Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

Lakini eleweni mnaowaumiza ni wananchi! Kuna kipindi kama wananchi inabidi tuwe serious. Wakishindwa na huko mahakamani, Watarudisha hizi pesa ambazo wataendelea kuzipokea?

Tuna wasomi wapumbavu nchii hii mmoja wapo ni huyo Tulia.
Hapo sasa ndio nakosa heshima na elimu zetu. Mtu akifukuzwa kazi akaenda mahakamani wakati kesi iko mahakamani anakuwa nje ya kazi siku kama akishinda basi analipwa stahiki zake zote akishindwa ndio basi ila hapa kinyume Mungu turudishe katika njia za haki.

Ni hatari kuona muhimili mkuu wa kutunga sheria anavunja sheria hili jambo lina hatari kubwa sana huko mbeleni sio kwa ajili ya hawa 19 lakini athari zake sio nzuri kama taifa lenye kufuata sheria.

Kuna watu walikaa rumande miaka mwisho wa siku wanaambia kesi imefutwa simple tu haya ndio matokeo ya nchi kutofuata misingi ya sheria na haki. Sad kwa Tanzania leo.
 
Haha siasa zina wenyewe Kuna Sheria na Siasa vikichanganywa inatoka smothie inakuwaga nzuri kwa afya hasa iwe na ubaridi wa wastani kumbuka smothie inawekwa maziwa kidogo😀
shida moja mnatake haya mambo serious sana

Chukuwa hii moja kwenye ulimwengu wa kibepari POLITICS NI BUSINESS, you have to find tricks, control measures, Networking circle etc kumonetize politcs and thats they be doing. wake up
😀😀😀
 
Chadema washamaliza kazi yao ...ningelikuwa mimi hata wito wa mahakama nisingeuitikia...maana huu ni uhuni wa wazi...waachwe waendelee kuibaka katiba na kujiaibisha
 
Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?

Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo?...🥺
sawa hao wabunge uliotaja waliofukuzwa na vyama vyao, tukumbushe walienda kupinga kwenye mahakama gani kuhusu kufukuzwa kwao?
 
Hizi sarakasi za ccm bhana. Covid 19 wakishindwa mahakama kuu tulia atasema wamekata rufaa mahakama ya rufani ilimradi 2025 iwakute bungeni.
 
S
Maadam jambo hili limefika mahakamani, ngoja mahakama itoe maamuzi ya mwisho wasije kusema wameonewa.

It is the last kicks of a dying horse.
Swali ni kwamba hayo maamuzi ya Mahakama yatatolewa lini??? Maana yanaweza kufika hadi May 2025
 
Aliyekata rufaa kwenda mahakamani ni Tulia kwa mkono wa covid19.
 
Watafika hadi mahakama ya rufaa ya bungeni kizunguzungu kibaya sana unaweza ukadondoka bila kujijua.
Hizi sarakasi za ccm bhana. Covid 19 wakishindwa mahakama kuu tulia atasema wamekata rufaa mahakama ya rufani ilimradi 2025 iwakute bungeni
 
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...]
HIVI CCM Wana ajenda gani na hawa Virusi 19? Wanaona wakiwafukuza Kama Sheria inavyosema watakosa pesa za wafadhili? Ni Jambo la aibu sana, kilichotakiwa wawe nje ya bunge wakisubiri uamuzi wa mahakama, lakini wanakuwemo bungeni kwa udhamini wa chama gani? Katiba mpya inahitajika.
 
Wacha kukadiria mambo usio na uhakika nayo. Masuala ya bunge ni bunge.. mahakama ni mahakama na serikali ni serikali.

Rais Samia anaheshimu mihimili yote mitatu. Wacha Mahakama itekeleze wajibu wake. Msimhusishe Rais ktk mambo asiyohusika nayo
Msichezee akili za watanzania. Kwa mazingira yetu judicial independence is a pipe dream. Kumbukeni justice delayed is justice denied.
 
Nadhani issue hii sio suala la 2025 au kesho ni muhimu nchi kuwa na sheria na sheria zisichague wakumuadhibu na yupi wakuachiwa, haki ni muhimu sana tu. Hawa wabunge wana haki kwenda mahakaman...
Kwani umesikia Bunge limeshawafukuza, Bunge litawafukuza tuu endapo maamuzi ya chama yatakuwa yalifuata utaratibu na ndio maana wameenda mahakamani, acha kugeuza geuza km vile Bunge ndio limeenza kuwafukuza, alafu sio lila mtu anafanya maamuzi kwa mihemko km chadema,
 
HIVI CCM Wana ajenda gani na hawa Virusi 19? Wanaona wakiwafukuza Kama Sheria inavyosema watakosa pesa za wafadhili? Ni Jambo la aibu sana, kilichotakiwa wawe nje ya bunge wakisubiri uamuzi wa mahakama, lakini wanakuwemo bungeni kwa udhamini wa chama gani? Katiba mpya inahitajika.
Wenzio wanapata ruzuku ya UN and EU kwa kuwa na wabunge wa upinzani bungeni.Ukiona kitu CCM wanang'ang'ania cha upinzani ujue kuna maslahi kama hakuna maslahi wangesha jibiwa tangu siku ile ile refer wabunge wa CAF
 
Kwani umesikia Bunge limeshawafukuza, Bunge litawafukuza tuu endapo maamuzi ya chama yatakuwa yalifuata utaratibu na ndio maana wameenda mahakamani, acha kugeuza geuza km vile Bunge ndio limeenza kuwafukuza, alafu sio lila mtu anafanya maamuzi kwa mihemko km chadema,
Nimekusoma mara kumi hata sijakuelewa na bado nahangaika kukuelewa ni kama ume panic kama kuna mkeo yumo kwenye 19. Tulia andika hoja.
 
Msichezee akili za watanzania. Kwa mazingira yetu judicial independence is a pipe dream. Kumbukeni justice delayed is justice denied.
Rais wetu Samia Suluhu Hassani haingilii mihimili, anaheshimu utawala wa sheria na demokrasia.

Mahakama ifanye kazi yake kwa kadri ya katiba, sheria na taratibu zinavyotaka
 
Wale wadada mnawaone sana chadema ila mmekutana na kisiki cha mpingo kipindi hiki.!
Mbona hamkujifunza kwa zitto , kuna tatizo pahala ndani ya chama, au hao wanasheria wa chama hawana msaada
Wanasheria wao ni wasaka tonge walishaweka timu ya kuwasifia kila kukicha
 
Mpaka hiyo kesi ije kuisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa umeshafanyika, kwa hiyo covid 19 wanaendelea kuinjoi ubunge wao to the fullest. Walio na wivu waende chooni wakakate gogo. 2025 ikifika covid 19 watakuwa wameshafanya maamuzi wahamie chama gani ili wagombee ubunge tena. That's all about political business.
 
Back
Top Bottom