Wabunge Festo Sanga na Subira Mgalu mbona mnahangaika kumtetea Waziri Makamba kauli ya Umeme Laki 8?

Wabunge Festo Sanga na Subira Mgalu mbona mnahangaika kumtetea Waziri Makamba kauli ya Umeme Laki 8?

Sisi tulishasema ukimuweka kilaza mwenye Elimu ya kuungaunga kwenye wizara kama hii unategemea nn zaidi.Wizara hii inajiendea tu haina waziri.
Duuh! Kwa kweli ngozi nyeusi tuna roho nyeusi. Makamba ana elimu ya kuunga unga!!!!! Ulishawahikujipa muda ukafuatiliaji uwezo wake? Kwa akili elimu unayojua ni ya kukakriri darasani??
 
Wewe ndo hukumwelewa Makamba. Umefuata ushabiki ama kwa makusudi au kwa kutojua. Alichosema Makamba ni hivi " gharama ya kuingiza umeme ni laki 8 iwe mijini au vijijini, lakini kwa kijijini inakuwa elfu 27 maana tayari TANESCO/Serikali inatoa ruzuku ya kiasi kinachobaki". Hivyo, gharam halisi ni laki 8 na siyo 27. Sijui nimeeleweka!!!!
Serikali ina uza umeme kwa wananchi siyo bure kwanini mwananchi achangie gharama ya miundo mbinu kama nguzo wire n.k???
 
Clip hiyo imetokana na sehemu ya mahojiano ya ITV katika Kipindi cha Dakika 45 Makamba akihojiwa na Mtangazaji Benjamin Mzinga ambaye alizunguka naye kwenye ziara yake mikoa ya Kanda ya Ziwa ya kugawa mitungi ya gesi.
Hii mitungi anayogawa si ya "taifa gas" (rostam)
Hii ni kazi ya waziri kweli au? kuna kitu hakipo sawa hapa au waziri hajui wajibu wake?
 
Nadhani makamba anajiandaa kuachia wizara hiyo na anajua siku zake zinahesabika!!

Promo ya nishati mbadala wa UMEME imeshawapatia faida kubwa sana!mauzo ya generator, solar panels na n.k yameshawapatia faida kubwa sana!!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Wewe ndo hukumwelewa Makamba. Umefuata ushabiki ama kwa makusudi au kwa kutojua. Alichosema Makamba ni hivi " gharama ya kuingiza umeme ni laki 8 iwe mijini au vijijini, lakini kwa kijijini inakuwa elfu 27 maana tayari TANESCO/Serikali inatoa ruzuku ya kiasi kinachobaki". Hivyo, gharam halisi ni laki 8 na siyo 27. Sijui nimeeleweka!!!!
Acha uzuzu REA KWA SASA INA LEA MAFISADI WA CCM NA FAMILIA ZAO
 
Hivi hii inakuwaje mwenye biashara ili akupe huduma wewe muhitaji ndio unakuwa wa kumchangia mtoa huduma wakati unamlipa?!
Wa kuelewa wameshanielewa ukiona hujaelewa, huwezi kuelewa!
Hawa Tanesco wanatakiwa wapate ushindani kama ule wa mitandao ya Simu akili ndio zitawakaa sawa
 
Teuzi tamu.

Kutembelea V8, plate namba ya uwaziri, naibu waziri, posho za safari, 10% za mikataba etc.
 
Laki 8 na kuendelea kutegemeana na umeme unatoka umbali gani. Kama utahitaji nguzo bei inaongezeka kulingana na idadi ya nguzo zitakazohitajika.
Kwan Bei ya nguzo ni sh ngap. Kwa miti Ile inayouzwa pale iringa
 
Kwanza wengi hawakumuelewa Makamba,
Hoja ya makamba alikua akieleza kwamba hata hizi bei za sasa ambazo watu wanalalamika kwamba ni kubwa bado serikali inaweka ruzuku.

Makamba ameeleza kwa makadirio tu kwamba gharama kwa wastani yakuunganisha umeme kama ukiutaka uhalisia inafika 800,000,hivyo hizi gharama za sasa ile ya 27000 kwa vijijini na hii ya mijini ambayo ni laki tatu na point nafikiri serikali inalazimika kuongeza ruzuku.

Makamba ameeleza mita moja ya waya ule unaotumika kuvuta umeme kutoka kwenye nguzo kuja kwenye nyumba inauzwa tsh 35,000/=.Sasa hemu fanya makadirio mfano nyumba yako ipo umbali 16m kutoka kwenye nguzo 35000×16=560000.Hizi ni gharama za waya kwa makadirio.

Na bei ya mita makamba amesema ni 250,000 hivyo ukijumlisha na 560,000 ya waya ndipo hapo alipokadiria gharama ya 800,000/=.

Kimsingi zipo nyumba zinaumbali hata wa 5m kutoka kwenye nguzo hivyo utaona gharama hazitafika 800,000/=.Alichotoa Makamba ni makadirio hakuna sababu yakuhukumiwa.

Chamsingi hapa wanaobisha wanapaswa waende madukani wakaulizie bei ya waya kwa kila useful wa mita moja pia waulize na bei ya mita waone kama makamba anadanganya ndipo mmuite mwongo kinyume cha hapo kaeni kimya.
Nikuulize tu swali ni lini huyu huyu makamba akawa mkweli. Alisema umeme unakatika katika kwa sababu ya miundombinu imeoza Ina mda haiajarekebishwa tangu hapo huu ni mwaka lakini tatzo liko pale pale.

Alisema hakuna cranch ya Tani 30 akambiwa mbona zipo akakimbia mazima. Yeye akasema wataagiza Hadi Leo kimya.

Tunaomba wauza vifaa vya umeme watuwekee hapa Bei ya hizi nyaya ili tuone kama ni kweli Tena tanesco wao hawana kodi
 
Hujaeleweka! unamaanisha nini? kwamba uteuliwe wewe Makamba atoke?
Uchawa ili wapate uteuzi, kule Instagram wanatag ikulu na mama mwenyewe si wanajua huyu waziri ni kipenzi cha mama...

Bado ujaelewa? Lengo kumtetea kipenzi cha mama.
 
Uchawa ili wapate uteuzi, kule Instagram wanatag ikulu na mama mwenyewe si wanajua huyu waziri ni kipenzi cha mama...

Bado ujaelewa? Lengo kumtetea kipenzi cha mama.
Mtuaji wa jamiiforums hadi leo unaamini kwamba mafanikio na majanga yanapatikana kwa uchawi na uganga????
Duuh! tuna safari ndefu sana kuweza tu kufikia hatua ya kujikimu chakula.
 
Back
Top Bottom