Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Mkuu nakushauri wacha kupoteza calories zako bure kumuelewesha Pascal.

Maana kamwe hatokuelewa kwani ayafanyayo ni makusudi kujandalia mkate wake wa kesho.
Inawezekana kilichomsibu utotoni baada ya baba yake kunyakuliwa ndicho kimemfanya awe hivi alivyo.
 
Umeandika uhuru na mzalendo lkn upupu mtupu
Wewe ungeteuliwa Ubunge wa viti maalum ule shavu miaka mitano na kiinua mgongo cha milioni 300 pamoja na hao mnaowaonea gere na kuwaita Covid-19 ungegoma?

Jibu kutokana na hiari ya moyo wako.
 
Wewe ungeteuliwa Ubunge wa viti maalum ule shavu miaka mitano na kiinua mgongo cha milioni 300 pamoja na hao mnaowaonea gere na kuwaita Covid-19 ungegoma?

Jibu kutokana na hiari ya moyo wako.
Sukuma gang wote mmevurugwa na corona
 
Back
Top Bottom