Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwani aliepo madarakani ni yule dhalimu wako?
Ni msaidizi wa dhalimu, ni hivi dhalimu ni dhalimu hata ukeshe hapa mtandaoni huwezi kubadili ukweli huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani aliepo madarakani ni yule dhalimu wako?
Wanapinga maamuzi ya kuvuliwa uanachama na hiyo kamati mchongo yenu na Baraza la Mbowe.Zuio wakati wewe sio mwanachama. Kumbuka akina Halima walivuliwa uanachama na kamati kuu, iweje wawe na mamlaka ya kuweka zuio?
Hakuna mhimili wenye mizizi mirefu kushinda mhimili wa serikaliTanzania hakuna mahakama, mahakama zote zinaongozwa na Rais. Kama unakumbuka kesi ya Mbowe ilivyoendeshwa na wale majaji utajua ninachomaanisha.
Mihemko kama sukuma gang wanavyohemka..Watu wanashangaa nini, mbona hili lilitegemewa. CHADEMA wamefanya kosa kwa maana ya timing.
Na itawagharimu, Wana option moja, compromise na Hawa akina mama.
Hili litakua kosa jingine Kama like la kumzingua Dr. Slaa.
Sijui kwanini Chadema wanaendelea kufanya makosa Kama haya.
Wenye akili walijua itaishia hapa, wamama wale wanaimage ya Chadema unaanzaje kuwazingua?!
Wanaoumia ni wananchi wote wanaolipa kodi.kwasababu zinazotumika kuwalipa hao watu ni kodi tunazozilipa wananchi wote wazee kwa vijana.Chadema wanaweza wakaamua kukaa kimya kama hao watu uwepo wao haukihusishi chadema na chadema wakaendelea na mambo yao maana wao hawatoi ata shilingi kwenye kuwahudumia.ila je ni sawa mwananchi kugharamia maslahi ya mtu kwenye taasisi ya umma ambaye uwepo wake umekiuka taratibu.Kwani wakiingia humo bungeni,mkiwa humuwatambui mnaumia nini?
Achaneni nao endeleeni na mambo yenu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Zile Nchi za kijinga kama Nchi gani?Kuna mambo ukiwa na akili timamu unaona kabisa yanaweza kufanyika kwenye zile nchi za kijinga tu.kamwe huwezi kuyaona kwenye nchi zenye watu smart wanaojielewa.
Nasikitika kusema nchi nyingi za kundi la kwanza zinapatikana Afrika na hii ikiwa mojawapo.Nchi ambayo mwenye elimu na asiye na elimu wote wanakiwango sawa cha kufikiria.nchi ambayo mwenye madaraka na asiye na madaraka wana kiwango sawa cha maamuzi.Inasikitisha sana.
Naomba unipe hiyo quote otherwise utakuwa unaongelea nonsense. Wewe kila habari ni Magufuli, nimeshamtaja hapa? Ungekuwa mama Janeth pengine ningekuelewaKwenye kifo cha Magu ulikuwa unademka kwamba ni karma ila hapa hutaki kuamini kma ni karma?
Vip walishakupakua nini hadi unajua hayo ya ngono kwenye hicho chama?Kama kile chama kinachotumia rushwa ya ngono kupata ubunge viti maalumu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Hii kesi itachukua miaka mitatu kuisha, ni hadi 2025 july ndio uamuzi utatolewa kuwa chadema wameshinda kesi na wakina halima kufukuzwaMaadam jambo hili limefika mahakamani, ngoja mahakama itoe maamuzi ya mwisho wasije kusema wameonewa.
It is the last kicks of a dying horse.
Tumia akili zako sawa sawa basi.Zile Nchi za kijinga kama Nchi gani?
Sawa mkuu, wewe upo kwenye mwanga. Kwamba figisu za nchi hii ni wewe tu unazijua!Wengi mpo gizani, kesi hii ikichukuwa muda mrefu ni miezi mitatu tu, muulize ofisa wa mahakama yeyote unayemjuwa.
Taja NchiTumia akili zako sawa sawa basi.
Hao wengine unaowataja walienda mahakamani? au kwa kuwa katiba ya chadema haiitambui mahakama basi na nyie hamuitambui?Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wale wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja na Bunge hilo??
Mbona Sofia Simba alipofukuzwa na CCM, ilitekelezwa mara moja na Bunge hilo hilo??
Iweje Hawa wabunge 19 wa viti maalum kutoka Chadema, ambapo vikao vyote 2 vya juu vya chama hicho, kwa maana ya Kamati Kuu na Baraza Kuu, vikisema wazi kuwa hao wabunge, weshafukuzwa na chama chao cha Chadema, kuwepo na kigugumizi cha kuwatimua Bungeni??
Hivi huyo Spika anapata wapi "kiburi" hicho, wakati anajua wazi kuwa Katiba yetu ya Jamhuri, inatamka wazi kuwa kila Mbunge, ni LAZIMA atokane na chama cha siasa??
Hivi huyo Spika Tulia Ackson, haoni kuwa atakuwa anavunja Katiba ya nchi, kwa kuwakumbatia wabunge, ambao hawatokani na chama chochote cha siasa nchini??
Hivi huyo Spika wa Bunge, Tulia Ackson, ambaye ana Shahada ya PhD ya sheria, haoni namna anavyodhalilisha taaluma yake ya sheria, kwa ajili tu ya kuinufaisha CCM?[emoji3064]
Serikali inaenda kuhaibishwa tena huko mahakamani..Mbona kwa Lissu mahakama ilisema haitawaingilia Bunge?
Mkuu Memento, kwaantiki hiyo unatuambia kuwa hawa ni muhimu sana zaidi ya Spika? Hata huyu aliyepo anaweza kuondolewa na Serikali faster?Unapaswa kujua tu kuwa hao wabunge bado wanahitajika huko.
Hiyo kesi yenyewe kuja kuisha 2025.
Wangekuwa hawaitajiki wangeshaondolewa faster tu, kama spika tu aliondolewa faster tu kwa hao Wala isingeshindikana
CHADEMA, na hasa Mbowe, sasa ni lazima wajue kuwa hakuna kilichobadilika, ila namna tu ya utekelezaji wa hujuma ndiko kulikobadilika.Serikali inaendeshwa kihuni
Lissu alishasema Kuwa Chifu Hangaya hana nia ya maridhiano bali analazimishwa na mabeberu.CHADEMA, na hasa Mbowe, sasa ni lazima wajue kuwa hakuna kilichobadilika, ila namna tu ya utekelezaji wa hujuma ndiko kulikobadilika.
badala ya kuwaponda vichwa na kuwatupa gerezani, sasa wanaitwa ikulu na kupewa chai na lugha nyororo sana ya kuwatia usingizi.
Mbowe ni lazima aogope sana.
Na mahakama itakapoamua kuimaliza hii kesi 2025, sijui itakuwaje mkuu Quinine?Maadam jambo hili limefika mahakamani, ngoja mahakama itoe maamuzi ya mwisho wasije kusema wameonewa.
It is the last kicks of a dying horse.
Kwamba BUNGE linasema kumfuta mwanachama Uanachama tufuate KATIBA ya Nchi na Si ya CHAMA tena? Ivi mnajua ni Kodi zetu mnapoteza?Maigizo hayataisha Tanzania CHADEMA wakomae wao Kama wao ova.