Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Mtu alitolewa gerezani usiku na kwenda kula kiapo ili awe mbunge!

Sasa tunajiuliza nini kilikuwa kimemuweka gerezani?

Au hukumu ya mahakama ilifanyika usiku usiku?

Au alikuwa gerezani bila kuwa na hatia?

Kwani kiapo kilifanyika usiku?
 
Covid kosa lao ni kukataa kutii amri haram ya CHADEMA kuwa wasiotambue Serkali halali. Kumbuka orodha ya vitomaalum hutolewa nackuopewa Tume ya Uchaguzi kabla hata ya uchaguzi, kinachobaki ni kuchukua the top number (in this case 19) baada ya matokeo kutangazwa chama kinastahili viti maalum vingapi. Wote wakuu walishindwa kihalali - mbowe, msigwa, sugu, lema, heche, zitto, mbatia ubungeni na tundulissu urais - iliwauma sana khasa baada ya majivuni yao.
Kwa taarifa yàko chadema hawakuwahi kupeleka orodha hiyo unayoisema tume ya uchaguzi.
Kama orodha ilipelekwa Kwa nini hawakuapishwa na wenzao .
Orodhwa ilipikwa baadae .
 
Kwani kiapo kilifanyika usiku?
Unajua huyo.mtu alikuwa magereza Kwa muda gani?
Unafahamu mchakato wa wabunge wa viti maalumu chadema unafanyikaje?
Hiyo drama iliyofanywa na Marehemu Shetani ni ya kipuuzi sana Ndio maana Mungu akaamua amuondoe duniani mapema kwani alikuwa anaaribu kulipo hata Shetani Mkuu
 
Lete fact, sio wabunge halali kivipi

1. chadema kimesema hakijawahi kiteua wabunge wa vitu maalumu.
2.chadema kiliwafutia uanachama baada ya kukiuka maelekezo ya chama kwamba hakijawateua kuwa wabunge wa viti maalumu.
3.katiba ya nchi inaeleza wabunge ni lazima wawe wanachama na wadhaminiwe na chama cha siasa.

Kwa sasa hivi hao sio wanachama wa chadema na wamekimbilia mahakani kuomba warudishiwe uwanachama. So logically hao sio wana chadema na Kwa hiyo hawastahili kuwa wabunge.
Hili suala lipo wazi
 
Unajua huyo.mtu alikuwa magereza Kwa muda gani?
Unafahamu mchakato wa wabunge wa viti maalumu chadema unafanyikaje?
Hiyo drama iliyofanywa na Marehemu Shetani ni ya kipuuzi sana Ndio maana Mungu akaamua amuondoe duniani mapema kwani alikuwa anaaribu kulipo hata Shetani Mkuu

Unajuaje kama mchakato haukufanyika ?

Kama mchakato haukufanyika then why majina ya wake za viongozi na madem zao na marafiki zao yalikuwa yanajadiliwa kule bahari beach kwenye ishu ya viti maalumu?

Kama huna taarifa sahihi then kaa tulia, usiwe unakurupuka Tu kuongea
 
Hakuna kikao chochote cha chadema kilichokaa na kupitisha majina ya wabunge viti maalumu chadema acha kupotosha
 
1. chadema kimesema hakijawahi kiteua wabunge wa vitu maalumu.
2.chadema kiliwafutia uanachama baada ya kukiuka maelekezo ya chama kwamba hakijawateua kuwa wabunge wa viti maalumu.
3.katiba ya nchi inaeleza wabunge ni lazima wawe wanachama na wadhaminiwe na chama cha siasa.

Kwa sasa hivi hao sio wanachama wa chadema na wamekimbilia mahakani kuomba warudishiwe uwanachama. So logically hao sio wana chadema na Kwa hiyo hawastahili kuwa wabunge.
Hili suala lipo wazi

1, tume inasema ilipata barua kutoka kwa mnyika na spika anasema alipata barua toka tume

2. Chama cha siasa sio taasisi ya mtu Binafsi kwamba anaweza kuamka anytime akasema mtu flan sio mwanachama wetu from no where

3. Dhamana ya chadema wanayo ndio maana wapo bungeni
 
Hakuna kikao chochote cha chadema kilichokaa na kupitisha majina ya wabunge viti maalumu chadema acha kupotosha

Lete ushagidi
Unajua huyo.mtu alikuwa magereza Kwa muda gani?
Unafahamu mchakato wa wabunge wa viti maalumu chadema unafanyikaje?
Hiyo drama iliyofanywa na Marehemu Shetani ni ya kipuuzi sana Ndio maana Mungu akaamua amuondoe duniani mapema kwani alikuwa anaaribu kulipo hata Shetani Mkuu

Muda wa kukaa magereza Una uhusiano gani na mtu kuteuliwa?

