ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Kumbe hata hoja hauna.Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika
So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume
Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema
Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now