umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 673
Hakuna takataka iliyo juu ya chamaKati ya wote.. Halima Mdee ananiuma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna takataka iliyo juu ya chamaKati ya wote.. Halima Mdee ananiuma sana
Majibu ya kile husichokifahamu ni kwamba hukijui.Sijui kwanini hujaelewa nilichoandika, sijataka hata unilalamikie.
Hapo nilikuonesha tu, kama Dr. Slaa alikuwa anajitambua kweli angekataa kuburuzwa na mawazo ya Mbowe kama ulivyoandika kule juu, usilete hisia zako kwenye kuamua uhalisia kwa kisingizio cha "umeusoma mchezo kitambo".
Umeandika hisia zako halafu unasema wewe sio sehemu ya propaganda! kama kweli wewe sio sehemu ya propaganda nipe mifano mitatu yenye evidence kuonesha vile Mbowe anavyoiburuza Chadema kwa maamuzi yake binafsi.
Ndio maana nimekwambia kama unakijua tuwekee hapa nasi wengine tukijue.Majibu ya kile husichokifahamu ni kwamba hukijui.
Kwahiyo hawa wa sasa mnaowachagua wanaingia bungeni kushirikiana na wabunge waliopita kwenye uchaguzi upi wa halali?
Maana kuanzia spika na wengine wote ni matokeo ya ule uchaguzi, nakumbuka mliwahi kusema bunge na kila kitu ni batili kwahiyo nilidhani hamtakuwa tayari kuchangamana nao.
KAZI IENDELEE😀
Endelea kumfuatilia na yule padri wenu balozi mstaafu muendelee kula mihogoWhatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo
Since day one waliitwa Covid 19, Kosa lao ni kufoji barua ya uteuzi kwa msaada wa ccm.... sio covid 20. Hata siku moja hujasikia uongozi ukiongea lolote kuhusu mbunge mchaguliwa sababu wanajua sheria
Kisheria chama hakiwezi KUMZUIA mbunge aliyechanguliwa na wananchi asiende kuwawakilisha, ni kuwakosesha haki yao ya kikatiba kuwakilishwa na mbunge walio mchagua
Narudia tena KOSA hapa ni KUFOJI BARUA YA KUJITEUA na sio vinginevyo
Naona unalazimisha kosa kuhalalisha uhuni wa mzee mdee
Mazingira yamebadilika japo bado uchaguzi ule ulikuwa wa kihayawani. Ukitaka kujua mazingira yamebadilika tazama zile kejeli za dhalimu dhidi ya wazungu, na jinsi mama yuko karibu na Wazungu kwasasa, mpaka Piraah katengeneza movie la Roho Tua na bi tozo. Kwasasa dhalimu yuko motoni, na spika aliyekuwepo anagombea nafasi za maswali ya nyongeza na kina msukuma. Kipi huelewi hapo?
Wewe umeanza kumpinga Mbowe sasa, yatakukuta yaliyomkuta Zitto na Kitila Mkumbo.Nimecheka kwa nguvu eti Mbowe ndio muamuzi, ni kweli Mbowe ni muamuzi lakini anaamua nini hapo ndio shughuli ilipo. Huyo Mbowe alimtaka Nyalandu agombee urais akatolewa nje akakaa kwa kutulia. Juzi alipotoka magereza Zito akawa anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa atahudhuria kikao cha TCD, na kweli Mbowe alitaka kuwaburuza wenzake, akagomewa akaishia kuwa mpole. Huyo Mbowe kwa mwenendo wake wa sasa, na muda aliokaa kama mwenyekiti ni vyema tu akaacha wengine waendeleze mapambano.
Hii pointi yako ya msingi sana, let's wait and see the outcome.Kwahiyo hawa wa sasa mnaowachagua wanaingia bungeni kushirikiana na wabunge waliopita kwenye uchaguzi upi wa halali?
Maana kuanzia spika na wengine wote ni matokeo ya ule uchaguzi, nakumbuka mliwahi kusema bunge na kila kitu ni batili kwahiyo nilidhani hamtakuwa tayari kuchangamana nao.
KAZI IENDELEE[emoji3]
Kisha uchaguzi wa 2020 utakuwa ulikuwa wa haki?U
Unakumbuka jana nilikwambia nini kijana...
