Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

Pre GE2025 Wabunge hawa wa CCM wajipange kisaikolojia, hata washinde kura za maoni watakatwa kupisha wengine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu ndo huwa ujinga wa ccm ,wao Bungeni wanataka vilaza wa kugonga meza tu ,sio wale wenye maono na hoja za kuwabana. Uzuri pia Ccm pia haitakua madarakani
 
Uzuri wa waziri mkuu hata asipogombea anapokea malipo na huduma zingine mpaka kaburini
Yap,hio ndio faida...thus why kama anaona kabisa akigombea ubunge na akashinda ila nafasi ya uPM hatopata,ni bora ale pensheni tu ...atapewa hata chuo huko awe kansela huko.
 
Yap,hio ndio faida...thus why kama anaona kabisa akigombea ubunge na akashinda ila nafasi ya uPM hatopata,ni bora ale pensheni tu ...atapewa hata chuo huko awe kansela huko.
Kwani nafasi ni ya PM tu? Kunaweza kutokea ubunifu akaendelea kukipiga...kwa mfano kikaundwa cheo cha Waziri Msimamizi n.k. Namshauri atetee tu jimbo lake.
 
Ndoto ya mchana hiyo, kwenye uchaguzi wa mitaa nguvu itumike wengine wakatwe, alafu uchaguzi wa wabunge ndio waachwe wajipambanie?? Unaota amka
Kila mtu mwaka huu lazima ajipambanie mwenyewe maana mama mwenyewe maji ya shingo alafu aanze kuangaikia wengine kiufupi chadema mwaka huu watazoa viti vingi bungeni. Namis sana hekima za mzee mbatia I wish aludi bungeni. Wabunge wale Covid 19 wasamehewe tujenge chama tutavuka salama uchaguzi mkuu.
 
Hata huyo mzaliwa wa kizimjob siku ile uhuni usingefanyika wangeacha demokrasia ichukue mkondo wake 2025 asingekuwa mgombea wa urais kupitia chama chake.

Kwa hiyo hiko chama uhuni ni asili yake
NANI AMEKWAMBIA IMEISHA HY?
 
Back
Top Bottom