Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge letu linafuata sheria za jumuia ya madola la vyama vingi. Kama hawatokuwapo bungeni, tanzania itakuwa inakiuka taratibu hizo, na kutakuwa na athariHuwa najiuliza maswali mengi sipati majibu.. hivi CCM inafaidika vp na hao wabunge 19? Kwanini mnahubiri maridhiano wakati nyie hampo tayari? Mnaturudisha nyuma Sana. Achanane na siasa za kukomoana tusonge mbele.
Kanuni za ChamaEleza katiba imevunjwaje? Ibara au kifungu gani cha katiba?........Don't just speak out of nothing...
Usijifanye mjanja ndugu. Sarakasi hizo zilitarajiwa. Wala suala hilo kuwa hivyo haina maana kuwa Chadema walikosea lolote katika kufikia maamuzi yao.Mapambano ya riziki hayajawahi mepesi,nani anaweza kubali Mshahara wa zaidi ya milioni 10 umponyoke kirahisi🤣🤣🤣.Shida ya CDM hawapendi kuambiwa ukweli,Paskali alijaribu kuonesha upungufu wa uamuzi wa CC na Baraza kuu akashambuliwa!
Yeye Mbowe ana usafi gani wa kufukuza wasaliti wakati na yeye 2015 alikisaliti Chama kwa kumuweka Lowasa kuwa mgombea urais wakati walimuweka kwenye list of shame!🤣🤣🤣
Kanuni za Chama
6.5.2 Kwa mujibu wa Ibara 5.4.3 na 5.4.4 ya Katiba, mwanachama yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu ama kuonywa ama kuachishwa ama kufukuzwa uanachama bila kwanza:
(a) Kujulishwa makosa yake kwa maandishi na kutakiwa kutoa majibu katika muda usiopungua wiki mbili.
(b) (c) (d) Kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya kikao kinachohusika.
Mwanachama atajulishwa kwa maandishi uamuzi wa kikao mnamo wiki mbili baada ya kusikilizwa.
Kamati Kuu inaweza kuchukua hatua za dharura bila kuzingatia utaratibu wa kifungu (a) na (b) hapo juu kama itaona maslahi ya Chama kwa ujumla yanaweza kuathiriwa isipokuwa mwachama au kiongozi anayelalamikiwa atalazimika kuitwa kwenye kikao husika.
Hapo tu kuna waliopewa taarifa kwa simu na bila kufafanuliwa makosa yao ili wapate muda wa kutoa utetezi.
Ukiendelea mbele...
6.5.6 Kiongozi yeyote hatachukuliwa hatua za kinidhamu bila kwanza kupewa mashitaka kwa maandishi na mamlaka husika na kupewa nafasi ya kujibu mashitaka kwa maandishi.
Waliitwa kwenye CC. "Inasemekana" baadhi walitii na kwenda na "likely" walijitetea. some didn't obey the summon. Vivyo hivyo wote walikuwepo kwenye Baraza Kuu. Aidha walipewa nafasi ya kujijitea huku tukiona kwa macho yetu hatua kwa hatua..6.5.7 Kiongozi mhusika, zaidi ya utetezi wa maandishi, atapewa nafasi ya kujieleza bayana mbele ya kikao cha mamlaka ya nidhamu.
Likely, ndivyo ilivyo...6.5.8 Kiongozi aliyeadhibiwa atapewa taarifa ya misingi ya maamuzi ya mamlaka ya nidhamu ili kumwezesha kuamua kukata rufani au la.
Katika wote hakuna aliyepewa mashitaka kwa maandishi wala nafasi ya kutoa utetezi wala taarifa ya msingi ya mamlaka ya nidhamu. Mpaka hapo mwenendo mzima wa kuwafukuza uanachama ukawa batili.
Maswali yamo ndani ya maelezo yangu. Yajibu kama unaweza...Ukiwa na swali jingine uliza.
Umewatoa gizani .... Asante sana mkuu ....Wengi mpo gizani, kesi hii ikichukuwa muda mrefu ni miezi mitatu tu, muulize ofisa wa mahakama yeyote unayemjuwa.