COVID 19 hawatafukuzwa ila kitakachofanyika watatakiwa wajiuzulru ubunge kwa lazima kisha wabaki na uanachama wao kama watapenda ili waangaliwe kweli wanipenda CHADEMA au ni njaa tu. kisha wanateuliwa wabunge WAPYAAAAAAAAAAAAAA!!! nnje ya hawa covid19 na hapa ndio utakuwa mwisho wa MAIGIZO YA CCMnduGAY na mbuzi zake
Zama zimebadilika mkuu! Ni kweli tulikataa matokeo ya uchafuzi ule, lakini kazi ya Mungu ya tarehe 17 March 2021, haina makosa! Hatuwezi kukataa matokeo ya kazi ya Mungu, ni lazima kushirikiana na walio baki kuijenga nchi!Mchakato halali wa kupata wabunge halali ufanyike??
Kwahiyo sasahivi mmeyakubali matokeo ya uchaguzi wa 2020(sio batili), na sio kama ambavyo mlikuwa mnapiga kelele mwanzoni kuukataa uchaguzi?
Sasa wajinga ni wakina nani, waliokubali matokea tangu mwanzi(hao 19), au nyinyi mlioweka msimamo kisha mkalainika??
NB:Sio rahisi kuwafukuza hao 19.
Unasema wewe kama nani?Siipuzi nguvu ya Mbowe acha upotoshaji wa kijinga, nasema kwa sasa muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti umepita. Kipi huelewi hapo?
Vipi wakiteuliwa wengine.?Kusaliti msimamo wa chama wa kutotambua matokeo ya uchaguzi haramu wa yule dhalimu wa chattle.
Kwahiyo sasa hivi mna haki zote za kisiasa baada ya dhalimu kuwa motoni?Hawajayakubali matokeo, bali dhalimu aliyegiza uchaguzi ule unajisiwe yuko motoni. Hivyo maamuzi yanaweza kufanyika sasa kuendana na mabadiliko ya utawala. Nitawashangaa cdm wakikubaliana na matokeo yale ya uchaguzi uliokuwa wa kihayawani vile. Wanaweza kufanya maamuzi fulani fulani kuendana na mazingira ya sasa baada ya yule muhuni kufariki, lakini sio kukubali kuwa matokeo yale kuwa yalikuwa sawa.
Kwa hiyo wakiadhibiwa alafu mkapelekewa wabunge wengine msimamo huo vipi unakuwaje?Naona unachanganya aidha kwa makusudi au kwa kutoelewa, ni hivi uchaguzi ule ulikuwa batili, hata zipigwe mbwembwe zote ukweli huo haubadiliki. Hao wabunge wanachukuliwa hatua kwa kusaliti msimamo wa chama kutotambua matokeo ya uchaguzi ule, na kisha kuforge njia yao kuingia bungeni kwa kushirikiana na bunge la Ndugai na serikali ya Magufuli.
Mbona hukurudisha Lowasa na Sumaye walipoiteka chadema?Hawa kukumaji wakisamehewa na kuachwa waendelee kuwa wabunge kwa uharamia waliofanya natangaza rasmi narudisha kadi yangu rasmi ya cdm najiunga na chama kingine........ tutakua tumetofautiana sana kiitikadi na mitazamo
Acha kuongopa!Usichanganye mkuu
Chama kikisusia hakina MAMLAKA ya kumzuia mbunge wake aliyechaguliwa na wananchi asiende kuwawakilisha bunge, kikimshauri asiende na akaamua kwenda inakua sio busara kumfukuza uanachama kwa kigezo hicho
Lakini hawa wahuni akina mzee mdee walifoji barua ya chama na wakajiteua kinyemela huku wengine wakiachiwa gerezani usiku saa2 na kesho yake wanaapishwa nje ya viunga vya bunge na muhuni Ndugai
Tatizo kuu hapa ni kufoji barua ya chama na kujipendekeza kihuni kwa msaada wa mtesi wao ccm
Inamaana hamlioni hili mkuu?
Hayo ndio yamefanya sasa ule uchaguzi uwe halali?Mazingira yamebadilika japo bado uchaguzi ule ulikuwa wa kihayawani. Ukitaka kujua mazingira yamebadilika tazama zile kejeli za dhalimu dhidi ya wazungu, na jinsi mama yuko karibu na Wazungu kwasasa, mpaka Piraah katengeneza movie la Roho Tua na bi tozo. Kwasasa dhalimu yuko motoni, na spika aliyekuwepo anagombea nafasi za maswali ya nyongeza na kina msukuma. Kipi huelewi hapo?