Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Kumbe waliwazidi akili Chadema, sasa hilo halitakiwi, wangechukua hizo nafasi kwa utaratibu wa chama kuliko kutolewa gerezani na kuapishwa kuwa Mbunge huoni kuna uvunjivu wa sheria? kama ndivyo kwa nini waendelee kuwa Bungeni.
Ni wahujumu kama wahujumu wengine waliopo magerezani
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge halali kabisa kwa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wasubiri matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!.

P
Covid kosa lao ni kukataa kutii amri haram ya CHADEMA kuwa wasiotambue Serkali halali. Kumbuka orodha ya vitomaalum hutolewa nackuopewa Tume ya Uchaguzi kabla hata ya uchaguzi, kinachobaki ni kuchukua the top number (in this case 19) baada ya matokeo kutangazwa chama kinastahili viti maalum vingapi. Wote wakuu walishindwa kihalali - mbowe, msigwa, sugu, lema, heche, zitto, mbatia ubungeni na tundulissu urais - iliwauma sana khasa baada ya majivuni yao.
 
Mjane asiyetambulika rubondo
 
Fedha zetu za kodi sio za kufugia Bundi 19 pale Mjengoni.
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge halali kabisa kwa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wasubiri matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!.

P
Wewe sijui ni kuchoka akili au kukwama kiuchumi hivyo kutafuta style ya kutokea kwa njia zile vijana waitazo uchawa!
Hivi mbunge si lazima atokane na chama cha siasa? Na siku zote hapa nchini yule ambaye hana chama anapoteza ubunge?
Pasco sio kwamba huelewi ila unawatafuta watu wakunenee mabaya bure!
 
Ashakata tamaa ya maisha maana alitegemea yule Mungu wao angempatia teuzi lkn haikuwa
 
Baada ya miaka 100 hakuna atakaekuwepo. Labda wayafungulie kesi makaburi yao. Halafu futa wazo la chama kingine kuingia madarakani hivi karibuni. CCM bado ipo sana.
Nyodo kama hizi Rais Tolbert wa Liberia na chama chake walikuwa nazo na wakawa hawaheshimu katiba wala sheria. Hakika watu walichukia lakini walishindwa kuwaondoa kwa kura kutokana na mbinu zao kama hizi za ccm.
Ila Samwel Doe alipofanya mapinduzi viongozi wote wa hovyo waliwambwa kwenye miti na kula shaba bila kufikishwa mahakamani.
Ni jambo baya, lakini unatenda kinyume halafu unatamba kama nchi ya baba yako unatafuta mabaya mwenyewe.
 
Covid kosa lao ni kukataa kutii amri haram ya CHADEMA kuwa wasiotambue Serkali halali. Kumbuka orodha ya vitomaalum hutolewa nackuopewa Tume ya Uchaguzi kabla hata ya uchaguzi, kinachobaki ni kuchukua the top number (in this case 19) baada ya matokeo kutangazwa chama kinastahili viti maalum vingapi. Wote wakuu walishindwa kihalali - mbowe, msigwa, sugu, lema, heche, zitto, mbatia ubungeni na tundulissu urais - iliwauma sana khasa baada ya majivuni yao.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.

Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.

View attachment 2617591
Hizi ngonjeraa hazisaidiiii. Pia acheni kuwatukana eti niwahijum uchumii. Kama niwahijum uchumii Kwa Nini hamjawafungulia kesi ya uhujumu uchumi mahakamaniii??
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.

P
Vuvuzelas as usual![emoji107]
 
Wewe acha kujitoa ufahamu halafu mwanasheria .
Kwa mujibu wa katiba yetu wale sio wabunge halali wanatumia kivuli cha mahakama na mahakama inatumika vibaya kulea huu uovu.
 
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.

Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.

View attachment 2617591

Mbowe anacheka Tu hapo na glass yake ya wine 😂😂

Anawaona mazuzu
 
Back
Top Bottom