Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It was part of the deal..Hawa wabunge sina uhakika kama watatoka bungeni........
Mkuu vp wewe unapendezwa na kufurahishwa na namna watunga Sheria yetu wanavyofanya? au maoni yako ni yepi.Mpaka hiyo kesi ije kuisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa umeshafanyika, kwa hiyo covid 19 wanaendelea kuinjoi ubunge wao to the fullest. Walio na wivu waende chooni wakakate gogo. 2025 ikifika covid 19 watakuwa wameshafanya maamuzi wahamie chama gani ili wagombee ubunge tena. It's all about political business.
Halafu eti wako serious kuiondoa CCM duuuuuuu.Matobo kibao utaitoaje ccmUlitaka aende nanani, nyie nyumbu hamjui mnachotaka sasaivi nikama mmerogwa 24/7 mnapambana na kaburi mmesahau kujipanga kushughulika na currents situations.
Wengine wanadhani Mbowe ndo anapoteza, ingekua nchi ambayo wananchi wake wanajitambua Rais na Bunge wangeangushwa mapema sana.It was part of the deal..
CDM mmetimiza sehemu yenu, as long as wanakula hela ya nchi waachemi wale.
Mbunge gani anatoka gelezani usiku wa manane na escot ya Police kwenda kuapa kesho yake.
Watanzania hebu tuwe serious kidogo basia na mambo yetu...tunachekwa na ulimwengu..
Upumbavu mkubwa. halafu anayefanya hivyo anaitwa mwalimu wa sheria?Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo?...🥺
Tatizo la chadema wametumia muda mwingi kupambana na Kaburi sasa yamewarudi.Hebu vuta picha ya Mdee akibusu picha ya Hayati unadhani alikuwa haonyeshi mahaba kwa baba yuleeee halafu nyie mmetumia mwaka mzima kumtukana.Haya chachaaaaKwa nini usiwe mvumilivu kuvua mbivu na mbichi? Unadhani CC na Baraza kuu ni kikao cha watakatifu wasiokosea? Sasa ni muda wa Dalali DJ kuaibika
Katiba mpya,Katiba mpya ni lazima!Maigizo hayataisha Tanzania CHADEMA wakomae wao Kama wao ova.
Mfumo uliamua waende bungeni, mfumo unawaweka bungeni na utaendelea kuwaweka bungeniAisee!.
Mama na JPM kumbe ni kitu kimoja.
Mkuu Paschal ni kama njiwa ameshapeleka salaamu kwa yuleeee kwa yuleeee, saa hiii ana mambo zingine khaaaaaaTanzania ina wasomi wa hovyo sana, kuna Mtu anajiita P atakuja na kukwambia mambo ya voices from within, tokea lini nchi ikaendeshwa na voices from within? au utasikia kila kitu kihahusisha KARMA- KARMA ni katiba ya nchi au chama? Alafu anajinasibu ni mawili nguli wa sheria- ni aibu kwa wasomi wa Tanzania.
Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo...🥺
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama
Kesi itaenda Hadi 2025 alaf wanahamia CCM wanaingia bungen tena plan ndo iko hivyo
Wengi mpo gizani, kesi hii ikichukuwa muda mrefu ni miezi mitatu tu, muulize ofisa wa mahakama yeyote unayemjuwa.Zitachezwa pasi ndefu, fupi, danadana hadi 2025 hii hapa na stahiki zao kama wabunge watazipata. Hii ndio Africa bwana!!
Upo gizani, huna ulijuwalo, tena kama hujui kesi kama hii Chedema watapewa tuhuma kwa maandishi na wanajibu kws maandishi Jaji anatowa hukumu.Series nyingine inaanza upya...
Mahakama itachukua muda wake inavyoona inafaa kuamua kesi, habari itakuwa ni CHADEMA na Wabunge 19 kwa miezi kadhaa.
CHADEMA itatafuta suluhu kwa mkuu wa nchi, mkuu wa nchi atasema hawezi kuingilia uhuru wa mahakama wala mamlaka ya Bunge ( Si huwa tunasema mara kadhaa kuwa maamuzi ya Mahakama na Bunge yanaingiliwa).
Muda utaendelea na malumbano pia yataendelea.....
Mwishoni kabisa, Mahakama itatoa hukumu....
Kitakachofuata
1. Waliofukuzwa uanachama kusema wamejitoa CHADEMA huku wakieleza madhaifu mazito ya uongozi ndani ya CHADEMA
2. CHADEMA kuanza kujisafisha kwa tuhuma, kejeli na maneno ya waliofukuzwa.
3. CHADEMA inagundua kuwa imepoteza muda kushughulika na wanachama 19 huku ikiwa inapoteza wanachama wengi zaidi.....
Wakubwa, mtakumbuka kilichoikuta NCCR-Mageuzi.....
Tukija kushtuka tupo 2025 na ni mwaka wa Uchaguzi.
Vyama vya siasa vya afrika vinajengwa na wachache kwa manufaa ya wachache......