Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

Hawa wabunge sina uhakika kama watatoka bungeni........
It was part of the deal..

CDM mmetimiza sehemu yenu, as long as wanakula hela ya nchi waachemi wale.

Mbunge gani anatoka gelezani usiku wa manane na escot ya Police kwenda kuapa kesho yake.

Watanzania hebu tuwe serious kidogo basia na mambo yetu...tunachekwa na ulimwengu..
 
Mpaka hiyo kesi ije kuisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa umeshafanyika, kwa hiyo covid 19 wanaendelea kuinjoi ubunge wao to the fullest. Walio na wivu waende chooni wakakate gogo. 2025 ikifika covid 19 watakuwa wameshafanya maamuzi wahamie chama gani ili wagombee ubunge tena. It's all about political business.
Mkuu vp wewe unapendezwa na kufurahishwa na namna watunga Sheria yetu wanavyofanya? au maoni yako ni yepi.
 
Ulitaka aende nanani, nyie nyumbu hamjui mnachotaka sasaivi nikama mmerogwa 24/7 mnapambana na kaburi mmesahau kujipanga kushughulika na currents situations.
Halafu eti wako serious kuiondoa CCM duuuuuuu.Matobo kibao utaitoaje ccm
 
Kuna shida gan juu ya wabunge 19 wa CHADEMA?

Wapo wabunge weng wamefukuzwa uanachama wa vyama vyao pamoja na kufungua kesi mahakaman lakn bado walikuwa nje ya bunge kusikilizia rufaa zao

Kuna shida gan kwa Hawa wabunge wa CHADEMA mh Rais ?nakutaja wewe sababu ndye uliyeapa kuilinda katiba ya nch yetu ?

Hawa wabunge wamebeba Siri gani jaman had Rais spika. Wanashindwa kuwa na maamuz ambayo yapo wazi

NI WAZI RAIS SAMIA UMESHINDWA KUILINDA KATIBA YA NCHI YETU
 
It was part of the deal..

CDM mmetimiza sehemu yenu, as long as wanakula hela ya nchi waachemi wale.

Mbunge gani anatoka gelezani usiku wa manane na escot ya Police kwenda kuapa kesho yake.

Watanzania hebu tuwe serious kidogo basia na mambo yetu...tunachekwa na ulimwengu..
Wengine wanadhani Mbowe ndo anapoteza, ingekua nchi ambayo wananchi wake wanajitambua Rais na Bunge wangeangushwa mapema sana.
 
Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?

Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo?...🥺
Upumbavu mkubwa. halafu anayefanya hivyo anaitwa mwalimu wa sheria?

Kwamba mtu ameshitakiwa kwa mauji akakata rufaa, ati aachwe awe huru mpaka rufaa itakapoamuliwa?

Mtu mweusi ni laana mbele ya mungu
 
Kesi itaenda Hadi 2025 alaf wanahamia CCM wanaingia bungen tena plan ndo iko hivyo
 
Kwa nini usiwe mvumilivu kuvua mbivu na mbichi? Unadhani CC na Baraza kuu ni kikao cha watakatifu wasiokosea? Sasa ni muda wa Dalali DJ kuaibika
Tatizo la chadema wametumia muda mwingi kupambana na Kaburi sasa yamewarudi.Hebu vuta picha ya Mdee akibusu picha ya Hayati unadhani alikuwa haonyeshi mahaba kwa baba yuleeee halafu nyie mmetumia mwaka mzima kumtukana.Haya chachaaaa
 
kuna idadi ya wabunge wa upinzani inahitajika kwenye kamati za utawala bora ili kupata euros za european union za kuendesha bunge sasa mwaka 2020 waliiba kupitiliza kwa hiyo covid 19 wanatumika kudanganyia wazungu kwamba kuna upinzani bungeni na demokrasia
 
Maigizo hayataisha Tanzania CHADEMA wakomae wao Kama wao ova.
Katiba mpya,Katiba mpya ni lazima!

Katiba tuliyo nayo ni ya kihuni na inawanufaisha CCM na Serikali yao!!!!HII NI KATIBA INAYOKUPA HAKI KWA MKONO WA KULIA LAKINI INA KUNYANG'ANYA TENA KWA MKONO WA KUSHOTO!!! ONLY MADE IN TANZANIA?

CHADEMA nao waende Mahakamani kufungua kesi dhidi ya Halima Mdee na wenzake 19 kwa kukiuka Katiba ya JMT kuingia Bungeni kwa kughushi barua za Chama ili waingie Bungeni. Hapo lazima afungwe mtu. Hatutaki ujinga!!!
 
Zitachezwa pasi ndefu, fupi, danadana hadi 2025 hii hapa na stahiki zao kama wabunge watazipata. Hii ndio Africa bwana!!
 
