Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City.
Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua Rasmi za Chama zikiwatambua kuwa wanachama tofauti na kauli za awali kuwa si wanachama wa Chama hicho.
Wakati wabunge hao wakiwa maeneo haya ya Mlimani City,mjadala ulioanza usiku wa Jana na unaoendelea Sasa ni kama wabunge hao wahojiwe mbele ya baraza hilo,au wakahijiwe vyumbani ambapo tayari vyumba vitatu vimetemgwa kwa ajili hiyo.
Baadhi ya wajumbe wanaeleza ni muhimu wakahijiwa hadharani kila mmoja asikie kuliko kuitwa Chumbani na wajumbe kuja kupewa taarifa ya mahojiano hayo,huku kukiwa na taarifa za awali kuwa wabunge hao wameshafutwa uanachama na kinachosubiriwa ni baraza kuu kuhalalisha Jambo hilo.
Hisia hizo zinachangiwa zaidi na amaelezo ya John Mrema Mkuu wa Itifaki na mambo ya Nje Chadema wakati akizungumza na vyombo vya habari kuwa uamuzi umeshafanyika,na kinachosubiriwa ni kutangazwa.
Kauli ya Mrema inatakwa kupoka uamuzi wa baraza kuu hali iliyozua sintofahamu miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho
Kwa Sasa viongozi wakuu tumekubaliana kuwatumia influence wa Chama kushawishi katika mitandao ya kijamii juu ya uamuzi huu ikiwa ni njia ya kuwaandaa wanachama kutohoji Jambo hilo kuamuliwa nje ya baraza kuu
Stay Tune
Mkuu kutoyatambua matokeo ni swala lingine na KUFOJI BARUA YA KUJITEUA UBUNGE KINYEMELA KWA MSAADA WA NDUGAI ni swala jingine pia.......... USICHANGANYEKwahiyo sasa hivi mmeyakubali matokeo?? Mna tofauti gani na hao 19 ambao waliamua kukubali matokeo mapema?
Kwani alifoji barua ya kujiteua mkuu?Hawana kosa wale mbona yule mmoja wa jimboni hawamgusi
Kwani alifoji barua ya kujiteua mkuu?
Sijui umeongea nini hapa? Unajua misimamo ya viongozi wengi Chadema wakati ule? Unafikiri msimamo wa Dr Slaa ungekuwa wa Mbowe na ule wa Mbowe ndio wa Dr Slaa unafikiri bado wangesimama na Dr Slaa?Sio kweli.
Kama ni suala la kubadili gia angani hata yule "mzalendo" wenu Dr. Slaa alikuwepo ukumbini siku ya kumtambulisha Lowassa, akapiga nae picha na tabasamu la kutosha kuonesha aliridhia ujio wa Lowassa ndani ya Chadema.
Alivyokosa alichotaka ndio kisirani kikamuanza akaishia kufungiwa ndani na mkewe. Kama Mbowe angekuwa na mamlaka ya kufanya chochote anachotaka, naamini asingesubiri kuitisha Baraza Kuu ili aamue kuhusu hao wanawake 19, angeumaliza mchezo siku nyingi.
Umachachari uliishia pale aliposaliti! Ukiwa msaliti hata kama una akili za malaika wewe ni shetani tu!! Tupa kuleeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!Wasamehewe tu kazi iendelee !! Hakuna asiyekosa !! Akina Halima Mdee na wenzie ni miongoni mwa wabunge machachari na mashuhuri Nchini !!
Duh !!Umachachari uliishia pale aliposaliti! Ukiwa msaliti hata kama una akili za malaika wewe ni shetani tu!! Tupa kuleeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
Usichanganye mkuuKila siku mnabadili sababu. Mwanzo kabisa chama kilisusia kila kitu kinachohusiana na serikali
Hakika nimeamini kifo cha marehemu hayati magufuli lilikuwa ni pigo kubwa sana kwa baadhi ya watu hadi ndani ya ccm ,na sababu jinsi katiba ilivyokanyagwa awamu ya 5Zikiwa zimesalia saa kadhaa mkutano wa baraza kuu la Chadema Kuanza,wabunge 19 wa bunge la Jamhuri ya Muungano wanaotokana na Chama hicho wamewasili maeneo jirani na kunapofanyika mkutano huu hapa Mlimani City.
Awali kulikuwa na sintofahamu ikiwa watahudhuria mkutano huo,walioalikwa kwa barua Rasmi za Chama zikiwatambua kuwa wanachama tofauti na kauli za awali kuwa si wanachama wa Chama hicho.
Wakati wabunge hao wakiwa maeneo haya ya Mlimani City,mjadala ulioanza usiku wa Jana na unaoendelea Sasa ni kama wabunge hao wahojiwe mbele ya baraza hilo,au wakahijiwe vyumbani ambapo tayari vyumba vitatu vimetemgwa kwa ajili hiyo.
