Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Mwenye makosa makubwa ni spika ambaye anavunja katiba kwa kutotekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na katiba.
Mkuu mtu akiingia kazini kupitia mlango wa nyuma lazima atakuwa mtumwa wa aliye muingiza kazini kwa njia haramu.

Huyu subwoofa aliingizwa na Jiwe maana kabla ya hapo hakuna aliemjua Betina
 
Spika bado ana mandate ya kuhoji wabunge wake wameingia bungeni kwa mlango upi

Then atahoji Kwa wabunge wote basi mpaka yy mwenyewe ajihoji,

Kama ujui anaesema huyu ni Mbunge or not ni tume,
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.

P
Paskali unaheshimika sana, jitahidi.mengine usome na upite usi comment maana wengi wanakuchukulia kama role model wao, usiwaharibu.
 
Then atahoji Kwa wabunge wote basi mpaka yy mwenyewe ajihoji,

Kama ujui anaesema huyu ni Mbunge or not ni tume,
Mawazo yako yana angukia kwenye utumwa wakupewa kitengo tu
 
Shida yenu mnadhania Jf ni kijiwe cha kahawa

Unamtaka Spika ahoji ubunge wa mtu wakati yy mwenyewe analetewa majina ya kuwaapisha kutoka tume

Au tangu umezaliwa umewahi kusikia Bunge linatangaza Jimbo kuwa wazi?
 
Tangu lini uvccm wakawa no akili ?
Yaani wewe nyumbu ni shida sana tena hujitambui. Hivi unajua kuwa katika hao unaowaita Covid 19 kuna mke wa kiongozi wako wa kitaifa aitwaye Kigaila? Hata jina lake silijui vizuri. Pia unajua kuwa viongozi wako wanachukua ruzuku ya chama ya kila mwezi kwa sababu ya hao wabunge!!? Hebu jaribu kujitambua basi hata kidogo!!
 
Shida yenu mnadhania Jf ni kijiwe cha kahawa

Unamtaka Spika ahoji ubunge wa mtu wakati yy mwenyewe analetewa majina ya kuwaapisha kutoka tume

Au tangu umezaliwa umewahi kusikia Bunge linatangaza Jimbo kuwa wazi?
Mkuu achana na hawa nyumbu hawajitambui
 
Haya uliyo andika ndiyo tunaitaga mawazo ya vijiwe samri au vijiwe vya wavua chaza.
Kama Mwenyekiti kesha kamilisha Maridhiano na Chama tawala yaani CCM.
Kuna haja gani sana ya kuwafukuza hao Wabunge?
Mwenyekiti si kaumaliza mtafaruku na ruzuku IMETOKA.
Yanini tena kufukua Makaburi au unatuambia kuwa Maridhiano yalikuwa ni kiinimacho tu.
 
Kamuulize mwenyekiti wenu
 
Shida yenu mnadhania Jf ni kijiwe cha kahawa

Unamtaka Spika ahoji ubunge wa mtu wakati yy mwenyewe analetewa majina ya kuwaapisha kutoka tume

Au tangu umezaliwa umewahi kusikia Bunge linatangaza Jimbo kuwa wazi?
Ccm ni majambazi
 
Yaani wewe nyumbu ni shida sana tena hujitambui. Hivi unajua kuwa katika hao unaowaita Covid 19 kuna mke wa kiongozi wako wa kitaifa aitwaye Kigaila? Hata jina lake silijui vizuri. Pia unajua kuwa viongozi wako wanachukua ruzuku ya chama ya kila mwezi kwa sababu ya hao wabunge!!? Hebu jaribu kujitambua basi hata kidogo!!
Habari za kumsujudia eti mke wa kiongozi sijui nani hayo yapo kwenu waramba miguu wa uvccm na sukuma gang
 
Back
Top Bottom