Tanzania ina wasomi wa hovyo sana, kuna Mtu anajiita P atakuja na kukwambia mambo ya voices from within, tokea lini nchi ikaendeshwa na voices from within? au utasikia kila kitu kihahusisha KARMA- KARMA ni katiba ya nchi au chama? Alafu anajinasibu ni mawili nguli wa sheria- ni aibu kwa wasomi wa Tanzania.
Mkuu Paschal ni kama njiwa ameshapeleka salaamu kwa yuleeee kwa yuleeee, saa hiii ana mambo zingine khaaaaaa
 
Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?

Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo...🥺

You said it all.

Hao ni wabunge wa CCM kupitia CHADEMA.

Sasa sisi CHADEMA tumewakataa kabisa.

Huwezi kulazimisha ndoa na mume asiyekutaka na keshakupa talaka
 
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama

kodi zetu mnaendelea kulipa wabunge HEWA katika kipindi hiki nchi haina pesa wananchi wanakamuliwaaa, halafu eti mama anafungua nchi.

Huyu mtoto wa mwansasu toka alivyoletwa kimchongo kupewa naibu spika, nikajua kabisa mave matupu
 
Chadema wameshindwaje kutetea nafasi zao 19 za ubunge?

Je Chadema ni chama dhaifu?
 
Series nyingine inaanza upya...

Mahakama itachukua muda wake inavyoona inafaa kuamua kesi, habari itakuwa ni CHADEMA na Wabunge 19 kwa miezi kadhaa.

CHADEMA itatafuta suluhu kwa mkuu wa nchi, mkuu wa nchi atasema hawezi kuingilia uhuru wa mahakama wala mamlaka ya Bunge ( Si huwa tunasema mara kadhaa kuwa maamuzi ya Mahakama na Bunge yanaingiliwa).

Muda utaendelea na malumbano pia yataendelea.....

Mwishoni kabisa, Mahakama itatoa hukumu....

Kitakachofuata

1. Waliofukuzwa uanachama kusema wamejitoa CHADEMA huku wakieleza madhaifu mazito ya uongozi ndani ya CHADEMA

2. CHADEMA kuanza kujisafisha kwa tuhuma, kejeli na maneno ya waliofukuzwa.

3. CHADEMA inagundua kuwa imepoteza muda kushughulika na wanachama 19 huku ikiwa inapoteza wanachama wengi zaidi.....

Wakubwa, mtakumbuka kilichoikuta NCCR-Mageuzi.....

Tukija kushtuka tupo 2025 na ni mwaka wa Uchaguzi.

Vyama vya siasa vya afrika vinajengwa na wachache kwa manufaa ya wachache......
 
Kesi itaenda Hadi 2025 alaf wanahamia CCM wanaingia bungen tena plan ndo iko hivyo

Zitachezwa pasi ndefu, fupi, danadana hadi 2025 hii hapa na stahiki zao kama wabunge watazipata. Hii ndio Africa bwana!!
Wengi mpo gizani, kesi hii ikichukuwa muda mrefu ni miezi mitatu tu, muulize ofisa wa mahakama yeyote unayemjuwa.
 
Series nyingine inaanza upya...

Mahakama itachukua muda wake inavyoona inafaa kuamua kesi, habari itakuwa ni CHADEMA na Wabunge 19 kwa miezi kadhaa.

CHADEMA itatafuta suluhu kwa mkuu wa nchi, mkuu wa nchi atasema hawezi kuingilia uhuru wa mahakama wala mamlaka ya Bunge ( Si huwa tunasema mara kadhaa kuwa maamuzi ya Mahakama na Bunge yanaingiliwa).

Muda utaendelea na malumbano pia yataendelea.....

Mwishoni kabisa, Mahakama itatoa hukumu....

Kitakachofuata

1. Waliofukuzwa uanachama kusema wamejitoa CHADEMA huku wakieleza madhaifu mazito ya uongozi ndani ya CHADEMA

2. CHADEMA kuanza kujisafisha kwa tuhuma, kejeli na maneno ya waliofukuzwa.

3. CHADEMA inagundua kuwa imepoteza muda kushughulika na wanachama 19 huku ikiwa inapoteza wanachama wengi zaidi.....

Wakubwa, mtakumbuka kilichoikuta NCCR-Mageuzi.....

Tukija kushtuka tupo 2025 na ni mwaka wa Uchaguzi.

Vyama vya siasa vya afrika vinajengwa na wachache kwa manufaa ya wachache......
Upo gizani, huna ulijuwalo, tena kama hujui kesi kama hii Chedema watapewa tuhuma kwa maandishi na wanajibu kws maandishi Jaji anatowa hukumu.

Watanzania wengi ni mbumbumbu wa sheria.
 
Back
Top Bottom