Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Duuh! Kwa kweli ngozi nyeusi tuna roho nyeusi. Makamba ana elimu ya kuunga unga!!!!! Ulishawahikujipa muda ukafuatiliaji uwezo wake? Kwa akili elimu unayojua ni ya kukakriri darasani??Sisi tulishasema ukimuweka kilaza mwenye Elimu ya kuungaunga kwenye wizara kama hii unategemea nn zaidi.Wizara hii inajiendea tu haina waziri.
Ni kwa vile Serikali imeweka ruzuku. Bila ruzuku ungelipa laki 8 na hata zaidi.Mimi niliweka umeme na matumizi ya nguzo moja kwa 300k. Hiyo ya 800k imeanza lini
Serikali ina uza umeme kwa wananchi siyo bure kwanini mwananchi achangie gharama ya miundo mbinu kama nguzo wire n.k???Wewe ndo hukumwelewa Makamba. Umefuata ushabiki ama kwa makusudi au kwa kutojua. Alichosema Makamba ni hivi " gharama ya kuingiza umeme ni laki 8 iwe mijini au vijijini, lakini kwa kijijini inakuwa elfu 27 maana tayari TANESCO/Serikali inatoa ruzuku ya kiasi kinachobaki". Hivyo, gharam halisi ni laki 8 na siyo 27. Sijui nimeeleweka!!!!
Hii mitungi anayogawa si ya "taifa gas" (rostam)Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba akihojiwa na Mtangazaji Benjamin Mzinga ambaye alizunguka naye kwenye ziara yake mikoa ya Kanda ya Ziwa ya kugawa mitungi ya gesi.
Acha uzuzu REA KWA SASA INA LEA MAFISADI WA CCM NA FAMILIA ZAOWewe ndo hukumwelewa Makamba. Umefuata ushabiki ama kwa makusudi au kwa kutojua. Alichosema Makamba ni hivi " gharama ya kuingiza umeme ni laki 8 iwe mijini au vijijini, lakini kwa kijijini inakuwa elfu 27 maana tayari TANESCO/Serikali inatoa ruzuku ya kiasi kinachobaki". Hivyo, gharam halisi ni laki 8 na siyo 27. Sijui nimeeleweka!!!!
Hawa Tanesco wanatakiwa wapate ushindani kama ule wa mitandao ya Simu akili ndio zitawakaa sawaHivi hii inakuwaje mwenye biashara ili akupe huduma wewe muhitaji ndio unakuwa wa kumchangia mtoa huduma wakati unamlipa?!
Wa kuelewa wameshanielewa ukiona hujaelewa, huwezi kuelewa!
Kwan Bei ya nguzo ni sh ngap. Kwa miti Ile inayouzwa pale iringaLaki 8 na kuendelea kutegemeana na umeme unatoka umbali gani. Kama utahitaji nguzo bei inaongezeka kulingana na idadi ya nguzo zitakazohitajika.
Hujaeleweka! unamaanisha nini? kwamba uteuliwe wewe Makamba atoke?Teuzi tamu.
Kutembelea V8, plate namba ya uwaziri, naibu waziri, posho za safari, 10% za mikataba etc.
Nikuulize tu swali ni lini huyu huyu makamba akawa mkweli. Alisema umeme unakatika katika kwa sababu ya miundombinu imeoza Ina mda haiajarekebishwa tangu hapo huu ni mwaka lakini tatzo liko pale pale.Kwanza wengi hawakumuelewa Makamba,
Hoja ya makamba alikua akieleza kwamba hata hizi bei za sasa ambazo watu wanalalamika kwamba ni kubwa bado serikali inaweka ruzuku.
Makamba ameeleza kwa makadirio tu kwamba gharama kwa wastani yakuunganisha umeme kama ukiutaka uhalisia inafika 800,000,hivyo hizi gharama za sasa ile ya 27000 kwa vijijini na hii ya mijini ambayo ni laki tatu na point nafikiri serikali inalazimika kuongeza ruzuku.
Makamba ameeleza mita moja ya waya ule unaotumika kuvuta umeme kutoka kwenye nguzo kuja kwenye nyumba inauzwa tsh 35,000/=.Sasa hemu fanya makadirio mfano nyumba yako ipo umbali 16m kutoka kwenye nguzo 35000×16=560000.Hizi ni gharama za waya kwa makadirio.
Na bei ya mita makamba amesema ni 250,000 hivyo ukijumlisha na 560,000 ya waya ndipo hapo alipokadiria gharama ya 800,000/=.
Kimsingi zipo nyumba zinaumbali hata wa 5m kutoka kwenye nguzo hivyo utaona gharama hazitafika 800,000/=.Alichotoa Makamba ni makadirio hakuna sababu yakuhukumiwa.
Chamsingi hapa wanaobisha wanapaswa waende madukani wakaulizie bei ya waya kwa kila useful wa mita moja pia waulize na bei ya mita waone kama makamba anadanganya ndipo mmuite mwongo kinyume cha hapo kaeni kimya.
Uchawa ili wapate uteuzi, kule Instagram wanatag ikulu na mama mwenyewe si wanajua huyu waziri ni kipenzi cha mama...Hujaeleweka! unamaanisha nini? kwamba uteuliwe wewe Makamba atoke?
Mtuaji wa jamiiforums hadi leo unaamini kwamba mafanikio na majanga yanapatikana kwa uchawi na uganga????Uchawa ili wapate uteuzi, kule Instagram wanatag ikulu na mama mwenyewe si wanajua huyu waziri ni kipenzi cha mama...
Bado ujaelewa? Lengo kumtetea kipenzi cha mama.