Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika

So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume

Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema

Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now
Kumbe hata hoja hauna.
 
Kama
Na mikopo yote wow

Yan mhimili mkubwa unaweza kuibiwa na wadada 19 aisee hatari sana

Hivi umesahau kipindi Cha Magufuri kilikuwaje? Kulikuwa hakuna mhimili Wala nini. Hivyo Mambo ya hovyo yalikuwa yanakingiwa kifua as long as Yana waumiza CHADEMA.

Unakumbuka kioja Cha Mwambee. Mwambee mbunge wa ndanda alihama CHADEMA na kuhamia ccm, Tena akakabidhiwa na kadi hadharani na kiongozi wa chama. Mwambe kwa ustaarabu akajiondoa kwenye ubunge. Cha kushangaza spika Ndugai akamwita arejee bungeni Kama mbunge wa CHADEMA. Kama Hilo lilitokea sembuse kuwalipa wabunge hewa?.
 
Ishu ni watu na sio nafasi 19.

Chadema kwa majungu nawakubali.
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Comment ya mwaka hii. Hata kina Sirro na Kingai walijua kesi ya Mbowe ni “slam dunk case”. Hawakujua kuwa hirizi waliyokuwa nayo tayari ni expired!
 

And this time itakuwa the same mtaambiwa vumilieni mpaka 2025
 
Nyie si mko ki uharakati Tu?

Basi na uchaguzwi ufutwe, nyie si mliokota Kura fake kibao Tu hahahaha
Pole ndugu,
Hii ndio hasara tuliyoachiwa na mungu wa Burigi aliyeamini katika ukandamizaji na kukomoana.
Hata katiba hii mbovu iliyopo haizuii vyama vya siasa kufanya harakati/mikutano/maandamano.
Uoga wenu baada ya kupoteza mvuto ndio unawanya muwe hivyo. Katiba MPYA yaja na nina hakika utatibiwa kwa faida yetu wote kama TAIFA.
 
Shida ya vijana wa chadema mko kiuharakati zaidi ndio maana mambo mengi mnapigwa na viongozi wenu

Wewe wasema. Viongozi wetu wamefunguliwa kesi, kupigwa risasi na wengine kufilisiwa Mali zao Kama Mh Mbowe. Kwa magumu wanayopitia hata wakitupiga Ni halali yao.
 

Katiba inaruhusu mikutano

Mbona hamfanyi now?
 
Wewe wasema. Viongozi wetu wamefunguliwa kesi, kupigwa risasi na wengine kufilisiwa Mali zao Kama Mh Mbowe. Kwa magumu wanayopitia hata wakitupiga Ni halali yao.

Hahaha
Katiba inaruhusu mikutano ya siasa, mbona nyie hamfanyi while katiba inaruhusu?
 
And this time itakuwa the same mtaambiwa vumilieni mpaka 2025

Nani atatuambia?. Maana kamat kuu ilishafanya maamuzi ya muwavua uanachama 6 tu ndio wamekata Rufaa kati ya 19. Bado mkutano wa Baraza Kuu umalize ubishi. CHADEMA Ni zaidi ya individuals ukizingua unatoka wanakuja wengine kujenga chama. Aliondoka Zitto na Slaa sembuse msagaji Halima mdee.
 
Katiba inaruhusu mikutano

Mbona hamfanyi now?
Ndugu,
Yaonekana kiwango cha uelewa na uwezo wako wa kujenga na kujibu hoja kwa mtiririko chatia SHAKA.
Majibu yote tayari unayo, rudia kusoma labda utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…