Ndivyo mnavyotakiwa kushirikiana na CCM miaka yote(kama ilivyokuwa huko nyuma), na sio kuleta misimamo ambayo hamuwezi kuiishi.Zama zimebadilika mkuu! Ni kweli tulikataa matokeo ya uchafuzi ule, lakini kazi ya Mungu ya tarehe 17 March 2021, haina makosa! Hatuwezi kukataa matokeo ya kazi ya Mungu, ni lazima kushirikiana na walio baki kuijenga nchi!
Hahaha unapata wapi guts za kumuita Halima takataka, mtu anaeijua CDM vizuri kuliko hata wewe keyboard worrior??Hakuna takataka iliyo juu ya chama
Kwahiyo mnakwenda kushirikiana na mazao ya uchafuzi? 😀utaendelea kuwa ni UCHAFUZI
Sheria msumeno.Yaan kuwafukuza uanachama, watu ambao wamewasupport miaka yote ni tena kwa nguvu ni UDHAIFU!
Wewe huijui CHADEMA, wakina Mdee walishafukuzwa na hawatarejeshwa milele ndani ya CHADEMA. Malaya wakubwa wa kisiasa wale.Sidhani kama CHADEMA wanao ubavu wa kuwatema hawa Covid-19. Sanasana watapewa onyo na kupewa Baraka za kuendelea na Ubunge wao. Mwisho wa siku Chama kuendelea kupokea ruzuku
Mdee na wenzake wote nje ya Chadema ni kama Lijualikali aliechangamka Tu. Ingawa ni vichwa haswa lkn wakitoka hapo ndo mwisho wa siasa kwao.Zitto anawasubiria kama mpira wa kona
Acha kelele wewe.U
Unakumbuka jana nilikwambia nini kijana...
COVID 19 hawatafukuzwa ila kitakachofanyika watatakiwa wajiuzulru ubunge kwa lazima kisha wabaki na uanachama wao kama watapenda ili waangaliwe kweli wanipenda CHADEMA au ni njaa tu. kisha wanateuliwa wabunge WAPYAAAAAAAAAAAAAA!!! nnje ya hawa covid19 na hapa ndio utakuwa mwisho wa MAIGIZO YA CCMnduGAY na mbuzi zake
Kwa nn alikubali kudanganyika. Upepo wa Magufuri uliwazoa wakijua watakaa benji wakakubali mtego uliolenga kuweka maslahi kwa serikali ya ccm.Nami pia ananiuma Sana. She was a brave fighter, mtu wa kujiamini, mtunwa kujenga hoja and all those good qualities.
Hata huu ushirika wa sasa, siyo ndoa ya kudumu! Tutashirikiana kama wana nia ya dhati ya kuelekea mabadiliko na maendwleo ya nchi yetu! Wakigeuka na sisi tunageuka! Mama akilegeza kidogo tunatumia advatage! Au mkuu unategemea tuwe ‘Janas Savimbi’ tuende msituni?! Siasa ni sayansi, Mac!Ndivyo mnavyotakiwa kushirikiana na CCM miaka yote(kama ilivyokuwa huko nyuma), na sio kuleta misimamo ambayo hamuwezi kuiishi.
Hayo mawazoyako chadema wenzako wanakuona wewe ndio hayawani, yani unaanzaje kumwambia mbowe mudawake umeisha kijingajinga.Hawajayakubali matokeo, bali dhalimu aliyegiza uchaguzi ule unajisiwe yuko motoni. Hivyo maamuzi yanaweza kufanyika sasa kuendana na mabadiliko ya utawala. Nitawashangaa cdm wakikubaliana na matokeo yale ya uchaguzi uliokuwa wa kihayawani vile. Wanaweza kufanya maamuzi fulani fulani kuendana na mazingira ya sasa baada ya yule muhuni kufariki, lakini sio kukubali kuwa matokeo yale kuwa yalikuwa sawa.
Wewe ndiye Mzee Mdee?Gazeti lote pumba tupu. Nyie wafukuzeni uanachama officially ili dunia mnayopenda kuitaja ijue covid sio wanachama wenu halali
Mnazugwa tu, barua ya chama nani alifoji,kufoji nikosa la jinai kwanini chama hakikwenda mahakamani baadayakujua nyarakazake zimefojiwa.Usichanganye mkuu
Chama kikisusia hakina MAMLAKA ya kumzuia mbunge wake aliyechaguliwa na wananchi asiende kuwawakilisha bunge, kikimshauri asiende na akaamua kwenda inakua sio busara kumfukuza uanachama kwa kigezo hicho
Lakini hawa wahuni akina mzee mdee walifoji barua ya chama na wakajiteua kinyemela huku wengine wakiachiwa gerezani usiku saa2 na kesho yake wanaapishwa nje ya viunga vya bunge na muhuni Ndugai
Tatizo kuu hapa ni kufoji barua ya chama na kujipendekeza kihuni kwa msaada wa mtesi wao ccm
Inamaana hamlioni hili mkuu?
Hamuwezi kuwafukuzaUkitaka kuua nyani usimuangalie usoni... CHADEMA fukuzilia mbali kabisa hao ma-Covidol.
Sawa subiri utaonaHamuwezi kuwafukuza
Mlitakiwa waliowapeleka Mjengoni hap Wabunge washughulikiwe lakini mnaogopana.Sawa subiri utaona
Ila sidhani kama wataendelea na ubunge waoWale wadada watasamehewa na chama.
Kwani Slaa anasemaje?Ila sidhani kama wataendelea na ubunge wao