Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Ni kazi ya jk..umbwa wewe
 
Unasema tu wewe haujui katiba inasemaje. Je Kama wakipiga kura yakutokua na imani na Raisi na akidi ikatimia , si anachomoka.
 
Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Wewe Chizi kweli, Raisi ndio ametoa Hela ya ujenzi!!
 
Unasema tu wewe haujui katiba inasemaje. Je Kama wakipiga kura yakutokua na imani na Raisi na akidi ikatimia , si anachomoka.
kwa katiba ipi inayowapa mamlaka hayo? zaid ya rais kulivunja bunge na wao kurud majimbon kusubir huruma ya wananchi...70% yao hawa uhakika wa kurud bungen kama uchaguz utarudiwa kesho.....wanafki waleeeeeee
 

Misimamo ya kijinga
 
Naona una stock kubwa ya viroba
 
Unasema tu wewe haujui katiba inasemaje. Je Kama wakipiga kura yakutokua na imani na Raisi na akidi ikatimia , si anachomoka.
Ha!ha!ha!Yaani kauli moja tu ya Magufuli Bunge halipo....mnavyoambiwa mhimili mmoja umejikita chini muwe mnaelewa....

Na uelewa tukifika kwenye hatua hiyo nchi nzima inarudia uchaguzi ngazi zote kuanzia Madiwani wabunge hadi Rais mwenyewe.

Na sitegemei kitu kama hicho kwa hili bunge letu lililojaa makanjanja na wachumia tumbo tu.
 
Mkuu siasa haziko hivo. Sisi Wananchi tunafurahia kuwa na rais Magufuli, mchapa kazi wa kiwango hiki. Yaan mpaka miaka hii mitano iishe, nchi Itakuwa na kila kitu tulichokuwa tunakitaman.

Siasa ni kuwa na mawazo tofauti na hayo mawazo kuyauza kwa Wananchi ili wakupe ridhaa. Sasa kama Wananchi waliokupa kura wanakukubali kwann uache kufanya mambo ambayo yaliwafanya wakupe kura. Mtu yeyote anaruhusiwa kuwa na mawazo tofaut lakin mawazo ya walio wengi au mawazo ya walio na mamlaka ya kuamua ndio husimama.

Ukiona mawazo yako hayakubaliki na huwezi kuvumilia, unatoka, unaondoka na kwenda kujiunga na upande wa Pili. Ni sahihi kisiasa na inaruhusiwa.

Huwezi kuwa na mawazo negative lakin unalazimisha ndo yawe mwelekeo wa chama au serikali, huwezi kuwa na mawazo ya kuifanya serikali ionekane imeshindwa na wauza unga halafu ulazimishe kufuata mkondo huo then uendelee kuwa sehemu ya Serikali.

Tulizoea awamu ya Kikwete kuona mafisadi na wauza unga wakiamua kukuondoa madarakan kwa sbb umewaudhi ilikuwa lazima uondoke. Wapo wabunge walioondolewa kwenye ubunge kwa sbb waliwaudhi mafisadi, wapo hata mawaziri kama akina muhongo waliondolewa kwenye nafasi zao kwa sabb Mkuu alisalimu amri ya mafisadi.

Kama Magufuli angemuondoa Makonda madarakan, ange prove kuwa serikali yake imesalimu amri kwa wauza unga. Wafanye fitina wawezavyo lakin wajue kuwa awamu hii wanalo.

Kwa hiyo wabunge wasiokubaliana na mh Rais wabaki tu kama wabunge na ku practice kazi zao. Wahakikishe ahadi walizotoa kwa Wananchi wao wanazitekeleza, kama ahadi yao ni kumdhibit Magufuli na wameshindwa kwa sbb hadhibitiki, bas wajiuzuru waondoke kwa sbb Wananchi wao watawapima kwa hilo.

Lakin kama kilichowaleta bungen ni kutatua kero za Wananchi wao bas awamu hii, watatembea kifua mbele kwa sbb asilimia kubwa ya kero za Wananchi zitatatuliwa.
 
Reactions: Ame

Wabunge wanaotaka kuvunja TLS kisa Lissu.
 
We nae utakuwa zero brain mtu kujiuzulu kwenye kamati sio sawa na mambo ya ubunge
 
Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.


Matamko ni sawa na Kelele za vyura kutomzuia ngo'mbe kunywa maji.Hawaruhusiwe kuchangamaa na wale wenzao wa upande wapili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…