Matola ulikuwa sahihiWengi mpo gizani, kesi hii ikichukuwa muda mrefu ni miezi mitatu tu, muulize ofisa wa mahakama yeyote unayemjuwa.
Kutuliza mshono kwa zamu..haya ni saa yako kuutuliza huo mshono vaa kibwebweChadema tulizeni mshono, kazi yenu ya kuwafukuza uanachama mmeshaimaliza
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama.
=====
Spika amesema taarifa walianza kuiona kwenye mitandao ya kijamii usiku wa tarehe 11 Mei kwamba baraza kuu la CHADEMA limeazimia kukubaliana na uamuzi wa kamati kuu ya CHADEMA kuwafukuza uanachama wabunge 19 kupitia chama hicho.
Tarehe 12 Mei kwa njia ya barua pepe, wabunge hao 19 walimfahamisha spika maamuzi yaliyofikiwa na baraza kuu kwamba si halali, yako kinyume na katiba ya Tanzania na hayakuzingatia haki ya msingi ya kuwasikiliza au kuwaruhusu kujitetea.
Wabunge hao 19 wa CHADEMA wamepeleka kesi mahakama kuu ya Tanzania kupinga uamuzi huo na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika kupitia shauri namba 16 la mwaka 2022 dhidi ya baraza la wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya uchaguzi na mwanasheia mkuu wa Serikali.
Pia Spika Tulia amesema Mei 12 saa 9:30 alasiri afisa wa CHADEMA alifika bungeni aliyejitambulisha kwa jina la Meshack alifika ofisi ya spika Dar kukabidhi barua kwa spika na aliambiwa asubiri kwani wakati wa Bunge maafisa wote wanakuwa Dodoma, akaondoka baada ya kufanya mawasiliano na viongozi wake.
Tarehe hiyo hiyo Bunge lilipokea barua pepe iliyosainiwa na katibu mkuu wa CHADEMA juu ya maamuzi ya kikao cha baraza kuu juu ya kukataliwa rufaa ya wanachama 19 wa Chadema.
Spika amesema tarehe 13 Mei, barua hiyo iliwasilishwa ofisini kwa Spika kwa mkono na naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Singo Kigaila na baadae ikapokea barua hiyohiyo kwa DHL.
Spika amesema Mamlaka ya mwisho ya utoaji haki ni Mahakama katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo katika nchi yenye kuongozwa na sheria na kuheshimiana kati ya mhimili mmoja na mwingine, Bunge haliwezi kuingilia mchakato wa Mahakama hivyo inalazimika kusubiri mpaka mahakama itapotoa uamuzi wake kuhusu jambo hilo.
Spika amesema wabunge husika walimtaarifu mapema kabla hajapokea taarifa yoyote rasmi kutoka CHADEMA, hivyo analazimika kutotangaza nafasi za viti maalum 19 za CHADEMA ziko wazi hadi hapo mahakama itakapokamilisha kazi yake ya kutoa uamuzi.
Spika amesema endapo kutakuwa na maswali, msemaji wa jambo husika ni Spika.
Wabunge wamegonga meza kwa wingi kupongeza maamuzi yaliyosomwa na Spika.
Pia, Soma;
=> Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum
=> Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
=> Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu!
View attachment 2226708
Sasa subili bungeni, wanaondolewa kesho, labda Chadema wafanye uzembe tu wa kutopeleka maamuzi ya mahakama kuu usiku huu Dodoma na asubuhi kukabidhi kwa ofisi ya spika.Matola ulikuwa sahihi
No sio cdm bali mwanasheria mkuu inapaswa kupeleka maamuzi ya mahakama.Sasa subili bungeni, wanaondolewa kesho, labda Chadema wafanye uzembe tu wa kutopeleka maamuzi ya mahakama kuu usiku huu Dodoma na asubuhi kukabidhi kwa ofisi ya spika.
No sio cdm bali mwanasheria mkuu inapaswa kupeleka maamuzi ya mahakama.
Nimesikiliza press ya Kibatala