900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
wanaficha kwa sababu ya kisiasa tu wengine labda wamepta ulemavu, japo wanafanya kosa kuwaficha majina tunatakiwa tuwafahamu maana wanahudumiwa kwa kodi zetuKwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!