milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Professor Ndakidemi!!!
Usisahau kuondoka na Kila kilicho chako Dodoma
Usisahau kuondoka na Kila kilicho chako Dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anamkunali huyo kichaa wa kuchoma nyavu za wavuviLUHAGA MPINA at akija Upinzani, atashinda .
Anakubalika zaidi ya Sana.
Akirudi tena atataka yamkute ya Mbowe!Nami nafikiri hatapenda kurudi tena! Sijui lakini!
moshi vijijini ina wagombeaji wengi sana. Kule mbunge kukaa misimu miwili ni shughuli pevuProfessor Ndakidemi!!!
Usisahau kuondoka na Kila kilicho chako Dodoma
Uzuri wa waziri mkuu hata asipogombea anapokea malipo na huduma zingine mpaka kaburiniHata waziri mkuu,angetulia tu kuliko agombee then asirudi kama waziri mkuu bungeni next season.
Yap,hio ndio faida...thus why kama anaona kabisa akigombea ubunge na akashinda ila nafasi ya uPM hatopata,ni bora ale pensheni tu ...atapewa hata chuo huko awe kansela huko.Uzuri wa waziri mkuu hata asipogombea anapokea malipo na huduma zingine mpaka kaburini
Kwani nafasi ni ya PM tu? Kunaweza kutokea ubunifu akaendelea kukipiga...kwa mfano kikaundwa cheo cha Waziri Msimamizi n.k. Namshauri atetee tu jimbo lake.Yap,hio ndio faida...thus why kama anaona kabisa akigombea ubunge na akashinda ila nafasi ya uPM hatopata,ni bora ale pensheni tu ...atapewa hata chuo huko awe kansela huko.
Siyo rahisi kuachiwa wajifarague wapate majimbo wapinzani angalia uchaguzi serikali za Mitaa ndiyo mfano.Kiufupi Mama ataacha watu wajipambanie,mwaka huu CDM inaweza zoa wabunge zaidi ya 100 bungeni
Na ndivyo itakavyokuwa wakijichanganya !LUHAGA MPINA at akija Upinzani, atashinda .
Anakubalika zaidi ya Sana.
Labda reform zifanyike, kwa hizi sheria ni yale yale ya 2020Kiufupi Mama ataacha watu wajipambanie,mwaka huu CDM inaweza zoa wabunge zaidi ya 100 bungeni
Kila mtu mwaka huu lazima ajipambanie mwenyewe maana mama mwenyewe maji ya shingo alafu aanze kuangaikia wengine kiufupi chadema mwaka huu watazoa viti vingi bungeni. Namis sana hekima za mzee mbatia I wish aludi bungeni. Wabunge wale Covid 19 wasamehewe tujenge chama tutavuka salama uchaguzi mkuu.Ndoto ya mchana hiyo, kwenye uchaguzi wa mitaa nguvu itumike wengine wakatwe, alafu uchaguzi wa wabunge ndio waachwe wajipambanie?? Unaota amka
NANI AMEKWAMBIA IMEISHA HY?Hata huyo mzaliwa wa kizimjob siku ile uhuni usingefanyika wangeacha demokrasia ichukue mkondo wake 2025 asingekuwa mgombea wa urais kupitia chama chake.
Kwa hiyo hiko chama uhuni ni asili yake
Ndugai hagombei1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
3. Kuna wakuu wa mikoa waligombea 2020 hawakutoboa, round hii wamejipanga full mkoko, wabunge wenye majimbo hayo wajipange
Atafanya kama Malechela.Atafanya kazi gani wakati wamezoea vya Bure!Hata waziri mkuu,angetulia tu kuliko agombee then asirudi kama waziri mkuu bungeni next season.
Mdugai alisha aga kitambo sana kuwa hagombei1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
3. Kuna wakuu wa mikoa waligombea 2020 hawakutoboa, round hii wamejipanga full mkoko, wabunge wenye majimbo hayo wajipange
Mpina ni kijana wetu pale Mikochwni1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
3. Kuna wakuu wa mikoa waligombea 2020 hawakutoboa, round hii wamejipanga full mkoko, wabunge wenye majimbo hayo wajipange
Kasim akigombea tena awe mbunge wa kawaoda huo ni ujingaAtafanya kama Malechela.Atafanya kazi gani wakati wamezoea vya Bure!