Mbona mbowe alikaa magereza more than 5 month but alitolewa usiku na akaenda Ikulu?

Why usihoji Hilo Jambo?
 
Wanakuwaje wahujumu wakati hawajajipeleka pale.......!

Mhujumu ni aliyewatambua kuwa wabunge kama hatua kweli za uteuzi hazikufuatwa.
 
Lete ushahidi

Kwamba nilite ushahidi kwamba hakuna kikao kilochofanyika?

Sasa hapo Unataka ushahidi wa nini wakati hakuna kikao kilochofanyika .

Wewe unayesema kuna vikao vilifanyika embu leta ushahidi wa minutes za vikao hivyo.

Dah ila watu wengine sijui vipi
 
Lete ushagidi

Muda wa kukaa magereza Una uhusiano gani na mtu kuteuliwa?

Mbona mbowe alikaa magereza more than 5 month but alitolewa usiku na akaenda Ikulu?

Why usihoji Hilo Jambo?

Hii nchi ina watu wengi wanamtindio wa ubongo ila hamjitambui.
Kuwa mbunge wa viti maalumu chadema ni mchakato wala sio wa siku moja au mbili.
Lazima mtu aombe, ajadiliwe na vikao husika, apigiwe kura na wajumbe halafu ndio chama kipeleke majina NEC.
Sasa mtu alikuwa jela aliwezaje kufanya hivyo.
Suala la mbowe kwenda Ikulu halihusiani kabisa na hili suala la hao kovid hususani huyo mcovid aliiyetokea magereza
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.

P
Wakili njaa wewe ....Nilitegemea utuwekee hapa ,kanuni za Ki sheria mpaka kufikia hatua ya tukio hili litanyike..
 
Nyodo kama hizi Rais Tolbert wa Liberia na chama chake walikuwa nazo na wakawa hawaheshimu katiba wala sheria. Hakika watu walichukia lakini walishindwa kuwaondoa kwa kura kutokana na mbinu zao kama hizi za ccm.
Ila Samwel Doe alipofanya mapinduzi viongozi wote wa hovyo waliwambwa kwenye miti na kula shaba bila kufikishwa mahakamani.
Ni jambo baya, lakini unatenda kinyume halafu unatamba kama nchi ya baba yako unatafuta mabaya mwenyewe.
CCM haijafika kwenye kutoheshimu katiba. CCM inaheshimu hadi katiba ya chama tofauti na CHADEMA ambayo Mbowe ndo katiba ya chama na katiba ndo mbowe. Fuatilia kauli za Lissu za hivi karibuni utagundua. CCM imebeba matumaini ya watanzania wote mkiwemo wewe na Mbowe.
 
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.

Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.

View attachment 2617591

Kosa ni la Mafedha ,Mgogo na Jikono Jandama(Bumunda) ndiyo walioengineer hao covid 19 mpaka wakaingia bungeni.....Kwakuwa wawili bado wapo hai(mgogo na mafedha) inabidi wafunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi hao covid 19 hawana kosa maana bila hao "mabumunda" kubariki wasingeingia.
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.

P

Kwani vyeti feki si walifuata process zote za ajira? why JIKONO JANDAMA aliwaondoa? Je waliofukuzwa walisikilizwa mahakamani kuweka injuction ili wasifukuzwe mpaka kesi imalizike? Si walifukuzwa hapo hapo?
 
Hii nchi ina watu wengi wanamtindio wa ubongo ila hamjitambui.
Kuwa mbunge wa viti maalumu chadema ni mchakato wala sio wa siku moja au mbili.
Lazima mtu aombe, ajadiliwe na vikao husika, apigiwe kura na wajumbe halafu ndio chama kipeleke majina NEC.
Sasa mtu alikuwa jela aliwezaje kufanya hivyo.
Suala la mbowe kwenda Ikulu halihusiani kabisa na hili suala la hao kovid hususani huyo mcovid aliiyetokea magereza

Lete fact kuwa hayo yote hayakufanyika then tuone Nani mtindio wake wa ubongo Una wadudu Kati yangu mm na wewe
 
Kwani vyeti feki si walifuata process zote za ajira? why JIKONO JANDAMA aliwaondoa? Je waliofukuzwa walisikilizwa mahakamani kuweka injuction ili wasifukuzwe mpaka kesi imalizike? Si walifukuzwa hapo hapo?

Sasa wale ni vyeti feki, mtu ana Chet cha certicate anajifanya ana mastars so hata yy mhusika hawez kwenda mahakamani coz hawez kudhibitisha
 
Back
Top Bottom