Wabunge CCM kulishana yamini... Lengo ni Mfumo wa Serikali TATU haupiti !!!

Wabunge CCM kulishana yamini... Lengo ni Mfumo wa Serikali TATU haupiti !!!

Wanafiki wakubwa hawa, mpaka wavunje likatiba lao la 2010 ndo mambo yatakwenda kama wanavyotaka, vinginevyo Tanganyika hiyoooo inakuja
 
Yamini ni aina gani ya uchawi mbona mimi sielewi?Naona watu wanaichukulia kwa umakini sana ni nini hicho?Ni tambiko?dua?ama viapo?na kama ni viapo kwa Mungu gani?au wale miungu wa Bagamoyo?wa Nigeria ama India?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Na sisi tuwalie yamini huku mbona sisi ni wengi kuliko wao hawa!!!!!

Trust me guys kama wanaenda theological sisi tupo wengi huku wao ni 600 tu! !!!!

Haki nawaambia kama wanachukua njia hiyo let us join hands and do it in their ways!!!!!!

Hawatoki hawa mbona wengine nungwi hapo, wa barabarani nao tutawasikia yaani hawatushindi hawa asilani!!!!!!
 
I always desire to be wise...I also pray to be wise! Kuna wakati ni rahisi sana kujikuta umepitwa na mambo ukawa kituko cha historia. Historia inaandikwa na matukio kama haya...tutumie busara sio hizo mbinu za kale za kishirikina zisizo na nafasi kwenye modern times. Hoja zijibiwe kwa hoja na sio viroja.

Mkuu hujachelewa rudi shule
 
Mkuu hujachelewa rudi shule

Wewe umeshasoma na kuimaliza hiyo shule? Maana wengine tunachojua kusoma na kujifunza ni mpaka siku tunazikwa kaburini. Kuongea kichina au kirusi au kijerumani sio dalili za kwamba umesoma na kuelimika, wala kushusha yanga ngumu ngumu za Physics na mahesabu sio dalili ya kwamba umebobea kwenye taaluma hiyo. Kwa ufupi, anayedhani amesimama aangalie asianguke. Hongera sana msomi big_in
 
Last edited by a moderator:
Ha ta mie serikal mbili wakishindwa mbili ua muungano kila watu wafe na chao.
 
Back
Top Bottom