Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu vya siasa, wale wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!, hawakujiteua, waliteuliwa, majina yao yakapelekwa NEC, NEC ndio ikawapeleka Bungeni. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Chedema ikawafuta uanachama kinyume cha katiba ya Chadema na kinyume cha utaratibu wa nidhamu Chadema kupitia a kangaroo court!. A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo? hivyo sasa wametinga mahakamani kwenda kuitafuta haki yao.

Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.

P
Paskali nilikuambia hautaweza kuwa Lakha hata waganga wote wa kisukuma wakufanyie dawa, utabaki kuwa wa hovyo.
Pamoja na chuki zako dhidi ya Chadema tufafanulie Chadema waliwezaje kumtoa mtuhumiwa gerezani usiku na kwenda kumuapisha, lakini pia kuna waliokiri mahakamani hawamjui nani aliwateua na wapo walioomba mahakamani wakajadiliane na Chadema nje ya mahakama ili yaishe.
Lakha alisimamia haki bila chuki, wewe huonekana kwenye Post zinazohusu Chadema ukitetea udhalimu wa chama chako CCM.
 
Shida ya Vyama vya upinzani vya sasa hivi vinakitegemea Chama Cha Mapinduzi ili kujiimarisha.

Pia robo tatu ya viongozi wake wanapenda kujiunga na CCM, tumeshuhudia miaka ya hivi karibuni jinsi viongozi wa vyama vya upinzani ikiwemo Chadema akina (Nasari) ambao wananchi walitia imani kubwa kwao waki ishia kujiunga na Chama tawala.

Ukiwaangalia kwa umakini viongozi wengi wa vyama vya upinzani wanahamu ya kupata teuzi za vyeo toka kwa Mwenyekiti wa CCM.

Shida kubwa ya nchi hii wapinzani wengi wanaongoza na njaa za kutaka kula chakula.

Kwa ntindo huu, kuna akina Halima Mdee wengi sana katika Siasa za upinzani hapa nchini.
Hii ni moja ya sababu kubwa ya Siasa za upinzani kudhoofika.
Wananchi wanatoa imani kubwa kwa wanamageuzi tena kwa kujitolea kwa hali na mali na muda wao mwingi, wengine kwa kuumizwa na kupata hasara ili Nasari afike Bungeni.
Kesho Nasari huyo huyo anasimama kwenye majukwaa na kudhihaki juhudi za wananchi wapenda mageuzi.

Wananchi tushawajua wapinzani wengi ni akina Mdee na Nasari, watu wa fulsa.
Na mtaishia hapo hapo msiipo badilika Ikulu mtaisikia kwenye radio.

Asilimia 95 ya Wapinzani wa nchi hii ni waganga njaa.
Ni kwamba wanawaonea tu wivu akina Halima Mdee kwa kula shavu miaka mitano. Hata wangeteuliwa wao wasinge kataa hizo viti maalum.

Wananchi kuweni makini sana mnapo wasapoti viongozi wa upinzani, wengi ni akina NASARI.

RIP Mchungaji Christopher Mtikila.
Ni Mwenyekiti pekee wa Upinzani ambaye hakuwahi kila siku kulilia kwenda kupata chai na Bahasha Ikulu.
Na kualikwa kwenye matamasha ya CCM.
Viva Democratic Party {DP}
 
Umeandika uhuru na mzalendo lkn upupu mtupu
 
Paskali Pamoja na chuki zako dhidi ya Chadema wewe huonekana kwenye Post zinazohusu Chadema ukitetea udhalimu
Paskali mbona unapenda Chuki dhidi ya Chadema zimekuchanganya.
Mkuu elvischirwa, naomba tuitumie jf kama darasa, kama chuo cha mafunzo cha kujifunza mambo yasiyofundishwa darasani kwenye vyuo vyovyote!. Kupitia maandishi ya mtu, jifunzeni kumsoma moyo wake, mtu anayeichukia Chadema angeandika haya kuhusu Chadema?.
Ukisoma mabandiko kama hayo huku unashirikisha ubongo wako kubaini the motives behind mwandishi kuandika alichokiandika, una sharpen ubongo wako kupata uwezo wa kusoma vitu kwa ku read in between the lines na kuyajua mawazo ya mwandishi husika hata kwa vitu ambavyo hajaviandika, hivyo unapata uwezo wa kuwa mind reader, ukiushapen uwezo huo wa reading people's mind, unakuwa na uwezo wa kuwasiliana na Mungu kupitia the Voices from within, unaisikia sauti ya Mungu, ndani yako.