Baadhi ya wajumbe wanaeleza ni muhimu wakahijiwa hadharani kila mmoja asikie kuliko kuitwa Chumbani na wajumbe kuja kupewa taarifa ya mahojiano hayo,huku kukiwa na taarifa za awali kuwa wabunge hao wameshafutwa uanachama na kinachosubiriwa ni baraza kuu kuhalalisha Jambo hilo.
Hisia hizo zinachangiwa zaidi na amaelezo ya John Mrema Mkuu wa Itifaki na mambo ya Nje Chadema wakati akizungumza na vyombo vya habari kuwa uamuzi umeshafanyika,na kinachosubiriwa ni kutangazwa.
Kauli ya Mrema inatakwa kupoka uamuzi wa baraza kuu hali iliyozua sintofahamu miongoni mwa wajumbe wa kikao hicho
Kwa Sasa viongozi wakuu tumekubaliana kuwatumia influence wa Chama kushawishi katika mitandao ya kijamii juu ya uamuzi huu ikiwa ni njia ya kuwaandaa wanachama kutohoji Jambo hilo kuamuliwa nje ya baraza kuu
Stay Tune
Na hili ndio jambo linalosubiriwa na walio wengi ndani ya chama na nje ya chama.Ni lazima wafukuzwe, mchakato halali kupata wabunge halali ufanyike,
Hiki chama huwa kipokipo tu, katika hili mimi naona hakuna cha maana wanachofanya maana wanateua wabunge wengine (wanaowaita halali😀) baada ya kuisusia serikali kwa muda wa mwaka mmoja.Kila siku mnabadili sababu. Mwanzo kabisa chama kilisusia kila kitu kinachohusiana na serikali
Kwahiyo hawa wa sasa mnaowachagua wanaingia bungeni kushirikiana na wabunge waliopita kwenye uchaguzi upi wa halali?Naona unachanganya aidha kwa makusudi au kwa kutoelewa, ni hivi uchaguzi ule ulikuwa batili, hata zipigwe mbwembwe zote ukweli huo haubadiliki. Hao wabunge wanachukuliwa hatua kwa kusaliti msimamo wa chama kutotambua matokeo ya uchaguzi ule, na kisha kuforge njia yao kuingia bungeni kwa kushirikiana na bunge la Ndugai na serikali ya Magufuli.
Hiki chama huwa kipokipo tu, katika hili mimi naona hakuna cha maana wanachofanya maana wanateua wabunge wengine (wanaowaita halali😀) baada ya kuisusia serikali kwa muda wa mwaka mmoja.
Wale 19 hawakuona sababu ya kuisusia serikali kama ambavyo wao wamelitambua sasa, kwamaana nyingine wale 19 walikuwa mbele ya muda.
Kwasasa wanafanya maamzi kwakuwa njaa umekuwa ni kali, wasingeweza kususia kwa miaka mitano.
Usichanganye mkuu
Chama kikisusia hakina MAMLAKA ya kumzuia mbunge wake aliyechaguliwa na wananchi asiende kuwawakilisha bunge, kikimshauri asiende na akaamua kwenda inakua sio busara kumfukuza uanachama kwa kigezo hicho
Lakini hawa wahuni akina mzee mdee walifoji barua ya chama na wakajiteua kinyemela huku wengine wakiachiwa gerezani usiku saa2 na kesho yake wanaapishwa nje ya viunga vya bunge na muhuni Ndugai
Tatizo kuu hapa ni kufoji barua ya chama na kujipendekeza kihuni kwa msaada wa mtesi wao ccm
Inamaana hamlioni hili mkuu?
Sijui kwanini hujaelewa nilichoandika, sijataka hata unilalamikie.Sijui umeongea nini hapa? Unajua misimamo ya viongozi wengi Chadema wakati ule? Unafikiri msimamo wa Dr Slaa ungekuwa wa Mbowe na ule wa Mbowe ndio wa Dr Slaa unafikiri bado wangesimama na Dr Slaa?
Tatizo mnafikiri sisi wote ni sehemu ya propaganda za vyama. Tumesoma mchezo kitambo. Mbowe kuendesha Chadema kwa maono yake sio tatizo! Hata Nyerere amekijenga chama chake muda mrefu. Lakini pale tunapoona vitu havipo sawa. tutasema kwa kipimo kile kile tunachoisema CCM.
Since day one waliitwa Covid 19, Kosa lao ni kufoji barua ya uteuzi kwa msaada wa ccm.... sio covid 20. Hata siku moja hujasikia uongozi ukiongea lolote kuhusu mbunge mchaguliwa sababu wanajua sheriaSijachanganya chochote mkuu. Mbona yeye hatajwi kwa utovu wa nidhamu. Hakushauriwa bali Alizuiwa (ni ri sio ombi wala ushauri)asiende nae ajumuishwe kama msaliti na ahojiwe sababu za kugomea viongozi wake