Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Mbona unahara? Mambo ya CHADEMA haya kuhusu!Acha kuongopa!
Mbowe mwenyewe kwa mdomo wake alisema chadema haitambui matokeo na haina mbunge hata mmoja bungeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unahara? Mambo ya CHADEMA haya kuhusu!Acha kuongopa!
Mbowe mwenyewe kwa mdomo wake alisema chadema haitambui matokeo na haina mbunge hata mmoja bungeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wafuasi wa chadema wana upumbavu mwingi sana.Zama zimebadilika mkuu! Ni kweli tulikataa matokeo ya uchafuzi ule, lakini kazi ya Mungu ya tarehe 17 March 2021, haina makosa! Hatuwezi kukataa matokeo ya kazi ya Mungu, ni lazima kushirikiana na walio baki kuijenga nchi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbowe huwa anawageuza wafuasi wake muda wowote anaotaka.Mbona unahara? Mambo ya CHADEMA haya kuhusu!
Ningefurahi sana ikiwa watasamehewaWale wadada watasamehewa na chama.
Tutashirikiana na serikali iliyopo madarakani kuipata katiba mpya. Huko bungeni hawaendi 19 wapya tu, tutatumia kila fursa kuingia huko! Kama kuna wabunge haramu mle, tuna kosa gani kuingiza halali?! Na kwa sababu sukumagang mnakwazwa, kufeni tu mtuachie nchi yetu!Hayo ndio yamefanya sasa ule uchaguzi uwe halali?
Kwa hiyo kuwasifia wazungu ndio furaha yenu?
Ok.. Kama bado mnasema siyo halali, kwa hiyo mnaenda kushiriki na watu haramu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbowe huwa anajigeuzia tu wafuasi wake kama chapati!
Na vipi katiba mpya mmefikia wapi?
Hakuna uchaguzi ambao CDM iliukubali ulikua halali na IKAUTAMBUA....... HAKUNA, inachofanya ni demonstration kuonyesha hakubaliani na rafu, enzi za Jk walisusia sana bunge ikiwemo kutoka bungeni nkYule mmoja mnamuogopa sana inashangaza mno uchaguzi mliouona batili na onyo akapewa kapuuza(since day one alikubali ushindi wake kuwa halali)
Pili mnaowaita covid mnawaogopa sana. Chadema kinajulikana kutimua wanachama wake fasta ila akina halima wanawahenyesha,kama kweli walifoji saini mbona mnapiga danadana kuwafukuza,zitto na wenzie wala chama hakikuchukua muda mrefu kuwatimua. Acheni kiki wakuu iwe covid 19 au 20 wote kwa apomoja waliutambua kuwa uchaguzi halali wakati chama kiliukataa
utaendelea kuwa ni UCHAFUZIKisha uchaguzi wa 2020 utakuwa ulikuwa wa haki?
Mkiwatoa Zito anawadaka juu kwa juu chamani kwake then wanarudi bungeni kama walivyoWafutwe haraka sn wakaombe uachama upya
Hakuna uchafuzi ambao cdm imewahi kuukubali na kuutambuaAcha kuongopa!
Mbowe mwenyewe kwa mdomo wake alisema chadema haitambui matokeo na haina mbunge hata mmoja bungeni
Hakuna uchaguzi ambao CDM iliukubali ulikua halali na IKAUTAMBUA....... HAKUNA, inachofanya ni demonstration kuonyesha hakubaliani na rafu, enzi za Jk walisusia sana bunge ikiwemo kutoka bungeni nk
Uchaguzi uliopita rafu zilikua kali sana na hatua ya kwanza kwakuwa kulikua kuna mbunge mmoja tu chama kikaona kisusie kwanza kupeleka wabunge bungeni kama alivyosisiwa JK lakini mwishowe wakapiga nae gahawa ikulu maisha yakaenda.........tatizo sio KUTOTAMBUA MATOKEO
Sasa hawa wahuni wakakimbilia kufoji barua ya kujiteua
Chama kimewahi kuwa na msimamo wa kutopokea posho kubwa lakini wapo waliogoma wakapokea na mambo yakaendelea bila kufukuzana
Chama kiliwahi kukataza kuhudhuria hafla za serikali wapo wabunge walienda na haikua issue..... tofautisha makosa
Wewe unamuona huyo mama tu wapo vitongoji na wenyeviti wa mitaa wanaendelea kazi zao baada ya chaguzi hizi
Narudia issue ni kufoji barua ya kujiteua
Kwa namna yoyote ile ilikua ni lazima CDM baadae wangepeleka majina kama wanavyosusia chaguzi zote na baadae maisha yana kwenda
Ugumu wa issue ya akina Mdee sio kuwafukuza, ugumu ni kwamba wenye sheria CCM wamewateu kinguvu kuwa wabunge wa CDM, barua zimepelekwa kote kuanzia kwa msajili hadi bungeni lakini wamekataa kukubali maamuzi ya CDM wamesimama na Covid19 halafu leo unailaumu CDM inakigugumizi seriously?
Waende hata CCM hakuna shidaMkiwatoa Zito anawadaka juu kwa juu chamani kwake then wanarudi bungeni kama walivyo
Wewe umeanza kumpinga Mbowe sasa, yatakukuta yaliyomkuta Zitto na Kitila Mkumbo.
Mbowe ni nguzo muhimu ndani ya Cdm kwa Sasa.
Retired JokaKuu Nguruvi3 zitto junior
Mkuu mke wakwangu mie nikitaka kumfukuza unaumia weye mpinzani wangu😂😂😂Gazeti lote pumba tupu. Nyie wafukuzeni uanachama officially ili dunia mnayopenda kuitaja ijue covid sio wanachama wenu halali
Mkuu mke wakwangu mie nikitaka kumfukuza unaumia weye mpinzani wangu😂😂😂
Yaani mnatoa wafungwa jela saa mbili usiku halafu kesho yake asubuhi eti munamuapisha mbunge wa CDM😂😂😂😂
Mkuu tutaache haya twende tukapeano Odd kule tutaongea lugha moja
Ulivyo mnafiki,ukikosa furaha huko CCM unatafuta faraja kwa CDM na Mbowe. Mataga kipindi hiki kazi mnayo.Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo!
Watakuwa wamefanya kosa kubwa sana.Sidhani kama CHADEMA wanao ubavu wa kuwatema hawa Covid-19. Sanasana watapewa onyo na kupewa Baraka za kuendelea na Ubunge wao. Mwisho wa siku Chama kuendelea kupokea ruzuku
Sawa mkuu.Mazingira yamebadilika japo bado uchaguzi ule ulikuwa wa kihayawani. Ukitaka kujua mazingira yamebadilika tazama zile kejeli za dhalimu dhidi ya wazungu, na jinsi mama yuko karibu na Wazungu kwasasa, mpaka Piraah katengeneza movie la Roho Tua na bi tozo. Kwasasa dhalimu yuko motoni, na spika aliyekuwepo anagombea nafasi za maswali ya nyongeza na kina msukuma. Kipi huelewi hapo?
Katika hili wameshindwa kuonyesha msimamo wao.Hii pointi yako ya msingi sana, let's wait and see the outcome.