Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,470
- 515
Wana JF ukweli ni huu: Simu iliyomuua KANUMBA ni kwamba LULU alikuwa anachati na Mheshimiwa ZITTO ZUBERI KABWE. Kanumba akiwa bafuni alimsikia LULU akise ZITTO KABWE I LOVE YOU THAN ANY BODY and TAKE A KISS MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. I miss you ZITTO KABWE. KANUMBA is just for short time but you ZITTO KABWE is FOR FOREVER. Baada ya kusikia hivyo kanumba alitoka bafuni na mapovu yake bila kujifuta na ndio mapovu ambayo madaktari waliyaona kwa kanumba. Halima Mdee ndio kuwadi wa Zitto aliofanikisha mpango wa zitto kumapta LULU kimapenzi, alijifanya kuwa rafiki wa mama lulu kumbe moyoni ana lake jambo. Hivi sasa zitto na halima wamefoji cheti cha kuzaliwa lulu kwa lengo la kumkomboa lengo akitoka zitto amuoe lulu na kuondokana swala la lulu kuwa nyumba ndogo ya zitto kama ilivyokuwa awali. WANA JF Mwenye akili haambiwi fikiri. unazani msukumo wa zitto kwa kufoji vyeti vya lulu ni bure. nitafuteni kwa namba 0757755333
Watu,
Tuache mihemko(emotions) ili tuweze kuwa Objective......
Tatizo la akina Mdee na Bulaya ni nini? Lulu ana haki ya kupewa msaada wa kisheria na kisaikolojia.
Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.
Ninavyofahamu mimi Mh. Halima Mdee ni mwanasheria. Kuhusu sakata la LULU (Elizabeth), pamoja na yote yanayozungumzwa bado anahitaji usimamizi wa kisheria ni haki yake. Tunaamini Mh. Mdee ama Mh. Bulaya hawawezi pindisha sheria kama Lulu atakutwa na kosa la mauaji kwa kukusudia.
Pia kama itadhihirika kuwa anaumri wa miaka 17 (ingawa najua alishajitangaza na kusheherekea miaka18), atahitaji usimamizi na ushauri kama mtoto maana anaweza kuathirika vibaya sana na pressure ya jambo hili.
Tunaamini akipata usimamizi na usaidizi wa kisheria, na kama atahukumiwa kwa kisa la mauaji, basi itakuwa haki imetendeka. Tusipende kukimbilia kuhukumu, bali nakubaliana bado kunautata mkubwa kwenye tukio hili la kusikitisha ssana.
Halima wewe tunakuheshimu sana, achana na hili tukio. Lulu ameharibika siku nyingi sana tena akiwa under 18, picha za uchi kwa mitandao n.k. hamkusema kitu, sasa matokeo ya kuharibika kwake mnataka mseme, acha dada yangu maana inataka kuwa kama mwehu kuongelea athari za kuharibika kwake bila kuongelea kuharibika kwenyewe.
Unakumbuka alikana kuwa hana uhusiano na Kanumba, Je imekuwaje tena? ni muongo hivyo kila analosema hatuwezi kuamini kirahisi. Under 18 kapata wapi driving license? ni muongo huyo dada yangu atakuchafua bure. Kituoni aliandikisha ana miaka 18, kwani hajui hata umri wake? Mama yake akaleta cheti ana miaka 16 na siku 360 hadi leo hapo tena inaonesha ni muongo.
So please achane naye, ashughulike na waongo waongo wenzake sio wewe.
Inakera Mkuu kuona Watu wanamalizia hasira zao kwa Haka Kabinti. Hivi ngoja Nikuulize. Kosa la Haka Kabinti ni Lipi hasa?
Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.
Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.
Haki ya mtu haipotei, haijarishi unamapenzi gani kwa marehemu, mazingira ya kifo chake hayana mashiko ya kumtia mtuhumiwa uraiani, cheti cha kuzaliwa ndiyo hitimisho la umri wa mtu unless otherwise uwe wewe ni mkunga ulemzanisha mama yake au jirani/mlezi wa mtoto wakati anazaliwa.
Kuhusu uchafu wa mtuhumiwa hiyo ni hoja dhaifu sana kwani hujaangalia ni kitu gani kilichopelekea awe mchafu kwa umri wake. Kuhusu kuwa na licence inapaswa ujue ameipata lini? coz kama unashabikia now anamiaka 18 ilihali licence aliipata 2 years or more before then hoja ya umri na licence haina mashiko ila ni kesi ya kujibu kwa mamlaka ya utoaji wa licence why walimpa licence mtu asiestahili kuwa nayo.
Acheni ushabiki usiyo na mantiki, hata kama marehemu hajasema lolote baada ya tukio, lazima ujiulize inakuwaje mtu mwenye size na umbo kama la mtuhumiwa, akamsukuma mwenye umbo kama la marehemu, kisha marehemu akaanguka mzima mzima?
Nahisi jambo hilo ni muhimu kufanywa na wabunge uliowataja na hata wanaharakati wa haki za kijisia na watoto. Hivi nani anayetambua ugumu wa maisha ya mtoto msanii lulu yaliyopelekea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na "MANGULI" KATIKA SANAA KAMA KANUMBA? Watoto wanatakiwa kulindwa nani anayemlinda huyu mtoto aliyenusurika kufa kwa kipigo? Wahenga wanamsemo "mnyonge nyongeni lakini haki yake mpeni". Haka katoto kamenyanyaswa na kukuzwa bila kujijua na "mafataki yenye hadhi ya kitaifa" ambayo leo Kanumba yuko kaburini na wengine wanapeta mitaani. Hii jamii inahitaji msaada wa kimaadili na kinidhamu maana vitu hivi vimepuuzwa hadharani. Naamini Lulu anahitaji utetezi.Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.