Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Mpige ngumi ya jicho. Anakuuma unamwangalia tu.Kati ya wote.. Halima Mdee ananiuma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpige ngumi ya jicho. Anakuuma unamwangalia tu.Kati ya wote.. Halima Mdee ananiuma sana
Yaani chadema wanajichanganya sana kwanini vitu vingine wanaviruka ? Kwanini wasimtafute kwanza aliyepeleka hayo majina tume na kama Kuna fojari kwanini wasiendenmahakamani? Yaani hata wakiwafukuza watakuwa wamewaonea lakini ukweli ndani ya chadema kunamakosa
Naona unajaribu kuipuuza nguvu ya Mbowe hapo CDM, ni sawa na kusema pale CCM kikwete sio kitu.Nimecheka kwa nguvu eti Mbowe ndio muamuzi, ni kweli Mbowe ni muamuzi lakini anaamua nini hapo ndio shughuli ilipo. Huyo Mbowe alimtaka Nyalandu agombee urais akatolewa nje akakaa kwa kutulia. Juzi alipotoka magereza Zito akawa anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa atahudhuria kikao cha TCD, na kweli Mbowe alitaka kuwaburuza wenzake, akagomewa akaishia kuwa mpole. Huyo Mbowe kwa mwenendo wake wa sasa, na muda aliokaa kama mwenyekiti ni vyema tu akaacha wengine waendeleze mapambano.
Naona unajaribu kuipuuza nguvu ya Mbowe hapo CDM, ni sawa na kusema pale CCM kikwete sio kitu.
Kwahiyo sasa hivi mmeyakubali matokeo?? Mna tofauti gani na hao 19 ambao waliamua kukubali matokeo mapema?Kusaliti msimamo wa chama wa kutotambua matokeo ya uchaguzi haramu wa yule dhalimu wa chattle.
Ulipisema Mbowe alitaka kwenda ila akagomewa ikabidi awe mpole ulikuwa unamaanisha nini??Siipuzi nguvu ya Mbowe acha upotoshaji wa kijinga, nasema kwa sasa muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti umepita. Kipi huelewi hapo?
Mchakato halali wa kupata wabunge halali ufanyike??
Kwahiyo sasahivi mmeyakubali matokeo ya uchaguzi wa 2020(sio batili), na sio kama ambavyo mlikuwa mnapiga kelele mwanzoni kuukataa uchaguzi?
Sasa wajinga ni wakina nani, waliokubali matokea tangu mwanzi(hao 19), au nyinyi mlioweka msimamo kisha mkalainika??
NB:Sio rahisi kuwafukuza hao 19.
Walishafukuzwa na Kamati tu na hata mapendekezo ya kikao Cha Jana ni kuwa rufaa zitupiliwe mbali na kwa jinsi baraza kuu lilivyojaa hasira sioni kama watakua na huruma.Nilisema wakifukuzwa naachana na JF JUKWAA LA SIASA
Kusema kuwa wale wabunge walikuwa batili na sasa wanachagua halali ni kupingana na kile mlichowahi kukisema baada ya uchaguzi.Hawajayakubali matokeo, bali dhalimu aliyegiza uchaguzi ule unajisiwe yuko motoni. Hivyo maamuzi yanaweza kufanyika sasa kuendana na mabadiliko ya utawala. Nitawashangaa cdm wakikubaliana na matokeo yale ya uchaguzi uliokuwa wa kihayawani vile. Wanaweza kufanya maamuzi fulani fulani kuendana na mazingira ya sasa baada ya yule muhuni kufariki, lakini sio kukubali kuwa matokeo yale kuwa yalikuwa sawa.
Ulipisema Mbowe alitaka kwenda ila akagomewa ikabidi awe mpole ulikuwa unamaanisha nini??
Aliamua tu kuheshimu mawazo yao, ila hakuna wa kumgomea mbowe ndani ya CDM.
Hapo sawa kabisaHawajayakubali matokeo, bali dhalimu aliyegiza uchaguzi ule unajisiwe yuko motoni. Hivyo maamuzi yanaweza kufanyika sasa kuendana na mabadiliko ya utawala. Nitawashangaa cdm wakikubaliana na matokeo yale ya uchaguzi uliokuwa wa kihayawani vile. Wanaweza kufanya maamuzi fulani fulani kuendana na mazingira ya sasa baada ya yule muhuni kufariki, lakini sio kukubali kuwa matokeo yale kuwa yalikuwa sawa.
Kusema kuwa wale wabunge walikuwa batili na sasa wanachagua halali ni kupingana na kile mlichowahi kukisema baada ya uchaguzi.
Kila la kheri mkuu.
Dr. Slaa hakuwa na uchu wa urais na aliridhia ujio wa mgombea mwingine. Aliyeleta shida ni Delila; naye alifanya hivyo kwa kuchochewa na ndugu zake ambao kipindi kile walitajwa hata kwa majina.Sio kweli.
Kama ni suala la kubadili gia angani hata yule "mzalendo" wenu Dr. Slaa alikuwepo ukumbini siku ya kumtambulisha Lowassa, akapiga nae picha na tabasamu la kutosha kuonesha aliridhia ujio wa Lowassa ndani ya Chadema.
Alivyokosa alichotaka ndio kisirani kikamuanza akaishia kufungiwa ndani na mkewe. Kama Mbowe angekuwa na mamlaka ya kufanya chochote anachotaka, naamini asingesubiri kuitisha Baraza Kuu ili aamue kuhusu hao wanawake 19, angeumaliza mchezo siku nyingi.
AmenHata mimi nayapenda yale maandiko yanayosema samehe hata saba mara sabini. Kama mtu anatubu kwa dhati ya moyo...
Hofu ni kwa wale wanaotaka hiyo nafasi
Inasemekana hawakuteuliwa na chama chao !! Walijiteua wenyewe !!
Uko sahihi hii rudhuku mwamba hawezi kuicha.Sidhani kama CHADEMA wanao ubavu wa kuwatema hawa Covid-19. Sanasana watapewa onyo na kupewa Baraka za kuendelea na Ubunge wao. Mwisho wa siku Chama kuendelea kupokea ruzuku
Huo ndio ukweli na Shahidi ni Dr. Slaa.Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo!