johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Halima Mdee hajasaliti ila CCM ni chama dola.Huwezi amini mtu kama Halima Mdee ambaye alikuwa mpambanaji for decades anakubali usaliti na kukibagaza chama ambacho ndo source ya umaarufu wake hakika nimeamini don't mess with an empty stomach[emoji52]
Walioagiza ni wale waliowateuwa!Chadema haina cha kuwafanya wale wabunge, maana hadi leo ata maamuzi ya rufani hatujaona
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Virusi....walidhani wataenjoy milele, hata watakaosamehewa wawekwe katika uangalizi maana msaliti ni msaliti tu na wameprove ni watu wasio na msimamo waliotayari kurubuniwa kwa vyeo na mali
Asante kwa taarifa, itakuwa ni jambo jema kwani mkono was maridhiano ulionyooshwa uende mbali na kutambua kuwa suala la covid ilikuwa hujuma ya dhahiri ya serikali, CCM na bungee lao ili kuivuruga Chadema.Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Chadema haina cha kuwafanya wale wabunge, maana hadi leo ata maamuzi ya rufani hatujaona
Asante kwa taarifa, itakuwa ni jambo jema kwani mkono was maridhiano ulionyooshwa uende mbali na kutambua kuwa suala la covid ilikuwa hujuma ya dhahiri ya serikali, CCM na bungee lao ili kuivuruga Chadema.
Hawa ni Makerubi wa Mfalme ZumaridiIla kwa bi Ester namwonea wivu sana Bwana Halima....
Alafu utasikia hao hao chadema wamepitisha hao 5Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Hakuna atakayekuwa kimya kwa Maelezo ya Halima Mdee kwa sababu upatikanaji wa viti maalumu kwa vyama vyote unajulikana!Tatizo la hili sakata ni taasisi mbili kuhusika
Kwanza Bunge na pili ni tume ya uchaguzi na hapo ndio kuna ugumu
And shida kubwa inakuja kutokea ni pale barua ya kupeleka majina ya viti maalum na majina yaliokwenda bungeni hapo sasa ndio patamu
Hili swala ni gumu Sana na siku mdee akiamua kuongea yaliotokea kwenye kikao Chao mpaka wakataka kupigana kisa Tu alikuwa anakataa majina ya watu ambao waliletwa na viongozi madhan kila mtu atakuwa kimya
Chadema kwisha habari yao sasaivi wanaendeshwa na ccm kama pia, bado watanzania wana kiu ya kupata chama cha upinzani kilicho imara ili ndoto za kumuondoa adui ccm ambaye ameota mizizi tokea enzi za uhuru zitime.Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Hakuna atakayekuwa kimya kwa Maelezo ya Halima Mdee kwa sababu upatikanaji wa viti maalumu kwa vyama vyote unajulikana!
Wameambiwa Wajiuzulu.How hujuma ? Tume wakileta barua ya majina ya viti maalum ambayo chadema walipeleka utabakia na msimamo huo.?
Hata wezi Huwa wanaforge na kuweza kuwaibia wateja wa benki au benkiHow hujuma ? Tume wakileta barua ya majina ya viti maalum ambayo chadema walipeleka utabakia na msimamo huo.?
Wameambiwa Wajiuzulu.
Uwe unaelewa bwashee!
Kuna tofauti kati ya Kunduchi beach na Bahari beach bwashee!Na vikao vyote vilifanyika kunduchi beach shida ikaja kwenye upatikanaji wa majina kila mtu alikuja na majina yake hapo sasa ndio mpasuko ulitokea
Hata wezi Huwa wanaforge na kuweza kuwaibia wateja wa benki au benki
Kuna tofauti kati ya Kunduchi beach na Bahari beach bwashee!