Tembelea mitaa hii ukaone kitu kinachoitwa kauli umba ni Mungu anaongea na wewe "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

Kuna watu humu wananichukulia mimi poa sana, ila baada ya 2025 hili litakapo timia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, ndipo tutaheshimiana sana tuu.

P
 
Paskali nilikuambia hautaweza kuwa Lakha hata waganga wote wa kisukuma wakufanyie dawa, utabaki kuwa wa hovyo.
Pamoja na chuki zako dhidi ya Chadema tufafanulie Chadema waliwezaje kumtoa mtuhumiwa gerezani usiku na kwenda kumuapisha, lakini pia kuna waliokiri mahakamani hawamjui nani aliwateua na wapo walioomba mahakamani wakajadiliane na Chadema nje ya mahakama ili yaishe.
Lakha alisimamia haki bila chuki, wewe huonekana kwenye Post zinazohusu Chadema ukitetea udhalimu wa chama chako CCM.
Pascal anajitahidi sana kujikomba kwa ccm lkn ccm wenyewe hawana mpango naye.
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu vya siasa, wale wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!, hawakujiteua, waliteuliwa, majina yao yakapelekwa NEC, NEC ndio ikawapeleka Bungeni. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Chedema ikawafuta uanachama kinyume cha katiba ya Chadema na kinyume cha utaratibu wa nidhamu Chadema kupitia a kangaroo court!. A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo? hivyo sasa wametinga mahakamani kwenda kuitafuta haki yao.

Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.

P
Mkuu Paskali, natambua kuwa wewe ni mwanasheria. Unapaswa kuitendea haki nyanja yako ya kisheria badala ya kuendeshwa na hisia na mihemuko katika suala hili la uwakilishi wa wabunge waliofutwa uanachama na chama chao.

Kufutwa uanachama ni jambo moja, na pingamizi lao mahakamani ni jambo lingine. Mwanachama akifutwa uanachama wake kupitia vikao vya chama basi hupoteza sifa zote hapo hapo, mpaka mahakama ibatilishe uamuzi huo.
 
Pascal huko alishajitoa kwenye mambo ya kiweledi
 
Mkuu elvischirwa, naomba tuitumie jf kama darasa, kama chuo cha mafunzo cha kujifunza mambo yasiyofundishwa darasani kwenye vyuo vyovyote!. Kupitia maandishi ya mtu, jifunzeni kumsoma moyo wake, mtu anayeichukia Chadema angeandika haya kuhusu Chadema?.
Ukisoma mabandiko kama hayo huku unashirikisha ubongo wako kubaini the motives behind mwandishi kuandika alichokiandika, una sharpen ubongo wako kupata uwezo wa kusoma vitu kwa ku read in between the lines na kuyajua mawazo ya mwandishi husika hata kwa vitu ambavyo hajaviandika, hivyo unapata uwezo wa kuwa mind reader, ukiushapen uwezo huo wa reading people's mind, unakuwa na uwezo wa kuwasiliana na Mungu kupitia the Voices from within, unaisikia sauti ya Mungu, ndani yako.

Tembelea mitaa hii ukaone kitu kinachoitwa kauli umba ni Mungu anaongea na wewe "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

Kuna watu humu wananichukulia mimi poa sana, ila baada ya 2025 hili litakapo timia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, ndipo tutaheshimiana sana tuu.

P
Nipe nukuu toka kwa watu wengine kuhusu ulichokiandika wewe lakini si kutoka kwako. Katika tabia zetu sisi tunaweza tukajitia upendo wa ki magamumagamu, mimi huitumia JF kama sehemu ya kupeana maoni sahihi bila kuweka chuki, mara zote huandika kutoksna na kauli zako tata kama bile kuniaminisha kuwa Chadema inauwezo wa kumteua mtu aliye gerezani na kumtoa gerezani! Uthibitisho wako wa ugaidi wa Mbowe huko Mwanza! Hii ni baada ya kesi kufutwa ndiyo sababu nikasema hauwezi kuwa Lakha kwani Lakha anajua na anaheshimu maana ya kesi kufutwa.
 
Mkuu nakushauri wacha kupoteza calories zako bure kumuelewesha Pascal.

Maana kamwe hatokuelewa kwani ayafanyayo ni makusudi kujandalia mkate wake wa kesho.
 
Back
Top Bottom