa simple tu haya ndio matokeo ya nchi kutofuata misingi ya sheria na haki. Sad kwa Tanzania leo.