Wabunge 19 wa CHADEMA watinga Mlimani City

Sidhani kama CHADEMA wanao ubavu wa kuwatema hawa Covid-19. Sanasana watapewa onyo na kupewa Baraka za kuendelea na Ubunge wao. Mwisho wa siku Chama kuendelea kupokea ruzuku
Hata mimi nayapenda yale maandiko yanayosema samehe hata saba mara sabini. Kama mtu anatubu kwa dhati ya moyo...
Hofu ni kwa wale wanaotaka hiyo nafasi
 
w
Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo!
wengine tunayasubiri kwa hamu ili tujue halafu tuwezi kuyajadili humu.we want to see political maturty of the party.
 
Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City.

Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua Rasmi za Chama zikiwatambua kuwa wanachama tofauti na kauli za awali kuwa si wanachama wa Chama hicho.

Wakati wabunge hao wakiwa maeneo haya ya Mlimani City,mjadala ulioanza usiku wa Jana na unaoendelea Sasa ni kama wabunge hao wahojiwe mbele ya baraza hilo,au wakahijiwe vyumbani ambapo tayari vyumba vitatu vimetemgwa kwa ajili hiyo.

Baadhi ya wajumbe wanaeleza ni muhimu wakahijiwa hadharani kila mmoja asikie kuliko kuitwa Chumbani na wajumbe kuja kupewa taarifa ya mahojiano hayo,huku kukiwa na taarifa za awali kuwa wabunge hao wameshafutwa uanachama na kinachosubiriwa ni baraza kuu kuhalalisha Jambo hilo.

Hisia hizo zinachangiwa zaidi na amaelezo ya John Mrema Mkuu wa Itifaki na mambo ya Nje Chadema wakati akizungumza na vyombo vya habari kuwa uamuzi umeshafanyika,na kinachosubiriwa ni kutangazwa.

Kauli ya Mrema inatakwa kupoka uamuzi wa baraza kuu hali iliyozua sintofahamu miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho

Kwa Sasa viongozi wakuu tumekubaliana kuwatumia influence wa Chama kushawishi katika mitandao ya kijamii juu ya uamuzi huu ikiwa ni njia ya kuwaandaa wanachama kutohoji Jambo hilo kuamuliwa nje ya baraza kuu

Stay Tune
Ah! sa sisi mahojiano yao yanatuhusu nini??
 
Yaani chadema wanajichanganya sana kwanini vitu vingine wanaviruka ? Kwanini wasimtafute kwanza aliyepeleka hayo majina tume na kama Kuna fojari kwanini wasiendenmahakamani? Yaani hata wakiwafukuza watakuwa wamewaonea lakini ukweli ndani ya chadema kunamakosa
 
Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo!
Mbowe ni mwenyekiti na jukumu la mwenyekiti ni kufungua mkutano tu, hawezi kuwa mwenyekiti na mjumbe.
 
Vyama hivi vya siasa ni watu kutafuta ulaji. We ukifikiri wanamaadili na watu wa haki shauri yako.
 
Ni lazima wafukuzwe, mchakato halali kupata wabunge halali ufanyike, kwa sasa hawa uwepo wao bungeni wanajiwakilisha wao wenyewe, hivyo hata kupinga vitu ambavyo vinawaumiza wananchi hawawezi, miswada mibovu inapita bila wao kutoa neno. Ninataka mchakato halali ufanyike kupata wawakilishi halali!
Ktk siasa hakuna mwakilish anayepatikana kihalali isipokua huwa zinafatwa taratibu za kisiasa ili mwakilish apatikane ikihusisha rushwa,fitna,majungu,ushirikina na mengineyo
 
Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City.

Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua Rasmi za Chama zikiwatambua kuwa wanachama tofauti na kauli za awali kuwa si wanachama wa Chama hicho.

Wakati wabunge hao wakiwa maeneo haya ya Mlimani City,mjadala ulioanza usiku wa Jana na unaoendelea Sasa ni kama wabunge hao wahojiwe mbele ya baraza hilo,au wakahijiwe vyumbani ambapo tayari vyumba vitatu vimetemgwa kwa ajili hiyo.

Baadhi ya wajumbe wanaeleza ni muhimu wakahijiwa hadharani kila mmoja asikie kuliko kuitwa Chumbani na wajumbe kuja kupewa taarifa ya mahojiano hayo,huku kukiwa na taarifa za awali kuwa wabunge hao wameshafutwa uanachama na kinachosubiriwa ni baraza kuu kuhalalisha Jambo hilo.

Hisia hizo zinachangiwa zaidi na amaelezo ya John Mrema Mkuu wa Itifaki na mambo ya Nje Chadema wakati akizungumza na vyombo vya habari kuwa uamuzi umeshafanyika,na kinachosubiriwa ni kutangazwa.

