Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ndivyo mnavyotakiwa kushirikiana na CCM miaka yote(kama ilivyokuwa huko nyuma), na sio kuleta misimamo ambayo hamuwezi kuiishi.Zama zimebadilika mkuu! Ni kweli tulikataa matokeo ya uchafuzi ule, lakini kazi ya Mungu ya tarehe 17 March 2021, haina makosa! Hatuwezi kukataa matokeo ya kazi ya Mungu, ni lazima kushirikiana na walio baki kuijenga nchi!