Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

wanaficha kwa sababu ya kisiasa tu wengine labda wamepta ulemavu, japo wanafanya kosa kuwaficha majina tunatakiwa tuwafahamu maana wanahudumiwa kwa kodi zetu
 
Majina ya majeruhi haya hapa msikilize kamanda Katabazi:
View: https://youtu.be/skscjPrmLio
 
Hizo hospital walizomo kwa nini zisiporomoke kama lile ghorofa? Ninajua lazima wazalendo waliokuwa wamelazwa humo kabla ya hawa wa bus sasa hivi ama hawapatiwi huduma ama wamehamishiwa kwenye zahanati na hawapokelewi tena kwa sasa.
 
Ni watunga sheria, kuwakilisha wananchi, kutetea SERIKALI YAO WANAPOTAKA KUUZA NCHI. Kwa hiyo lazima wafichwe na kulindwa sana.
๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ what a joke ๐Ÿ˜ƒ
Watunga sheria wanapata ajali za kizembe na wao ndio waliotakiwa kuwa waangalifu zaidi
Kila leo ajali na wanalijua hilo ila hakuna wanachokifanya
Hizo nguvu kwanini wasiwawajibishe mkuu wa polisi na waziri wake?

Ajali za kizembe mpaka lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