Kauli ya Mrema inatakwa kupoka uamuzi wa baraza kuu hali iliyozua sintofahamu miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho

Kwa Sasa viongozi wakuu tumekubaliana kuwatumia influence wa Chama kushawishi katika mitandao ya kijamii juu ya uamuzi huu ikiwa ni njia ya kuwaandaa wanachama kutohoji Jambo hilo kuamuliwa nje ya baraza kuu

Stay Tune
 
U
Nilisema wakifukuzwa naachana na JF JUKWAA LA SIASA
Unakumbuka jana nilikwambia nini kijana...
COVID 19 hawatafukuzwa ila kitakachofanyika watatakiwa wajiuzulru ubunge kwa lazima kisha wabaki na uanachama wao kama watapenda ili waangaliwe kweli wanipenda CHADEMA au ni njaa tu. kisha wanateuliwa wabunge WAPYAAAAAAAAAAAAAA!!! nnje ya hawa covid19 na hapa ndio utakuwa mwisho wa MAIGIZO YA CCMnduGAY na mbuzi zake
 
Sidhani kama CHADEMA wanao ubavu wa kuwatema hawa Covid-19. Sanasana watapewa onyo na kupewa Baraka za kuendelea na Ubunge wao. Mwisho wa siku Chama kuendelea kupokea ruzuku
Onyo lipi walishatimuliwa hapo au huoni BAWACHA uchaguzi ulishafanyika!!!

CHADEMA iliwahi susia uchaguzi wa meya na walitimua wale madiwani walioshiriki. Kama walikua tayari kupoteza Halmashauri kama ya Jiji la Arusha unadhani ruzuku ya million 60 tu inaweza kuuza loyalty ya chama!!?
 
Wafukuzwe ccm tutawaajiri ktk Kaz za wakuu wa wilaya na mikoa Kaz iendelee
 
Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City.

Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua Rasmi za Chama zikiwatambua kuwa wanachama tofauti na kauli za awali kuwa si wanachama wa Chama hicho.

Wakati wabunge hao wakiwa maeneo haya ya Mlimani City,mjadala ulioanza usiku wa Jana na unaoendelea Sasa ni kama wabunge hao wahojiwe mbele ya baraza hilo,au wakahijiwe vyumbani ambapo tayari vyumba vitatu vimetemgwa kwa ajili hiyo.

Baadhi ya wajumbe wanaeleza ni muhimu wakahijiwa hadharani kila mmoja asikie kuliko kuitwa Chumbani na wajumbe kuja kupewa taarifa ya mahojiano hayo,huku kukiwa na taarifa za awali kuwa wabunge hao wameshafutwa uanachama na kinachosubiriwa ni baraza kuu kuhalalisha Jambo hilo.

Hisia hizo zinachangiwa zaidi na amaelezo ya John Mrema Mkuu wa Itifaki na mambo ya Nje Chadema wakati akizungumza na vyombo vya habari kuwa uamuzi umeshafanyika,na kinachosubiriwa ni kutangazwa.

Kauli ya Mrema inatakwa kupoka uamuzi wa baraza kuu hali iliyozua sintofahamu miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho

Kwa Sasa viongozi wakuu tumekubaliana kuwatumia influence wa Chama kushawishi katika mitandao ya kijamii juu ya uamuzi huu ikiwa ni njia ya kuwaandaa wanachama kutohoji Jambo hilo kuamuliwa nje ya baraza kuu

Stay Tune
Kwi Kwi Kwi
 
Kwa namna ambavyo chama kinaenenda kwasasa ni dhahiri kwamba misimamo ya wale 19 ilikuwa sawa tu, tofauti ni kwamba wao walikuwa mbele ya muda na sasa chama kinaelekea kukubali maamzi ambayo wao walishayafanya kitambo.

Aliyekataa mwanzo kisha baadae kukubali anaonekana mjinga kuliko ambae alikubali tangu mwanzo na kufanya maamzi ambayo wengine wameyakubali baada ya muda kupita.
 
Ni lazima wafukuzwe, mchakato halali kupata wabunge halali ufanyike, kwa sasa hawa uwepo wao bungeni wanajiwakilisha wao wenyewe, hivyo hata kupinga vitu ambavyo vinawaumiza wananchi hawawezi, miswada mibovu inapita bila wao kutoa neno. Ninataka mchakato halali ufanyike kupata wawakilishi halali!
Mchakato halali wa kupata wabunge halali ufanyike??

Kwahiyo sasahivi mmeyakubali matokeo ya uchaguzi wa 2020(sio batili), na sio kama ambavyo mlikuwa mnapiga kelele mwanzoni kuukataa uchaguzi?

Sasa wajinga ni wakina nani, waliokubali matokea tangu mwanzi(hao 19), au nyinyi mlioweka msimamo kisha mkalainika??

NB:Sio rahisi kuwafukuza hao 19.
 
Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo!

Nimecheka kwa nguvu eti Mbowe ndio muamuzi, ni kweli Mbowe ni muamuzi lakini anaamua nini hapo ndio shughuli ilipo. Huyo Mbowe alimtaka Nyalandu agombee urais akatolewa nje akakaa kwa kutulia. Juzi alipotoka magereza Zito akawa anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa atahudhuria kikao cha TCD, na kweli Mbowe alitaka kuwaburuza wenzake, akagomewa akaishia kuwa mpole. Huyo Mbowe kwa mwenendo wake wa sasa, na muda aliokaa kama mwenyekiti ni vyema tu akaacha wengine waendeleze mapambano.
 
Back
Top Bottom