johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #101
Vyote kicheko na kilio hutoa machozi.Wakatubu ili wapate msamaha wa dhambi zao
View attachment 2140821
Mngeionaje wakati mlikuwa mnamshangilia Ndugai aliyeapa na kuamua kuwalinda, kama ilivyokuwa kwa Mwambe aliyejivua uanachama. Ndugai alikataa hata kusikiliza ushauri wa Spika mstaafu Mzee Msekwa.Chadema haina cha kuwafanya wale wabunge, maana hadi leo ata maamuzi ya rufani hatujaona
Serikali haitaingia aibu kwa sababu ilishamfurusha mwenyekiti wa tume.Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika
So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume
Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema
Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now
Chadema kwisha habari yao sasaivi wanaendeshwa na ccm kama pia, bado watanzania wana kiu ya kupata chama cha upinzani kilicho imara ili ndoto za kumuondoa adui ccm ambaye ameota mizizi tokea enzi za uhuru zitime.
Serikali haitaingia aibu kwa sababu ilishamfurusha mwenyekiti wa tume.
Ndio maana Spika Tulia amewataka Chadema wamalizie mchakato ili yeye akamilishe pale ilipoishia serikali!
Kwani JK sasa hayupo?
Usichoelewa ni kwamba aliyewaingiza bungeni ndio kawaambia wajiuzulu kabla Tundu Lisu hajatua nchini.
Hili siyo swala la Chadema.
Chadema wao wanaendelea na taratibu za kupata wabunge halali.
Wakati mgumu wakati wanakula milion 14 Kwa mwez, na juzi walikuwa Zanzibar pardm ndefu hahaha
Chadema Wana mkono na mdee anamkono mambo yakiwa wazi ni aibu Kwa wale wazee pale ufipa
Tuwaombee Wagonjwa, Wafungwa, Yatima,Wajane, Watoto wa mitaani,Wakimbizi,nk.Lkn sio hao wachumia tumbo.Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Huyu jonhthebaptist ni nani? Amejipambanua ni kada wa ccm, mbana anafahamu mambo mengi ya ndani ya chadema??
Eti kulinda hadhi zao! Kwani walikuwa wana hadhi gani!Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Wajiandae kurudisha pesa zote, maana ikigundulika walifoji majina, watarejesha pesa zote. Maana Kaijage hayupo na Ndugai hayupo. Na itakuwa nafasi ya kumzina Ndugai Moja kwa Mona.
Why hawakubadilisha since last year
Ndugai alikuwa na kiburi cha ajabu sana alikanyaga katiba alidharirisha Bunge, alijiona yeye ndio yeye. Hii dunia sasa hivi sijui yupo wapi. Endapo kutakuwa na ukweli juu ya hila na ghiriba kutumika kuwaingiza bungeni sheria ifuate mkondo wake. Yule Mahera na wote wanatakiwa wachukuliwe hatua. March 17 iliweza kuliponya sana taifa hili. Mungu ni mwema.Tume yenyewe ilikiri haijapokea majina kutoka chadema. Hayo majina yalienda lini Tume?. Halafu spika ndio anaarifwa na chama, Nani alimuarifu spika kuwa chama kimewateua?. Ndio maana kwa kulijua Hilo, Spika amesema anasubiri mchakato wa CHADEMA sio stories za kunduchi.
Ingekuwa chama kimeteua Tume ingesema na hata Spika angesema. Tuache kuwa kwenye defensive all the time Mambo yamebadilika ghafla, kuondoka kwa Ndugai ilikuwa ni mpenyo wa kujua ukweli. Maana yeye ndio alidiriki kusema atawalinda mpaka mwisho.
Hawakubadilisha kwa sababu Hawa walikata Rufaa, halafu kizingiti alikuwa spika Ndugai. Alisema hata CHADEMA wakifanya maamuzi bado atayazuia mbele ya bunge. Tena akawapiga vijembe kwamba wanaume wazima mnasumbua wanawake.
Pole sana kwa kuamini porojo za wasaliti na mawakala wao.Tatizo la hili sakata ni taasisi mbili kuhusika
Kwanza Bunge na pili ni tume ya uchaguzi na hapo ndio kuna ugumu
And shida kubwa inakuja kutokea ni pale barua ya kupeleka majina ya viti maalum na majina yaliokwenda bungeni hapo sasa ndio patamu
Hili swala ni gumu Sana na siku mdee akiamua kuongea yaliotokea kwenye kikao Chao mpaka wakataka kupigana kisa Tu alikuwa anakataa majina ya watu ambao waliletwa na viongozi madhan kila mtu atakuwa kimya
Shetani hana rafikiKuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Pole sana kwa kuamini porojo za wasaliti na mawakala wao.
Ili kulimaliza na kutatua suala hili muhimu, TUME ya uchaguzi itoe barua na form iliyopokea kutoka CHADEMA na maelezo kuhusu Nusrati aliyekuwa bado yuko 'jela/rumande' mpaka usiku, alitokaje na kuwahi kuapishwa asubuhi.